ushahidi

Ushahidi is an open source software application, and a non-profit technology company with staff in nine countries whose mission is to help marginalized people raise their voice and those who serve them to listen and respond better. It has been instrumental in creating the Kenyan tech ecosystem, known as the Silicon Savannah, and its employees have gone on to found iHub, Akirachix, and BRCK.The organisation uses the concept of crowdsourcing for social activism and public accountability, serving as an initial model for what has been coined as "activist mapping"—the combination of social activism, citizen journalism and geospatial information. Ushahidi offers products that enable local observers to submit reports using their mobile phones or the internet, while simultaneously creating a temporal and geospatial archive of events. The Ushahidi platform is often used for crisis response, human rights reporting, and election monitoring. Ushahidi (Swahili for "testimony", closely related to shahidi which means "witness") created a website in the aftermath of Kenya's disputed 2007 presidential election that collected eyewitness reports of violence reported by email and text message and placed them on a Google Maps map.The Ushahidi platform has been used by the United Nations Department of Field Services and Peacekeeping, in response to the Haiti Earthquake in 2010, to monitor the Nigerian elections in 2011, by the Obama Campaign for America 2012, by the Nepalese army to respond to the earthquake of 2015, in and by local activists groups such as Humanitarian Tracker to monitor violence in the Syrian civil war and HarassMap to help women report on sexual harassment.Successful deployment of crisis mapping applications like Ushahidi benefits from careful attention to how the technology fits into the relevant cultural settings, and focusing on realistic goals.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wakili Sweetbert Alipanga Kupinga Matokeo Ya Uchaguzi Kabla ya Uchaguzi Kufanyika Ushahidi upo kwenye Mdahalo wa Startv na Odemba

    Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki.. Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo...
  2. JamiiForums Tanzania Mahakama ya Kisutu yapanga Agosti 29, 2024 kusikiliza ushahidi wa kesi ya Boniface Jacob

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imepanga Agosti 29, 2024 kuanza kusikiliza ushahidi wa kesi ya kuchapisha taarifa za uongo kwa lengo la kupotosha umma, inayomkabili meya wa zamani wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob (42) maarufu kama Boni Yai. Mbali na Jacob, mshtakiwa wa pili katika kesi...
  3. JamiiForums Tanzania Utume na unabii upo? Case study ya utabiri uliofanywa na prophets wa kimarekani, kuhusu tukio litakalotokea juu ya jaribio la mauaji ya Trump

    Ndugu wanajukwaa, katika pita pita zangu Leo nimeona utabiri mzito sana uliofanywa na prophet aliyeitwa Brandon Biggs miezi minne iliyopita, nae ni mmoja kati ya manabii watatu walioelezea juu ya mambo ambayo Yanaweza kuikumba Marekani, na katika tabiri hizo Bw. Brandon Biggs alitoa ushuhuda...
  4. D

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nape hatanii, ushahidi huu hapa

    Wajumbe, naomba niwathibishie kwamba maneno aliyoyasema Waziri Nape Nnauye kuhusu ushindi katika uchaguzi siyo mzahaa. Hatanii, Nape ni jambazi la kura. Katika uchaguzi wa 2020 aliyekuwa mgombea wa Chadema jimbo la Mtama Ndugu Mathew alive alitekwa na watu, "wanaojulikana" saa chache kabla ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mtanzania hajawahi kumpenda Mtanzania mwenzake. Ushahidi huu hapa chini

    1. Ni nani aliidhinisha kampuni za bahati nasibu nchini zije zikusanye billions of money kwa Watanzania na kuacha pesa ndogo kwa jina la kodi? Jibu ni Mtanzania. 2. Ni nani ametoa kibali na ni nani anazifanyia matangazo kampuni za mikopo ya kihuni na kitapeli mitandaoni? Jibu ni Mtanzania. 3...
  6. JamiiForums Tanzania Spika Tulia tuambie, ushahidi wa Mbunge Mpina umeuonaje?

    Suala la Mpina halipuuziki. Sema nasi tusikie. Mbunge Luhaga J. Mpina alidai bungeni kuwa Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amelidanganya Bunge kuhusu sakata la uingizwaji wa sukari nchini. Alidai, pamoja na mambo mangine kuwa Bashe alisema uongo zaidi ya mara kumi. Kwa mujibu wa Mpina, Waziri...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ndugu J. Gwajima, ushahidi wa Mpina haujathibitishwa popote, hivyo huna HAKI ya kusema amedanganya

    Salaam, Shalom!! Leo naongea na Ndugu Gwajima kama kiongozi na mwakilishi wa wananchi, na SI kama Askofu madhabahuni. Nimekusikia ukidai na kumtuhumu Ndugu Mpina kuwa mwongo bila kuthibitisha UONGO huo Kwa data na ushahidi kama alioutoa ndugu Mpina hadharani. Umeenda mbali zaidi na Kutoa...
  8. JamiiForums Tanzania MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL

    MWENYEKITI wa Kampuni ya Mohammed Enterprises (T) Limited (METL), Ghulam Dewji amekana kampuni yake kuwa na uhusiano wa aina yoyote na Kampuni ya ITEL East Africa Limited. Amesema masuala yanayohusu Kampuni ya ITEL East Africa Limited yasihusishwe na kampuni yake huku akionyesha wasiwasi...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Hivi Godbess Lema huwa anakuwa na ushahidi wa anachozungumza au kuandika?

    Mambo mengine ni serious sana, mfano haya mambo mbona kama ni makubwa na baadhi inaonekana hayana ukweli?
  10. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

    Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
  11. JamiiForums Tanzania Wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni?

    Amani ya Mungu muweza wa yote iwe nanyi. Nimekuwa nikitafakari kuhusu hili suala la kiimani, kuhusu wapi kutakuwa na wakazi wengi kati ya peponi na motoni? Naomba mnisaidie kusolve kwa ushahidi wa maandiko.
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wa orodha ya matukio aliyotabiri Nabii wa Wasabato Hellen G White ambayo kamwe hayakutokea

    Wadau hamjamboni nyote? Nawaletea tabiri mbalimbali zilitolewa na Muasisi wa Kanisa la Waadventista Wasabato Duniani Nabii mke Hellen G White ambazo kamwe hazikutimia kama ilivyotarajiwa. Nimeweka na nukuu kutoka maandiko yake mbalimbali kwa ajili ya rejea yenu. Kama yupo mtu miongoni mwenu...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tazama ushahidi huu wa kimahesabu wa Michango ya Lissu Unaothibitisha CHADEMA haifikishi wanachama hata million Moja

    Ndugu zangu Watanzania, Michago ya kumchangia Lissu Fedha za kununulia Gari imewaumbua sana CHADEMA, imewapa aibu,fedheha ,imewavua nguo hadharani na imeonyesha na kuthibitisha kauli yangu nayosemaga humu jukwaani kuwa CHADEMA imepuuzwa na inaendelea kupuuzwa na mamilioni ya watanzania kila...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna ambaye ameoa au kuolewa atauona Ufalme wa Mungu. Ushahidi huu hapa

    Ukiangalia mitume wale 12, Yesu hakuna aliyeoa ndio maana petro alimwambia Yesu wajenge vibanda ili waishi pale Mlimani Yesu alipogeuka sura. Yesu mwenyewe hakuwa na mke japo wanamfanasha na mitume mingine kama Mohamad wakati wanajua hakuoa ila Mohamad alikuwa na wake. Siku ndoa ni kikwazo...
  15. JamiiForums Tanzania Njia mbali mbali za kutoa ushahidi Mahakamani

    Ushahidi Mahakamani (kwenye kesi za madai) unaweza kutolewa kwa njia ya mdomo (orally) au kwa njia ya maandishi (witness statement). Rejea Order XVIII (2) (1) ya CPC (amendments za mwaka 2021). Sasa, ukiomba kwenye kesi yako utoe ushahidi kwa njia ya maandishi (witness statement), ukakubaliwa...
  16. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

    Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
  17. JamiiForums Tanzania Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

    Natumaini wote mko poa ndg wana JF,, lakini poleni sana kwale wote wenye changamoto yoyote ya kiafya au maisha kwa ujumla poleni sana Mungu awasaidie mkae sawa 🙏 Ndg zangu nimeamua kuandika uzi huu kutokana na mambo yanayo fanyika kwenye jamii zetu haya mambo yanaumiza sana😭 mitaani kumekuwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Ushahidi: Tanzania inaongozwa na Viongozi Wasio na Sifa za kuwa viongozi

    Ndugu zangu, Nawasalimu. Kwanza nianze moja kwa moja kwa kuorodhesha baadhi ya sifa za mtu asiye na hadhi ya kuwa kiongozi. 1. Hulazimisha Kukubalika na kila mtu. 2. Hana maono . Tatizo kubwa sana hili 3. Hujipendekeza kwa Wanadamu. Hana msimamo, hajui anasimamia nini. Msimamo wake...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Ushahidi wathibitisha Serikali ya Iran kuipatia Hamas shs 500,000,000,000 ili kufadhili shughuli zake za kigaidi

    Wadau hamjamboni? Hatimaye siri zimetoka hadharani Ushahidi mpya umepatikana unaothibitisha kuwa Serikali ya Iran ndiyo mfadhili Mkuu wa magaidi wa Hamas na hadi kufikia Oktoba 7, 2023 walikuwa wamewapatia magaidi hao shs 500.000.000.000 sawa na Dola million 222 Mungu ibariki Israel Taarifa...
  20. JamiiForums Tanzania Bein Sport yatoa ufafanuzi na ushahidi wa goli Tata la Yanga dhidi ya Mamelodi

    Hatimaye, kituo cha bein Sport kimetoa ufafanuzi na ushahidi kuwa goli la Azizi Ki halikuwa goli halali kwakuwa mpira haukuvuka wote kwa asilimia 100 kama kanuni zinavyotaka. Video imeambatanisha. NB: mjumbe hatukanwi jamani maana raia Wana jazba hatari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…