uteuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uteuzi: Dkt. Leonard Akwilapo ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU)

    Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka viongozi walioteuliwa ni kama ifuatavyo: (i) Dkt. Leonard Douglas Akwilapo ameteuliwa kuwa...
  2. U

    UTEUZI: Meja Jenerali Aviad Dagan mkurugenzi idara ya huduma za computer ya IDF, alishiriki shambulizi dhidi ya Iran jumamosi iliyopita

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Maj. Gen. Aviad Dagan takes over IDF Computer Service Directorate By Emanuel Fabian Maj. Gen. Aviad Dagan has taken over the IDF’s Computer Service Directorate, replacing Maj. Gen. Eran Niv, who is retiring from the IDF after a...
  3. W

    Gachagua kupinga Uteuzi wa Kilindi kuwa Naibu Rais

    Aliyekuwa Naibu Rais, Rigathi Gachagua, amewasilisha ombi la kuzuia Rais William Ruto kuteua mtu atakayejaza nafasi ya Naibu Rais baada ya kuvuliwa madaraka na Bunge la Seneti. Kupitia wanasheria wake, Kamotho Njomo & Company, Gachagua alitaka kuzuia Bunge la Taifa kujadili, kumchambua, kupigia...
  4. Uteuzi: Jerry Silaa ateua Wajumbe wa Bodi ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote

    TAARIFA KWA UMMA Kwa mujibu na mamlaka aliyopewa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry William Silaa (Mb) chini ya kifungu cha 7(1)(c) cha Sheria ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) ya mwaka 2009 na kifungu cha 66 (a)() cha Marekebisho ya Sheria Na. 4 ya...
  5. M

    LGE2024 CCM naomba tubadilike kwenye teuzi zetu kuanzia mashinani...

    Ukweli lazima usemwe hata kama ni mchungu...mwaka huu kumekuwa na ugumu sana kwenye haya mazoezi... Kwenye vitambulisho vya kura watu wameenda tu tokana kuaambiwa vitawasaidia kwenye shughuli nyingine km ID... Navuta picha kubwa nin kitatokea kwenye siku za kupiga kura. CCM naomba tubadilike...
  6. Naim Qassem akataa kuongoza Hezbollah na ajiuzulu, Sheikh Ibrahim Amin naye akataa Uteuzi kuongoza Hezbollah

    Mambo yamekorogana. Wayazuni walaaniwe kabisa.
  7. UTEUZI: Rais Samia afanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi za TTCL, ATCL, NARCO, POSTA, UCSAF na TEMDO | Septemba 25, 2024

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Wenyeviti wa Bodi mbalimbali. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka walioteuliwa ni kama ifuatavyo: i. Bw. David Chimbi ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya...
  8. Rais wa TAHLISO atengua uteuzi wa Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili

    TAARIFA KWA UMMA 18 Septemba 2024 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania, Mhe. Zaynab Iddy Kitima ametengua uteuzi wa Ndg. Ibrahim Shukran Aloyce, Naibu Kamishna wa Kamisheni ya Mikopo na Ufadhili. UFAFANUZI WA RAIS WA TAHLISO Alipoulizwa na JamiiForums.com kuhusu maamuzi...
  9. Mamlaka ya uteuzi iangalie namna ya kuwapa watoto wa mjini wizara kama ujenzi na ardhi wajenge nchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi tunapotembelewa na wageni mbali mbali kutoka Ulaya, Asia, Marekani, East Afrika, Africa yenyewe na...
  10. Uteuzi: Waziri wa Viwanda, Selemani Jafo afanya uteuzi wa Wajumbe 3 Wa Tume Ya Ushindani (FCC)

    Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Selemani Saidi Jafo amefanya uteuzi wa wajumbe watatu wa Tume ya Ushindani (FCC) Kulingana na taarifa iloyotolewa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Waziri Jafo amefanya uteuzi huo kwa mujibu wa Sheria ya Ushindani, Sura 285, Kifungu 62 (6) na (7) ya mwaka...
  11. J

    Tetesi: Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa

    Ugali Moto Mboga Moto. Kuna mkeka utatoka wakati wowote kuanzia sasa Mlale kwa mang'amung'amu 🐼
  12. Kuwarejesha Lukuvi na Profesa Kabudi ni kuwakosea vijana

    Wazee kama hawa akina Lukuvi na Kabudi wameshafanya kazi za kutukuka kwenye taifa letu. Walitakiwa wawe wameshazalisha vijana wenye uwezo, mawazo na maono kama wao. Lakini kama hawajazalisha vijana wengine mpaka Leo wanaoweza kuchukua nafasi zao sio sawa. Hata Kama waliteuliwa walipaswa kusema...
  13. L

    Puuzeni taarifa za uteuzi wangu. Mimi ni Mwanachama wa kawaida na wala sina cheo ndani ya CCM

    Ndugu zangu Watanzania, Nimesikitika sana ,kuumia sana,kuhuzunika sana na kusononeshwa sana na taarifa za uongo,uzushi, uchonganishi na ufitini zilizoletwa humu jukwaani na mwana jukwaa zinazosema ya kuwa Mimi nimeteuliwa au kupewa nafasi ndani ya CCM. Niseme ya kuwa taarifa hizo ni za uongo...
  14. mnataka kunambia uteuzi wa kabudi na lukuvu ulibeba taswira ya ukombozi wa ngorongoro?

    nimeliona hili baada ya kuteuliwa hawa jamaa na je,hii presidency decree itakaa kwa muda gani?huwenda ni kwa mwaka mmoja but after election wamasai wanarudi kwenye maandamano. but all in all,CCM wana wajinga wengi wa kufikiri,
  15. U

    UTEUZI: Ally Kamwe ateuliwa Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania kuwa Balozi wa kutangaza kuelimisha kuhusu fursa za zabuni kidigitali

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Jamhuri ya muumgano wa tanzania imemteua Afisa habari wa Yanga SC, Ally Kamwe kuwa balozi atakayehusika kutangaza na kuelimisha jamii juu ya fursa za zabuni kidigital na kurahisisha michakato ya ununuzi pamoja na kuondoa Janja janja katika ununuzi wa UMMA. PPRA
  16. Katiba inatakiwa ifanyiwe marekebisho ya kumpokonya/kumnyima nguvu ya uteuzi baadhi ya nafasi

    Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa. naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na...
  17. B

    Huu uteuzi wa mara kwa mara wanafunzi watajibu nini shuleni?

    Habari wana JF? Kipindi Cha nyuma tulikuwa tunawajua viongozi na vitengo vyao vya kazi. Walikuwa wanahudumu kwa mda mrefu bila kutenguliwa au labda ajiuzulu. Kwa Sasa tunawajua majina lakini hatujui idara zao Kwasababu ya kuhamishwa mara kwa mara . Anateuliwa Usiku na anatenguliwa asubuhi...
  18. PreGE2025 Makonda ataibuka aanze kuwananga watesi wake hawamuwezi, Sabaya atalamba teuzi. Tutahamia kwenye ubuyu mwingine, wameshajua ndio tulivyo!

    Wakuu wakati tunavuta mashuka nimeona nipite kidogo.... Wenye nchi wameshatujua, tunapenda umbea kuliko hata uhai, wanapiga mziki ule ule ambao tumezoea kuusikia na sisi bila hiyana hao rumba tunalisakata. Pia soma: Uteuzi: Lukuvi, Kabudi warejeshwa Baraza la Mawaziri, Ummy aondolewa Wizara ya...
  19. K

    Kwa uteuzi wa Prof. Kabudi katiba na sheria tukubaliane tu Mwambukusi atanyoosha mikono kama ilivyokuwa kwa Lissu na kudhibitiwa

    Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA. Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda...
  20. Tutamkumbuka kwa lipi Ummy Mwalimu?

    Uteuzi uliofanywa na Mhe. Rais SSH tatehe 14 Agosti 2024 umemtema nje bi Ummy Mwalimu kutoka Wizara ya Afya. Kutokana na unyeti wa Wizara ya Afya, umuhimu wake ni mkubwa kwenye jamii. Pamoja na kusimamia sera ya Afya nchini lakini ndiyo wizara inayosimamia taaluma ya wahudumu wa Afya. Je tuna...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…