usingizini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Je! Ni vitu gani ukiambiwa ufanye unaweza kufanya wakati wowote hata ukikurupushwa usingizini saa 7 usiku?

    Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa. Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
  2. Bongofleva ya sasa ilishakosa demand hata kabla ya MO29, Majizo na wenzio amkeni usingizini

    Muziki wa Kenya ndiyo upo kwenye peak kwa sasa hata kabla ya MO29. Wakenya wako serious sana na kazi zao kuliko wasanii wa Tanzania. Mimi nasikiliza sana mixing za DJs huko youtube, na nimelipia Premium kabisa. Ukisiliza mixing ya Wabongo kisha ukasikiliza na ya Wakenya, ni vitu viwili...
  3. Msaada kwa watafsiri wa ndoto za usingizini

    Kwa mara kadhaa zisizopungua tatu na zikiachana kwa muda wa zaidi ya mwaka mmoja nimekuwa nikipata ndoto mbaya sana zinazopelekea kukosa usingizi hadi asubuhi. Kuna muda huwa nawaza huenda huwa najisahau kusali pale ninapopitiwa na usingizi lakini pia kuna muda huwa nafikiri namna ya kulala pia...
  4. Umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ukiwa usingizini?

    Kwa upande wangu nimekabwa sana na haya majinamizi nikiwa shule x Mufindi ndanindani asee mwili mzima unakufa ganzi nguvu zinakuiisha sitasahau hio shule niliamua nibadili hostel na kusali sana ndo shida ikaisha. Wewe mdau umeshawahi kukabwa na jinamizi usiku ilikuaje😁?
  5. Siku messi akifanya hivi mniamshe usingizini. Kwaherini!

    Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa. GOAT ni mmoja tu! Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli. Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo pamemshinda ila mwamba ronny hadi jangwani ameyapata magoli and oooh he is 40😦
  6. A

    DOKEZO ZSSF iamke usingizini, Kampuni nyingi Zanzibar zinawakata Wafanyakazi lakini fedha hazifiki

    Uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii Zanzibar (ZSSF) haifuatilii michango ya wanayokatwa Wafanyakazi kwenye kampuni, wanafanya kazi kwa mazoea au wanaziogopa baadhi ya taasisi. Hali hiyo inatukuta Wafanyakazi wa Kampuni ya IRIS inayohusika na masuala ya ujenzi wa barabara mbalimbali Zanzibar na...
  7. Espionage: Jasusi anapopokonywa Data zake kichwani akiwa amelala huku akijihisi km yupo Macho kumbe yupo usingizini?

    Nauliza tu hivi umeshawahi kulala kisha ukaanza kuota kwenye ndoto ukiwa unaona mazingira ni halisi kabisa bila kujua kwamba upo ndotoni ghafla bin vuu ndoto inaanza kuchangamka unajikuta aidha kwa kukasirishwa au kufurahishwa aidha unaanza kuongea katika hali kujitetea au unaanza kucheka bila...
  8. Ndoto za hivi zina maana gani??

    Huwa nikilala usiku mfano nikaota ndoto ikatokea nimestuka usingizini Then nikatoka nje then nikija nikilala tena huwa ile ndoto inaanzia palepale nilipoishia. Pale nilipostuka Na hata nikistuka tena Hujirudia mpaka pale ile ndoto inapoishia sasa sijaelewa hiyi inamaana gani kwangu Ni muda...
  9. A

    Mnaonywesha pombe watu wa Mungu usingizini Mungu anawaona

    😭😭😭😭
  10. Kuna watu wazima wanaogua tatizo la kutembea usingizini(sleepwalking)?

    Tatizo la watu kutembea wakiwa usingizini(sleepwalking) ambapo mtu anakuwa anafanya mambo mbalimbali akiwa usingizini huwa common sana kwa watoto wadogo. Huwa inasemwa kwa watu wazima wenye hili tatizo wanaweza kuamka wakafanya mambo mbalimbali wakiwa usingizini ikiwemo kupika na kula kabisa...
  11. Lissu ni kirusi kibaya ndani ya CHADEMA. Wana CHADEMA tokeni usingizini, Lissu anakwenda CCM

    Wana CDM wenzangu najua hamtanielewa kabisa kwa Uzi wangu ila ukweli ndiyo huo. LISU tangu ametoka ughaibuni amekuwa na matamshi yasiyo ya uzalendo dhidi ya CDM kwa kutoa Siri za chama hadharani. Amina nawaambieni kuwa yaliyo tokea kwa Msigwa sasa yanaenda kutokea kwa Lissu. Wana CHADEMA...
  12. M

    Kadri umri unavosogea napoteza uwezo wa kusikia kinachoendelea around napokuwa usingizini

    WAKUU nachukia na nashindwa kukubaliana na UKWELI na hali halisi. Nilijigundua nina uwezo flani tangu nilipokuwa o level. Kifupi ni kwamba ninauwezo wa kuskia kinachoendelea napokuwa nimelala/kusinzia. Uwezo huu ulikuwa mkubwa kipindi nipo chuo yani kuna siku washkaji hawakuanini nilikuwa...
  13. Nimeota mimi mwanajeshi vitani, ilivyofika kuanza operation msituni nikashtuka fasta usingizini

    Kifo kisikie tu ila Ikifika zamu ya kukabiliana nacho huwa ni kizaa zaa. Huwa nacheza ma game ya combat au frontlines heroes naona tu raha kuwaua maadui. Paah Paah napiga tu risasi kwenye simu sasa leo mapema alfajiri ikanijia ndoto kama unavyojua ndoto mwili unahisi kitu una ki perform live...
  14. SoC04 EVM kengele ya kuiamsha tume ya taifa ya uchaguzi kutoka usingizini

    Tanzania ni Miongoni mwa nchi ambazo zinavyuo na taasisi zilizo na wataalamu wazuri wa utayarishaji mifumo mbalimbali kwa njia ya tehama mfano tume ya sayansi na teknolojia COSTECH, vyuo km DIT, na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, vyote hivi kwa pamoja na wadau wa sayansi na teknolojia...
  15. Sasa ni wakati wa kutoka gizani kwenye pango kuhusu utajiri wa madini

    Hapa kuna ujumbe kwenu: Alama ya pango la Plato Katika pango, watu ambao wameishi maisha yao wakielekea nyuma kuelekea mwanga unaoingia kutoka nje, wanauona tu vivuli vya wanyama, watu, na vitu mbele yao. Vivuli hivi ndivyo ukweli pekee kwa watu hawa ambao hawajawahi kuona sura zao halisi.Siku...
  16. M

    Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania kutoka usingizini

    Mungu, Watanzania wamepigika na wamechoka kweli kweli. Wakati Watanzania wanahangaika kila siku kutafuta angalau mlo wa siku, Mawaziri, Wabunge na waandamizi wengine wa serikali wanaishi maisha ya ANASA na hawajali hata kidogo shida za Watanzania. Mungu, nakuomba uwaamshe Watanzania ili kila...
  17. Leo wakati nipo usingizini nimeota namuulizia Saed Kubenea

    Habari zenu Naomba kuleta mada kama inavyojieleza kwenye kichwa habari,nazani alikuwa mbunge machachari katika wakati wake mwenye ushawishi katika upande wa upinzani ila naona amezika kama moto wa kifuu ghafla mjini haonekani au yupo busy na uhariri? Nawasilisha
  18. Kushtuka kutoka usingizini usiku wa manane

    Habari zenu wanaJF. Natumai wote ni wazima. Mara kadhaa nimejikuta nashtuka usiku wa saa 7 au saa 8 usiku na usingizi kukata kabisa, inaweza kunichukua hata lisaa kupata usingizi tena. Nimejaribu kuuliza hiki kitu kwa watu wa karibu wengine wanasema ni stress za maisha, wengine sina ela...
  19. Sleep walking: Tatizo la kuamka ukiwa usingizini na kuanza kutembea ama kufanya vitendo bila kujitambua

    Ni hali ambayo mtu hufanya vitendo akiwa usingizini bila kujitambua. Vitendo hivyo vinaweza kuwa kuzungumza, kuketi wima kitandani, kwenda msalani, kufanya usafi, kula au kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida kama vile kunyakua vitu visivyoonekana hewani n.k. Wakati mwingine mtu anaweza...
  20. N

    Ifike hatua Tanzania tutoke usingizini sasa; tuinue soko la sanaa kwa kutengeneza filamu zenye hadhi

    Tumekuwa tukiangalia movies zenye story za kiafrica na kizungu pia, kama Hotel Rwanda Tears of the sun Sometimes April Border Sarafina Shaka ilembe Roots Zipo nyingi sana kuzitaja zote hapa zitajaza space tu; sasa twende kwenye hoja ninayokusudia kuiandika hapa. Sisi Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…