utaratibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna haja gani kumtazama marehemu ikiwa tunamfahamu na tumeishi naye miaka mingi kabla ya kifo?

    Kuna faida gani labda ya Kimantiki Watu Kulazimisha (Kung'ang'ania) Kumuangalia Marehemu akiwa 'Jenezani' tena ameshalala Usingizi wake wa Milele na kwamba hata ukipita Kumuaga kwa kumsogelea au kumgusa na kulia kila aina ya kilio wala hawezi kukujua sana sana utakuwa ni kama vile unapaka tu...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada, namna ya kurekebisha jina la awali lifanane na la kwenye NIDA

    Salamu wakuu Naomba msaada wa kufahamishwa namna ya kurekebisha jina kwenye kitambulisho changu kwenye mfuko wa hifadhi ya jamii. Yaani ni kwamba jina langu la kwenye NIDA lile la katikati ni tofauti na lililopo kwenye mfumo wa nssf. Hayo majina yametofautiana lakini yote ni majina ya baba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Waziri wa Ardhi wa kudhalilisha wawekezaji umepitwa na wakati. Akumbuke hii awamu ya 6

    Leo Waziri Wa Ardhi alimwita mwekezaji Bagamoyo na kumdhalalisha mbele ya Wananchi.Inawezekana huyu mwekezaji ni mkosaji lakini utaratibu huu umekufa katika awamu hii ya 6. Utaratibu huu ni kutaka kuzijolea sifa tu,kwani angewaeleza wananchi kuwa suala la mwekezaji na watendaji wake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

    Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
  5. JamiiForums Tanzania Utaratibu kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Private Candidate

    Naombeni ufafanuzi kwa mtu kufanya mtihani wa kidato cha sita kama Mtahiniwa binafsi. Swali linajengwa na hoja hii: Kuna kijana alitakiwa kufanya mtihani wa kidato cha sita 2021,lakini akapata matatizo shuleni na kuzuiliwa mtihani licha ya kuwa alikwishakamilisha usajili wa NECTA. Waliondolewa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Utaratibu huu wa 'Waswahili' una 'Baraka' za Mungu au labda kwa sasa Shetani 'anaupiga mwingi' Mioyoni mwetu?

    Katika ngazi za Familia nyingi za Kiswahili utakuta Mtoto mwenye Mafanikio ya Kipesa kuliko Wenzake hata kama ni wa mwisho Kuzaliwa ndiyo anasikilizwa na Wazazi hata kama wale Wasiokuwa na Pesa ni Werevu na Wamesoma kuliko Yeye. Katika Kamati mbalimbali za Jumuiya za Makanisa ( hasa langu la...
  7. JamiiForums Tanzania Kuliko kuajiri mfanyakazi wa ndani tuwe na utaratibu wa kuchukua watoto wa ndugu kwa nia ya kuwaendeleza

    Unakaa na mtoto kwa mkataba wa kumsomesha au kumuendeleza. Mnapanga muda wake wa kwenda shuleni au mafunzoni na muda wake wa kazi. Anaishi kama mtoto wa nyumbani, unamnunulia mahitaji yake madogo madogo. Sehemu kubwa ya mshahara unakwenda kulipia ada na Bima ya afya. Akihitimu mafunzo...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kwenda nchi jirani na gari binafsi ukoje?

    Wakuu habari, Naomba kujua utaratibu au nyaraka unazotakiwa kuwa nazo ikiwa utasafiri na gari binafsi kwenda nchi nyingine, mathalani Kenya.
  9. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa barakoa kwenye ndege unafurahisha

    Katika utaratibu wa kawaida huwezi kuingia kwenye ndege bila barakoa. Huu niutaratibu mzuri sana ambao tumeuzoea tu. Cha kuchekesha hapo ni kwamba baada ya kufika juu, abiria mneletewa chakula na barakoa zote zinavuliwa na maisha yanakuwa kama kawaida.
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

    Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350. Zijenge ofisi makao makuu? Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki? Zisaidie mchakato wa katiba mpya? Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda? Zinunue vitendea kazi vya chama...
  11. JamiiForums Tanzania Hivi Wazanzibar huwa wanajiunga JWTZ kwa utaratibu gani?

    Kwa wazoefu na wanaojua tafadhali. Nauliza hili kutokana na comment ya JokaKuu Any anaejua.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania kuna utaratibu wa ku-declassify nyaraka za siri?

    Kwa wenzetu unakuta baada ya miaka kadhaa kupita, nyaraka za siri huwekwa wazi. Hapa kwetu kuna huo utaratibu? Baada ya muda gani kupita?
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge ataka kuwe na utaratibu wa kuchukua fedha M-Pesa, Tigo Pesa kwa watu wanaofariki na kuacha fedha huko

    Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga amesema watu wanaofariki na kuacha fedha kwenye mitandao kama Tigo pesa, M-Pesa, Airtel Money nk wanazinufaisha kampuni za simu huku serikali ikiwa haipati kitu. Ameishauri serikali iweke utaratibu ili ndugu wa karibu waweze kudai fedha hizo na serikali...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa chanjo usisubiri! Uanze sasa

    Nashauri kwa wale Watanzania watakaotaka kufanyiwa chanjo serikali iweke utaratibu na isisubiri mpaka wapate hizo chanjo. Mfano wazee wa wahudumu wa afya wako hatarini zaidi basi waambiwe mapema utaratibu mfano kama vitambulisho vya taifa vitatumika ni vizuri wakajua mapema. Lakini vilevile...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa pande nyingi unaotetewa na China unahakikisha Afrika inapata haki katika sekta ya afya

    Tarehe 17, Juni mwaka 2020, mkutano wa kilele wa mshikamano dhidi ya COVID-19 kati ya China na Afrika ulifanyika, ambapo rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la “kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja katika sekta ya afya kati ya China na Afrika”. Katika mwaka mmoja uliopita, China imekuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kero za askari wa usalama barabarani: Utaratibu wa kutoza adhabu barabarani uangaliwe upya

    Nitangulize kupongeza wote waliohusika kubadili utaratibu wa kutoza adhabu za vyombo vya usafiri barabarani badala ya ule wa awali ambapo mahakama pekee ndio ilikuwa inatoza. Hakika, walikuwa na nia njema ya kuondoa usimamaji wa vyombo vya usafiri kusubiri hukumu ya mahakama. Pamoja na nia...
  17. JamiiForums Tanzania BAKWATA, huu utaratibu gani? Dodoma kuna Sheikh wa Mkoa, kwanini Sheikh wa Mkoa wa DSM anatuingilia kuja kupiga dua hafla za Serikali?

    Ninajua Sheikh wa Mkoa was Dar es Salaam alizoea kualikwa katika hafla mbalimbali za kitaifa na pengine alikuwa anafaidika kinamna fulani, sasa anaelekea kuvuka mipaka. Mamlaka yake yanaishia Dar es Salaam lakini inaonekana uamuzi was kuhamia Dodoma ulimuumiza sana sasa kaamua kuvamia hafla za...
  18. JamiiForums Tanzania Taratibu za kufuata ili kumiliki Silaha ya Moto Tanzania

    Wajemeni eeh Kuuliza si ujinga na kuuliza njia ndio kujua njia! Nahitaji bastola, kwa self defence tu, si vinginevyo! Sababu; najiona vulnerable mno huko 'uswekeni' ninakoishi. Hamna umeme, na majirani wanahesabika, BTW, practicing targets zipo za kutosha huko! Najua humu kuna wengi tu...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi wa Zanzibar naye atakuwa anamuachia Mama awe anaenda Safari zake kama Mama afanyavyo Kwake?

    Sasa ni mara ya Pili au ya Tatu hivi naona Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ' Safari ' zake nyingi ( hasa za Ziara za Mikutano na hata nyinginezo ) anapenda mno ' Kuwakilishwa ' na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi. Hivyo basi nami GENTAMYCINE nauliza je, na Yeye Rais wa Zanzibar...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kama CCM wakifuata utaratibu wao wa kutompinga Rais aliyepo katika kuteua mgombea, basi Samia Suluhu anaweza kuwa Rais wa Tanzania kwa miaka 14

    Kumekuwa na ubishi kuhusu kama kwa sasa Samia Suluhu anaongoza awamu ya tano au ya sita. Labda hilo sio jambo la maana. Jambo la msingi ni kwamba rais Samia Suluhu anaongoza awamu ambayo haitambuliki kikatiba kama ni awamu yake ya kwanza ya uongozi, bali amechukua madaraka ya uraisi kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…