ushindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Busu la Kenge

    Picha za Ayatollah wakishangilia ushindi dhidi ya Marekani zimeanza kutoka

    Niliwaahidi mvute subira. Hatimae picha ya mwanzo ya Ayatollah Khamenei zikimuonesha akiwa na Ayatollah Khomeni na Major General Qasem Solemani huko Firdaus (Pepo ya Kobaz) wakishangilia ushindi wa Iran dhidi ya Israel na Marekani huku wakipeperusha bendera ya Iran. Picha zingine nitawaletea...
  2. Parabolic

    Profesa Tibaijuka aitabiria ushindi CHADEMA

    Waziri wa zamani na kada wa CCM Profesa Anna Tibaijuka ameitabiria ushindi CHADEMA, akisema katika misukosuko inayopitia ikiwa pamoja na tishio la kufutwa, chama hicho kitashinda. Katika andiko lake lenye kichwa cha habari: "MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO" aliloliweka...
  3. S

    PostGE2025 Ushauri wangu kwa Rais Samia na CCM kuhusu ushindi wao wa kidemokrasia katika Uchanguzi Mkuu 2025

    Napenda kuwakumbusha Raisi Samia na CCM wote kwamba neno demokrasia halina maana sawa na haki, na wala demokrasia haihalalishi haki, na pia inaweza kupindisha haki au hata kuhalalisha ukosefu wa haki. Hata siku moja msikate shauri kwamba mtu aliechaguliwa kidemokrasia na wengi ndio mwenye haki...
  4. Peter Dafi

    Ujumbe Mfupi wa Miaka 49 ya Siri ya ushindi wa CCM

    #dafitips Ujumbe wangu mfupi kwa maadhimisho ya Miaka 49 ya CCM https://youtu.be/D6wSTppiLiE?si=jq8mVBs9RbnrhbsJ Video 👆🏿👆🏿👆🏿 Miaka 49 ya Chama Cha Mapinduzi ni ushahidi wa imani ya wananchi kwa Chama chao. Lakini ili CCM iendelee kushika Dola, lazima ibaki kuwa Chama cha kusikiliza watu...
  5. PAYE

    Rais samia: Nampongeza Museveni kwa ushindi mkubwa wa Uchaguzi

  6. The Father of All

    Kwa 'ushindi' wake wa kishindo Samia aweza kuwa rais anayekubalika kuliko wote ulimwenguni

    Niseme wazi. Hata wakati wa utawala wa chama kimoja, ilikuwa nadra kwa mgombea urais kushinda karibia aslimia mia. Hii ilitokea hata wakati ambapo mgombea husika alikuwa akigombea na kivuli kama ilivyokuwa kwa Mwalimu Julius Nyerere na waliofuatia kabla ya kuanzisha mfumo wa vyama vingi ambao...
  7. Bawabu wa pili

    Ubishi Wageuka Ushindi: Brown Anthony Avuka Mbeya–Dar kwa Pikipiki Ndani ya Saa 10

    Kijana dereva wa bodaboda anayefahamika kwa jina la Brown Anthony ameibua gumzo kubwa miongoni mwa wananchi baada ya kufanikiwa kusafiri kutoka jijini Mbeya hadi Dar es Salaam kwa kutumia pikipiki aina ya Boxer 150 HD yenye namba ya usajili MC 473 FKT, ndani ya saa 10, safari iliyoanzia kwenye...
  8. M

    Ushindi wa Tyrant of the Year kwa mtukufu, nao wizi kama alivyopola uchaguzi wa 2025!

    Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi? Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu? Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the...
  9. Allen Kilewella

    Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

    Auae kwa upanga atauawa kwa upanga pia. Hatutaki kusikia kina Makonda wakilalamika kuwa Refarii kainyima Taifa stars penati. Mpira umeisha kwa Amani. Kazi na utu.
  10. DuaZaMama

    Mwigulu: Tunawindwa kwenye suala la dini, mtego wake hauna mshindi

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Mwigulu Nchemba, amewaonya Watanzania dhidi ya kuingia kwenye kile alichokitaja kuwa ni mtego wa migogoro ya kidini, akisisitiza kuwa migogoro inayogusa imani za watu haina mshindi na inaweza kulivuruga taifa zima endapo haitakwepwa mapema. Akizungumza na wananchi wa...
  11. mager6

    Kitendo cha kutotoka nje D9 kwa tamko kwa Umma sio ushindi wa dola ni kashfa kwa serikali

    Wale waliotaka kuandamana Gz waliomba waandamane Kwa amani. Wangeruhusiwa ingesaidia kujua wanataka Nini. Kwa namna walivyo nificha siku Ile ni sahihi kusema watatafuta Plan C. Ikumbukwe walikuwa na kundi nyuma yao tuliite anonymous mbinu zote za kuchoma miundombinu na Mali za waliowahisi...
  12. M

    Je, Tumekubali yaishe? Tumewaachia wajihesabie ushindi watafune nchi wawezavyo?

    Tumekubali yaishe? Tumewaachia ushindi watafune nchi wawezavyo? Ni maswali yasiyo majibu yanayoumiza moyo na kuitesa akili. Hivi tumeiacha Tanganyika ikilia na kuomboleza huku ikitafunwa mpaka mifupa? TUmekubali kuwa watumwa wa kundi dogo linalowashurutisha majeshi watushikilie kwa mtutu wa...
  13. 888I

    DESEMBA 9: Ushindi wenye gharama, nani alishinda nchi Ilipofungwa?

    Wadau, Tumeshuhudia aina mpya ya "Uhuru Day." Badala ya sherehe, miji iligeuka kuwa "Ghost Towns" (Miji ya Kimya), ikiwa imejaa wanajeshi na polisi. Hakukuwa na maandamano ya wazi kwenye maeneo mengi, lakini biashara zilisimama, na hofu ilitanda. Uchambuzi wangu unaonyesha kuwa huu ulikuwa...
  14. M

    Siku ya Kwanza ya Maandamano CCM tumeshashindwa vibaya mno. Hivi hatuna watu wa strategies Lumumba? Hawa Gen Z mnawapaje ushindi kirahisi?

    Kwa mtu yeyote anadhani maandamano hayakufanikiwa D9 basi sina shaka hata akili ya kucheza drafti hana. Situation iliyokuwepo D9 imetuma message na imekuwa delivered kwa kishindo kikubwa sana, Gen Z wapo kwenye WIN WIN situation, wakitangaza kuandamana na serikali ikiweka lockdown ni win ✔️...
  15. K

    PostGE2025 Kumbukizi - PM Mstaafu Majaliwa: Madaraka hayalazimishwi, ukilazimisha hautadumu

    === Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza tumaini. “Nchi hii imeshikwa na Mwenyezi Mungu na ni kwa sababu viongozi wa dini wanaendelea kuliombea...
  16. CHAGOSI GERALD

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA

    11. Mwanangu… kususia JKT si ushindi. HAPANA. Ni kujikata mguu kwa imani kwamba taifa litahisi maumivu yako. Taifa halihisi. Mfumo hausikii. Wanakuangalia tu na kusema: "Asante kijana kwa kupunguza mzigo-mafuta tumeyaleta, nguvu zenu hatuzihitaji sana, mnapojiondoa ndio tunafurahi zaidi." Sasa...
  17. Common Folk

    Rais Samia: Vurugu zilipangwa siku ya uchaguzi kwa sababu walishajua CCM inaenda kupata ushindi mkubwa.

  18. Desierto

    PostGE2025 Tumesubiria mpaka tumechoka. Zifanyike sherehe za ushindi wa CCM

    Si kila baada ya dili kutiki watu hukutana na kujipongeza kama bingwa wa ligi anavyosherehekea na ashabiki wake baada ya msimu kuisha, Sasa inashangaza kuona hali ikiwa kimya hadi sasa. Baiskeli hazionekani tena mtaani na pikipiki pia zimepotea kabisa au pengine mnazipaka rangi upya.
  19. F

    Hili la kutokuhojiwa ushindi wa rais mahakamani, ni upumbavu mkubwa. Trump alipelekwa mahakamani, Olmert wa Israel, Sarkozy, Park Gen-hye, soon Bibi"

    Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu. Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
  20. Genius Man

    PostGE2025 Maandamano yamekwishashinda tunapaswa kuchukua bunge na ikulu na uthibiti wa taasisi zote za nchi ndio ushindi wetu

    Maandamano yamekwisha shinda tunapaswa kuchukua bunge na ikulu na uthibiti wa taasisi zote za nchi ndio ushindi wetu. Tuka wafurumushe huko
Back
Top Bottom