Wakuu,
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dkt. Josephat Gwajima, ameonekana mara ya kwanza kwenye madhabahu ya kanisa hilo lililopo Ubungo Kibo, Dar es Salaam, katika ibada ya mkesha wa mwaka mpya tangu lilipofungwa Juni 2, 2025.
Katika mahubiri yake, amegusia changamoto walizokabiliana...