Tunashuhudia baadhi ya viongozi wa Chadema wameanza kuhaha Huku na kule, wengine kumpigia simu mwenyekiti mstaafu kumuuliza, uelekeo wake kisiasa, huku ajenda kuu ya Chama kwa sasa ikiamia katika kujitetea na kukaza moyo, ya kwamba waliwaita kwenye vikao bagamoyo lakini walijibiwa ngoja tumzike...