utapeli mitandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    Siku hizi matapeli wanatapeli hadi wa Wakuu wa Mikoa? Kuna huyu kakamatwa na RC wa Tabora alikuwa anajifanya ni Mchengerwa

    Wakuu, Kwa hiyo siku hizi matapeli mnatapeli wakuu wa mikoa. Huyu baba alikuwa amempigia Mkuu wa Mkoa wa Tabora Whatsap kisha akakata. RC alivyompigia tena akakata kisha akamtumia message kwamba yeye ni Mchengerwa na anataka mchango kwa ajili ya mchango wa harusi ya mwanae Bila RC ku-confirm...
  2. McLaren

    China yatoa adhabu ya kifo kwa watu 11 kwa kuhusika kwenye magenge ya kamari haramu pamoja na utapeli mitandaoni

    Wakuu Sema linapokuja la kuwa serious na sheria, Serikali ya China kama iko serious sana. Yaani adhabu zinagaiwa kama pipi. Huku kwetu kuna wale watu wa tuma kwa namba hii wanaendelea kupeta tu despite the fact kwamba wametapeli watu wengi sana. ================================= Mahakama...
  3. PAYE

    Mbeya: Polisi wakamata Watu 9 kwa Utapeli Mitandaoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu kupitia mitandao ya kijamii ya Facebook na WhatsApp. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga alisema watuhumiwa hao walikamatwa kwa nyakati tofauti Agosti 18, katika...
  4. Tanzanian kid

    Utapeli mitandaoni kupitia phishing link

    Utapeli mitandaoni kupitia phishing link na jinsi unavyoweza kujilinda. Siku hizi karibu kila kitu kiko mtandaoni kutoka kwa mitandao ya kijamii, benki, hadi mawasiliano ya kila siku. Lakini pamoja na hayo, kuna watu wanaotumia mtandao kwa ajili ya udanganyifu. Moja ya njia wanazotumia sana ni...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Dar: Wananchi zaidi ya Thelathini wadai kutapeliwa zaidi ya Milioni 500 na “Hope Vicoba”

    Wananchi zaidi ya Thelathini wamedai kutapeliwa zaidi ya Milioni Mia tano (500) na Mfanyabiashara Tumaini Efata Ulio Makazi wa Mbezi Shule Jijini Dar es Salaam kupitia kampuni yake ya "VICOBA HOPE" Wakizungumza na ManaraTv kwa Nyakati tofauti baada ya kufika katika Kituo cha Polisi Mbweni anapo...
  6. Damaso

    Kuweni makini sana ya Emma Young kwenye barua pepe zenu

    Mapambano dhidi ya uhalifu wa mtandaoni yanaendelea. Tafadhali kaa chonjo na chunguzq mara mbili kila anwani ya barua pepe inayojihusisha na masuala ya kazi au interview haswa online interview. Hii ni mahususi kwa wale ambao hupenda kutumia barua pepe, haswa Gmail. Kwa zaidi ya miezi miwili...
  7. Waufukweni

    Nicole kufikishwa Mahakamani kwa Utapeli wa Mitandaoni

    Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam Jumanne Muliro amesema kuwa idadi ya Watu wanaojitokeza wakidai kutapeliwa na Msanii Joyce Mbaga maarufu kama Nicole inaendelea kuongezeka huku kiwango cha fedha kilichotapeliwa nacho kikiongezeka pia. Soma: Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa...
  8. Mindyou

    Ufaransa: Mwanamke atapeliwa zaidi ya Bilioni 2 na Brad Pitt feki aliyekuwa ana-date naye online

    Wakuu, Hivi inakuaje kuaje mpaka unadanganywa kiasi hiki na Artificial Intelligence? Ndo tumefikia huku? ====================== Mwanamke mmoja kutoka Ufaransa alidanganywa na kupoteza zaidi ya $800,000 (zaidi ya TSH bilioni 2) na tapeli aliyejifanya kuwa ni Brad Pitt kwa kutumia picha...
  9. Mshana Jr

    DOKEZO Utapeli biashara mtandaoni: Shuhuda za watu waliowahi kupigwa na kujuta sana

    Mimi ni mmojawapo😂 Na nadhani nilipigwa kama mara tatu hivi kabla sijajifunza na kuelimika Miaka ile ya 2010 nikaagiza kupitia Ebay radio touch screen.. Wakati huo bongo ilikuwa ni kuanzia lako 5 kwenda juu.. Mimi nikaipata kwa elfu 50 tuu free delivery😂 Baada ya miezi miwili kupiga bila...
  10. I

    Utapeli unaendelea kushamiri mtandaoni ila hatuoni hatua kali zikichukuliwa kwa wahusika

    Kwakweli nachukia sana matangazo ya kitapeli yanayoendelea kwenye mitandao na haswa mtandao wa Facebook. Wapo wanaojifanya ni waganga wa jadi. Masheikh wa visomo na hutengeneza video za matangazo na kuzilipia Facebook kwa ajili ya KUTAPELI. Hali hii inapelekea watu kupatwa na msongo mbaya sana...
  11. kagoshima

    Nimeitwa tapeli na mdai madeni wakopeshaji wa mitandaoni

    Nimepigiwa simu na namba ngeni, bila kujitambulisha kanambia nisaidie kumtafuta mtu fulani ambaye namfahamu, eti alikopa kwao pesa na kuniweka mie mdhanini. Nikamwambia mie sifanyi hizo kazi. Kanijibu niache utapeli. Nilipozidi kumsisitiza ache kunitusi na sijui namba yangu kaipataje akazidi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    Hawa wakopeshaji wa mitandaoni wamesajiliwa na serikali au ni matapeli wanaofanya kazi kwa kificho?

    Haiingii akilini kuwa serikali impe mtu kibali cha kukopesha wananchi wake ambapo malipo yanapaswa kufanyika ndani ya siku 5, 6 au 7 tu yakiwa na riba ya 35%. Kama serikali imekubali kazi za kampuni hizi na kubariki kisa kodi basi Watanzania hatuna serikali. Au vibali vyao viko safi tu mbele...
  13. ts_jewish

    Hawa wanajiita UKG. Je, sio matapeli?

    Nilikuwa naomba kuuliza, kuna hawa wanajiita UKG walikuja kwenye inbox yangu kuna kitu wanahitaji kunishirikisha ni kitu kizuri, lakini ninachotaka kujithibitishia wasije wakawa matapeli. Msaada wenu wakuu.
  14. S

    Application za mikopo ya mtandaoni, ni mradi wa vigogo kukusanya hela za kampeni 2025 na ndio maana hii biashara inafanyika kama nchi haina serikali?

    Naomba kwa kuuliza maswali haya: Hivi Mtanzani wa kawaida unaweza kuendesha biashara ambayo haina vibali vya serikali huku ukitumia mitandao ya simu kufanya biashara na serikali ikashindwa kukubaini/kukukamata? Tuchukulie imeshindwa kukukukamata, je serikali itashindwa hata kutoa agizo kwa...
  15. ANT DRUGS

    Kuweni makini na wauza vifurushi wa mitandaoni

    Nikiri nimechagua kuibiwa kibwege kabisa. Niliona mtu mmoja anayetangazwa na KIGOGO2014 huko Instagram kuwa anauza bando kwa bei nafuu. Nikamfata inbox kuomba kujua zaidi kuhusu hiyo huduma. Akanieleza huduma ni ya uhakika kabisa, nikaangalia kwenye comment zake sikuona comment yeyote mteja...
Back
Top Bottom