uthibitisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maisha ni mafupi sana, ona huu uthibitisho wa picha

    Picha ya kwanza ilipigwa mwaka 1958 na picha ya pili ilipigwa mwaka 1996 na watu wale na kila mmoja akapanga kukaa nafasi ile ile aliyokaa mwaka 1958. Nafasi zilizo wazi ni za rafiki zao ambao wametangulia mbele ya haki Maisha ni mafupi tupendane na kutendeana wema kabla mmoja wetu hajatutoka...
  2. PolisiForceTz: Hakuna uthibitisho.

  3. D

    TANESCO lini watakuwa na akili? Unalipa kuunganishiwa tangia jana mpk sahz hakuna ht uthibitisho wa malipo

    Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa malipo yako yanashughulikiwa na utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo yako. Siku ya 2 hakuna...
  4. Usaliti: Jamaa atoa uthibitisho kuwa mtoto si wake kwenye babay shower

    https://x.com/crazyclipsonly/status/1826962090382561718 Tafrani yazuka kwenye sherehe baada ya Mume kushika maiki na kueleza umma uliokusanyika kusherehekea (jionee mwenyewe)
  5. Je, wana Simba SC Wenzangu mpaka hapa bado tu hatujajua Wasaliti wetu kwa Wachezaji na Uthibitisho kuwa Tunafungwa nao kwa mengi ya Nje ya Uwanja?

    NILIMWAMBIA CHAMA AONDOKE SIMBA SC "Baada ya ligi kuisha tu mimi ndo nilimwambia Chama aondoke kwenye timu ambayo yeye ndo anaibeba. Yaani wachezaji 10 anawabeba yeye mgongoni,nikamwambia aje huku ambako kuna wachezaji wazuri ambao hawatomchosha kama kule. Wewe angalia kikosi chetu kuna mtu...
  6. M

    Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  7. Uthibitisho: Mungu sio mwanamke ni mwanaume

    Nadhani mungu ni mwanaume, Ktk uumbaji tunaambiwa Mungu alimuumba mwana adamu kwa mfano wqke, mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu (mwanaume) kisha mbeleni huko akaumbwa hawa baada ya adam kuwa mpweke, Kama alimuumba mwanadamu kwa mfano wake, Na aliyeumbwa ni Adamu, Na Adamu ni mwanaume, Hivyo...
  8. M

    Vita vya Gaza: Uthibitisho katika quran

    Suuratul Maida Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. Enyi mlio amini! Si halali kwenu kuwachukua Mayahudi na...
  9. Kwani akishinda 2025 ndio uthibitisho kuwa anakubalika? Mmesahau Jakaya alivyopigika 2010 akabaki kusingizia udini

    Kushinda uchaguzi sio kigezo kuwa unakubalika. Kiongozi madhubuti hukubalika kwa kulinda rasilimali za taifa lake, kutetea raia wasionewe hovyo na kudhibiti dhulma.Pia Kudhibiti ufisadi. Kura huwa zinaibiwa na kuchakachuliwa kila kukicha. Je, uchaguzi wa 2010? Mmesahau aliyeshinda alikiri...
  10. Kama maandamano Chadema yamewezekana chini yake. Ni uthibitisho wa uwezo wake KTK kutenda haki. Hata ile haki kuu pia ataitenda. Tuvute tu subra!

    Wanabodi, Kitu chanye nguvu kuliko kitu chochote duniani ni imani!, faith, ukiamini unafungulia milango ya nguvu fulani zilizoko ndani yako zinazoitwa "will power" ni nguvu za nafsi ambazo zina uwezo wa kufanya kila kitu. Wengi imani zetu tuezielekeza kwenye imani za dini kwa kuamini Mungu...
  11. L

    Uthibitisho wa Makazi

    Habari wanajukwaa, Naombeni tugusie kuhusu uthibitisho makazini kwa watu wa serikali, imekuwa kama mchezo mtu akiajiriwa anakaa miaka na miaka hapewi uthibitisho wakati sheria inasema mfanyakazi anaweza thibitisha kwanzia mwaka nakuendelea especially huku TAMISEMI.
  12. Somo juu ya BIBLIA na QURAAN kwa Ujio wa haya Marobort ya Kutisha

    Moderetors + Members habari,Poleni na majukumu, Nawaza katika vitabu vyetu vikuu vya Imani yaani BIblia na Quraan hasa katika utabiri wao wa siku za mwisho hapa Dunian.i Je vilijaribu kuonesha mwanga hata katika Lugha ya Picha Kuhusu ujio wa Tech ya AI.Je mitume na waandishi wa vitabu waliweza...
  13. Afrika ni uthibitisho kwamba Maendeleo yanategemea akili kuzidi uchawi, pamoja na ndumba zote hizi bado tupo nyuma sana

    Hasa kwa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara tulikojaa waafrika wenye skin tone nyeusi. Tena kuna makabila makubwa karibu kila familia ina mganga wake, hata hapa kwetu Tz lipo. Mambo mengi tunaamini ushirikina ndio suluhisho, mtu akiumwa anahisi karogwa, kwenye biashara mtu anaweka mikaa...
  14. Uthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana

    Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...
  15. TAMISEMI itusaidie Walimu tuliopandishwa Madaraja Halmashauri ya Moshi tupewe Barua za Uthibitisho

    Naomba kufikisha kero yangu ambayo inanigusa binafsi pamoja na Watumishi wa Kada ya Ualimu katika Halmashauri ya Wilaya ya Moshi huku Mkoa wa Kilimanjaro. Sisi Walimu ambao tulipandishwa madaraja tangu Mwaka 2021 hadi kufikia leo ninavyoweka malalamiko haya hatujapewa Barua za Uthibitishi wa...
  16. Uthibitisho wa uwepo wa roho na ulimwengu wa roho ni ndoto

    Kila mtu anapo lala usingizi kuna kitu hutokea kinaitwa rapid eye movement (REM) macho kuzunguka kwa haraka. Hutokea baada ya saa 1 hadi masaa 2 katika usingizi. Ndipo utaanza kupata ndoto au maono ambayo ni kama jambo halisi nala kawaida. Wengi wenu manapokua kwenye ndoto, ndoto hizo huja na...
  17. Mtu mmoja auawa, Raila atangaza maandamano ya kuingia Nairobi Julai 12, 2023

    Chama cha Azimio La Umoja One Kenya Coalition Party kimetangaza kuwa kitaendelea na maandamano ya kupinga serikali nchini kote Jumatano wiki ijayo, kikiahidi kuzidisha maonyesho kutokana na kile kilichoshuhudiwa Ijumaa wakati wa Siku ya Saba Saba. Viongozi hao washirika wa upinzani wakiongozwa...
  18. M

    Watanzania sio watu wa kudanganyika tena. Kifo cha Membe ni uthibitisho kuwa sasa hakuna utapeli

    Nani amesahau namna Kikwete alivyosafishwa na vyombo vya habari kiasi cha kuaminisha umma kuwa alifaa kuwa kiongozi ambaye atawatumikia vizuri Watanzania? Kumbe akaja kuharibu mpaka waosha magari na wasafisha viatu wakawa mabilionea kwa wizi wa mali za umma. Nani amesahau Salva Rweyemamu...
  19. WENYE UTHIBITISHO WATUAMBIE

    Tumekuwa katika mazingira ambayo tunaambiwa ukimuota unafanya nae mapenzi mwanamke unaetaka kuwa nae kimahusiano au unampenda hutakuja kumla kamwe. Mi nikiangalia kunaviasilimia fulani hivi kuna ukweli🤭🤗 vipi wewe ndugu⁉️⁉️
  20. Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kisayansi

    Nawasalimia wana JF wote. Leo nitaongelea uthibitisho wa kisayansi uwepo wa Mungu. Na ninapenda tujadili hapa kisayansi zaidi. Pamoja na kuunganisha imani mbalimbali zilizopo. Sipendi niseme kwamba jina Mungu au neno Mungu ndio sahihi katika kitu ninachotaka kuongelea. Lakini nitaongelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…