utawala wa ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Chadema mna document historia mnayopitià katikà utawala wa CCM

    Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia. Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA? 2. Matendo ya ukatili mliopitia 3. Historia ya chaguzi mlizopitia 4. Kufungwa jela mlikopitia 5. Etc...
  2. Yoda

    Nani wanaoharibu nchi kati ya utawala wa CCM na vijana wanaodai haki na uwajibikaji?

    Ni kujitoa ufahamu na kukosa akili viongozi wa CCM, watawala, BAKWATA na machawa wao wengine wengi kupayukapayuka kwamba vijana wanaharibu wanaharibu nchi na kufuata mkumbo tu kwa kurubuniwa katika harakati zao za kudai haki, kupinga dhuluma na kutaka uwajibikaji. Wanaoharibu nchi hii ni CCM na...
  3. Tlaatlaah

    Utawala wa CCM ni Alpha na Omega Tanzania

    Na hiyo ikimaanisha kwamba, ni wazi CCM ndio chama cha siasa cha mwanzo na mwisho kuitawala Tanzania. Hakuna uwezekano, wala hakuna dalili za kuwepo kwa chama kingine cha siasa cha kuitawala Tanzania au kuongoza serikali ya wananchi wa Tanzania badala ya CCM. Ama kwa hakika CCM ni mpango wa...
  4. Fbn

    Steji tuliyofika sasa ukipingana utawala wa CCM wanadeal na watu wako karibu

    Kama ndio tumefikia hapa naanza kuelewa kwa nini wameamua kumkomesha gwajima kwa waumini wake. Sasa tunaona kwa polepole kuanza kuteswa ambao hata sio wahusika. Ili taifa linapita wakati mgumu.
  5. Chakaza

    Rais Samia hatamuondoa Nape kwani wakosoaji wataonekana wameshinda

    Kuna jambo mmoja watu wengi hawajamuelewa Rais wetu au mfumo mzima wa CCM. Hawataki kuonekana kuwa wafanyalo linatokana na Wazo la wapinzani hata kama wazo hilo lina manufaa kwa taifa 💯 %. Hivyo pamoja na Nape kufanya kosa hili kubwa sana la kimaadili ya uongozi maana kauli yake sio kwamba tuu...
  6. Allen Kilewella

    Huwezi kujua ubaya wa kutawaliwa na CCM mpaka ujue kinachoendelea Kenya

    Siyo kwamba Wakenya ni tofauti Sana na wananchi wa nchi nyingine Afrika bali angalau wao Kila wakati wanaweka rekodi kuelekea jamii huru na yenye watu wenye utimamu wa akili. Hebu jiulize: Vyuo Vikuu vya Kenya vimezalisha kizazi cha Gen Z kilicho makini na chenye kupigania usawa kwenye nchi...
  7. Crocodiletooth

    Generation Alpha ndiyo itakayokuja kuisumbua CCM

    Hawa watakuwa moto wa kuotea mbali, sababu wahafidhina na walafi wa resources watakuwa wamehodhi kila njia ya utajiri na mafanikio kwa kurithisha vizazi vyao!
Back
Top Bottom