utekaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Huu Utekaji wa Abdul Nondo unaleta maswali kadhaa ya kufikiria

    Utekaji huu ni kama maigizo flani yenye lengo flani. Sidhani kama ni kama ule utekaji wa Mzee Kibao. 1. Mtekaji anadondosha Simu ambayo inachukuliwa na kupelekwa Police. 2. Gari ya watekaji na namba zake za usajili zipo tu uchi uchi hivi za Deogratias Beda Minja. 3. Police haraka wametoa tamko...
  2. JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania, Je ni ishara Serikali, na Vyombo vyake na CCM Kukosa Maarifa ya Uwajibikaji Kidemokrasia na Kikatiba?

    Taifa lenye misingi ya maarifa ya ukatiba thabiti na Demokrasia haliwezi kuwa na watu dhaifu katika kuishi kutenda haki na wajibu kwa misingi katiba na sheria, pia kuheshimu muundo wa demokrasia. Taifa lolote hutegemea maarifa ya tasnia ya sheria, political administration, policies...
  3. JamiiForums Tanzania Matukio ya Utekaji yanaumiza na kutupa hofu Wananchi hasa tunapoona Wahusika hawapatikani, Serikali ifanye maamuzi magumu

    Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi inaanza kupotea. Mawazo hayo yamekuja baada ya kuona tukio la Mfanyabiashara Deogratius Tarimo...
  4. JamiiForums Tanzania Jaribio la Utekaji wa Deogratius Tarimo: LHRC yahimiza uchunguzi wa haraka, jamii kutimiza wajibu wa kulinda uhai kila mtu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani Pwani, tukio lililotokea nje ya hoteli ya Rovvenpec Resort, Kiluvya Madukani, Wilaya ya Ubungo, Dar...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa yupo kimya sana Juu ya mauaji na utekaji

    Salamu zangu zikufikie Mh. Majaliwa, pole na kazi, ningependa kujua ni nini kimekusibu, kutoka mbele na kukemea suala la mauaji na utekaji ndani ya inchi yetu? Mbona mwanafunzi akipotea huwa utoa magizo mazito ndani ya siku moja anapatikana. Wewe ndio mtendaji mkuu wa shughuli za Serikali za...
  6. JamiiForums Tanzania Utekaji kuhusishwa na uhasama wa kibiashara ni namna ya kuwaepusha wahusika halisi kuwajibika? Tukio Dar24 limeishaje?

    Wakuu, Nadhani wengi tumekutana na tulio lililotrend jana, video ya inayomuonesha 'Bonge' akipambana na watu waliokuja kumteka na kufanikiwa kuwazidi nguvu, wakimuachia zawadi ya pingu. Kama mpaka sasa hujakutana na tukio hilo basi pitia hapa. Kutokana na taarifa ya polisi, Bonge ni...
  7. JamiiForums Tanzania Natamani sana zali la utekaji linipate itakuwa fundisho

    Kila siku naomba na kutamani zali la kutekwa na wasiojulikuna linipate. Yani huo mkono ntakavyoutembeza usipime ngumi za uhakika na helicopter kicks za kutosha. Na kwaanzia hapo itakuwa fundisho na utekaji utakoma. little master Fake P Chaliifrancisco Nyau de adriz
  8. JamiiForums Tanzania Familia ya Mzee Ali Kibao yatuma ujumbe kwa Rais Samia, yaomba uchunguzi wa wazi pamoja na kutoa kauli kali dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji

    Familia ya Mzee Ali Kibao kupitia Mohamed Ali Kibao ambaye ni mtoto wa Mzee Kibao, imeomba uwepo wa uwazi na haki katika uchunguzi wa mauaji dhidi ya wahusika wa utekaji na mauaji ya Mzee Ali Kibao huku ikimsihi Rais Samia Suluhu Hassan, kutoa kauli kali dhidi ya wahusika ili kurejesha imani kwa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Katikati ya vitendo viovu, mauaji na utekaji, tuendelee kumsifu na kumshukuru Mungu

    Salaam, shalom!! Nitumie fursa hii kuwatia moyo ndugu zangu Watanzania wenzangu kuwa, haya tunayoyapitia ni ya Muda tu, kama ambavyo Kuna usiku mnene, Giza Totoro, tukumbuke kuwa Giza ni la muda tu, KUTAPAMBAZUKA na Nuru itaonekana tena, Kodi zetu ndizo zinatumika kuwalipa waovu Kuteka...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aisha Machano, Katibu mwenezi BAWACHA Taifa, alitekwa na kupigwa sana, ameokotwa porini akiwa na hali mbaya

    Katibu Mwenezi Bawacha Taifa Mhe. Aisha Machano akiwa Kibiti kuendelea na majumu ya Chama ametekwa na kupigwa sana kisha kutupwa porini. Vijana wa bodaboda wamemuokota akiwa katika Hali mbaya na maumivu makali. Waliomteka walitaka maelezo ni nani aliwaelekeza kuchoma vitenge vilivyogawiwa na...
  11. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Nikwanini CCM hawakuunga mkono maandamano ya kupinga utekaji na mauaji ya raia?

    Wadau mkopoa? Nisiwaxhoshe niende mojakwamoja kwenye swali. Pamoja na Katibu wa CCM Dr Emmanuel Nchimbi kuonekana hafurahishwi na utekaji na mauaji ya raia, Lakini yalipoitishwa maandamano ya kupinga vitendo vya utekaji na mauaji ya raia yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CHADEMA, CCM...
  12. JamiiForums Tanzania Suala la utekaji kwa watoto wadogo ndani ya Tanzania ni dalili ya uwepo wa biashara haramu ya binadamu kwenye taifa letu

    Masuala ya utekaji yametokea kwa watu tofauti tofauti, ikiwemo wanasiasa wa upinzani na watoto zetu wadogo, bila shaka kwa uwepo wa hali hii kwenye taifa ni dalili tosha kwamba ndani ya taifa kwa sasa kuna biashara haramu ya binadamu kwa watoto. Kwanini mambo kama haya hayaja kuwepo katika...
  13. JamiiForums Tanzania Utulivu wa watanzania baada ya pause ya vitendo vya utekaji ni meseji kubwa kwa taifa .

    - Japo kuna makumi ya watanzania wenzetu walotekwa na hawajulikani walipo, wako hai au wamekufa. Na reaction Kali ya hamaki na hasira ya raia wakati vitendo husika vikiendelea, Utulivu ulipo wa watanzania baada ya vitendo husika kukoma unatoa somo kubwa; -kwamba, watanzania ni wastaatabu, wasio...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii "Watake Wasitake" Inayosambaa kwa kasi Mitandaoni ni maandamano mengine ya kupinga utekaji na mauaji nchini?

    Wakuu, Hii poster inatembea kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo kurasa za CHADEMA, je ni maandalizi ya maandamano mengine baada ya yale ya mwanzo kuingia doa baada ya viongozi wao kukamatwa siku ya maandamano? Pia soma: Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024
  15. JamiiForums Tanzania Serikali msitutoe kwenye reli kwa hukumu ya kifungo cha maisha kwa maafande wahuni, bado tunawaza utekaji wa kutumia silaha za kivita mchana

    Mimi binafsi kila jambo nalipa nafasi yake, sehemu yake na muda wake. Sio mjinga kwamba jambo B linaweza kunisahaulisha jambo A. Wewe ukinitukana leo halafu kesho unipe elfu 10 ya chai ninaweza kuipokea lakini haitanitoa kwenye case ya matusi uliyonitukana jana. Serikali bado tunasubiri...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza UN yawalaani Hamas - Katibu mkuu aongea kwa masikitiko unafiki umemshinda Dunia imejifunza kuwa utekaji sio tabia ya kibinadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres analaani Hamas kwa kutoruhusu Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu kuwatembelea mateka huko Gaza. "Ningependa kulaani ukweli kwamba Shirika la Msalaba Mwekundu haliruhusiwi hata kuwatembelea mateka hao," Guterres anasema, katika hotuba yake...
  17. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam afikiria kupeleka madai Jumuiya ya Madola ya kutaka Tanzania ifutwe wanachama kutokana na kunyamazia vitendo vya utekaji na mauaji .

    Mwanasheria wa kimataifa Robert Amsterdam apanga kufikisha madai kwenye Jumuiya ya Madola ya kuitaka jumuiya hiyo kuifuta uanachama Tanzania kutokana na mambo yanoendelea nchini hususan watu kutekwa, kuteswa na kuuliwa huku serikali inoongozwa na CCM ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Giza lipi umeliondoa Rais ikiwa wasiojulikana walimtia pingu mtu hadharani Kisha kumuua na kumtupa vichakani?

    Salaam, Shalom! Nchini petu tangu lini imewahi kutokea mtu akakamatwa live kwenye halaiki na watu walio na pingu kisha kumfunga mtu na kuondoka naye kisha kwenda kumuua na kumtupa vichakani? Tangu lini kikundi cha watu kimeruhusiwa kumuua mtu bila kumfikisha mahakamani? Pia soma: Rais Samia...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Sijawahi kuua mtu labda sisimizi, jibuni hoja zao msikae kimya

    Rais Samia amesema anasikitishwa baada ya kusikia mwenyekiti (yeye) anavyoshambuliwa na kusema ukweli wanaujua hivyo wasimame imara, akisema mdomo wa mwenyekiti mmoja kujibu hoja zinazotolewa hautoshelezi na ana majukumu mengi badala yake wasimame kujibu hoja hizo. Wakiambiwa mwenyekiti wao/...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…