Wakuu,
Katika pitapita zangu mtandaoni, nimepitia tovuti ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) nimekutana na takwimu hizi za wahitimu wa vyuo nchini kwa mwaka 2024 ambapo fani za Biashara, Elimu na Sayansi za Jamii zinaongoza kuwa na wahitimu wengi, Pia usawa wa kijinsia unaimarika kwani idadi...
Na: Mjumbe wa Nafsi za Watu
Katika zama hizi za mchanganyiko wa mitazamo na hamaki za kimatamanio, watu wengi wanajikuta wanashindwa kutofautisha kati ya upendo wa kweli na tamaa ya kimfumo. Kinachonishangaza, tena kunipa mshituko wa kifikra, ni kizazi cha sasa – wasomi, wapendeza, wa...
afrika na ulimwengu
damu
dhana potofu za upendo
falsafa ya mapenzi
koo
kujiheshimu
kujitambua
kuoa
kuoa na kuolewa
kuolewa
mahusiano
mashariki ya kati
maumivu ya mahusiano
ndoa za mchanganyiko
tamaduni za waarabu
tamthilia za mapenzi
ubaguzi wa koo
ubaguzi wa rangi
uhusiano wa kimataifa
usawawakijinsiawaarabu
waarabu na waafrika
wanawake wa kiafrika
Wanawake wengi sasa wana nafasi sawa kwenye elimu, ajira, siasa na fursa mbalimbali kama ilivyo kwa wanaume, Hakuna haja ya kuendeleza kampeni zilezile kwa wanawake.
Tunashangaa hadi leo kuona empowerment inaendelea kwa wanawake ambao tayari wameshajiweza.
Kwenye matangazo ya kazi imekuwa...
Kwenye dunia ya sasa ambayo huwezi kumtenga mwanamke katika shughuli za uzalishaji na kisiasa, nchi ya Sweden imeendelea kufanya vizuri katika suala zima la kumpa mwanamke nafasi.
Kwa mujibu wa Glass Ceiling Index ya mwaka 2024 iliyotolewa na gazeti la The Economist, iliitaja nchi ya Sweden...
Tarehe 17 Machi, 2025, Rais Samia alizindua Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 (Toleo la 2023)
Sera hiyo inalenga kutoa mwongozo wa jumla kuhusu utawala na usimamizi wa ardhi kwa kuzingatia Dira ya Maendeleo ya Taifa, mipango ya maendeleo ya Taifa na mabadiliko ya kiuchumi, kisayansi na...
Wakuu,
Akiwa kwenye maashimisho ya kitaifa ya siku ya wanawake, Rais Samia amesema kuwa pamoja na harakati za usawa baina ya mwanamke na mwanaume zinazoendelea lakini huwa kuna mambo hayana usawa
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yaliyofanyika Machi 6, 2025 katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani Lindi.
Akizungumza katika kongamano hilo, Majaliwa amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu wa kukuza...
Kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) leo Machi 6, 2025 amezungumza na wanawake katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yanayofanyika katika viwanja vya Maegesho, Nachingwea mkoani...
Baraza la Wanawake wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo BAWACHA limewataka wanawake kujitokeza kwa wingi kushiriki maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yatakayofanyika Machi 8, 2025, katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam.
Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Mkuu wa BAWACHA...
Mkoa wa Katavi hii leo umezindua maadhimisho ya siku ya Wanawake ambayo ulimwenguni yatahitimishwa March 8, 2025 huku yakiangazia nyanja kuanzia mafanikio, changamoto na hata mustakabali wao, sio tu kwa wanawake bali pia wasichana.
Kote mkoani humo, Taasisi za serikali na zisizo za serikali...
Wakuu,
Hivi haya mambo ya usawa wa kijinsia yatawezekana kweli?
================
Katibu Mkuu wa chama cha Sauti ya Umma SAU, Majaliwa Kyara amesema ili kulinda maadili, kuimarisha malezi na kutunza nguvukazi ya Taifa, kuelekea mwaka 2050 ni muhimu wanawake waajiriwa wakawa na muda mfupi...
Tumefanya mdahalo wa kuelimisha na kuhamasisha jamii kuhusu kilimo cha umwagiliaji kama njia ya kujikwamua kiuchumi. Akina mama walioshiriki walitoa ushuhuda wa jinsi kilimo hiki kimewasaidia kuboresha maisha yao na kuleta mabadiliko ya kijamii.
Kupitia vipindi kama Nijuze, tunaendelea...
Sheria kama vile zile za viti maalum kwa wanawake ni muhimu sana katika kuhakikisha usawa wa kijinsia kwenye siasa.
Zinalenga kuongeza uwakilishi wa wanawake katika mabunge na halmashauri mbalimbali nchini Tanzania, ambako kihistoria, wanawake wamekuwa wakipata nafasi ndogo katika maamuzi ya...
✍#GMdadisi
Wengi tunachanganya na kujikuta tukipotosha zaidi kuhusu dhana ya usawa wa kijinsia kwa kutokujua vizuri.
Bahati mbaya sana wengi wameaminishwa na wanaamini Usawa wa kijinsia (gender equality) inawahusu zaidi wanawake kuliko kundi lingine.
Kuna USAWA WA KIJINSIA (Gender Equality)...
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia.
Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
Mwaka 2022, watu bilioni 2.7 bado hawakuwa na upatikanaji wa intaneti. Tofauti hii inatishia kuongeza kutokuwiana baina na ndani ya nchi. Kutofikia teknolojia na taarifa kunakoendelea kutaendelea kuyatenga makundi ambayo tayari yako nyuma, ikiwa ni pamoja na wanawake na wasichana wa vijijini na...
digital rights
digital rights 2023
haki za kidigitali
nafasi za kazi
pengo la kijinsia
sayansi
tehama
uhandisi
umoja
umoja wa mataifa
usawawakijinsiawanawake
Sheria na sera zinazoendeleza usawa wa kijinsia ni msingi wa mabadiliko katika jamii. Nchi zinazoongoza kwa kuwa na sheria zinazolinda haki za wanawake zinapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya unyanyasaji wa kijinsia. Kwa mfano, nchi zilizo na sheria dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia katika ndoa...
haki za kibinadamu
human rights
kuendeleza
pengo la kijinsia
sera
sheria
sheria na sera
social justice
social justice 2023
ubaguzi wakijinsiausawausawawakijinsia
women
Katika ulimwengu wa leo, mjadala kuhusu usawa wa kijinsia umekuwa na umuhimu mkubwa zaidi kuliko wakati wowote ule. Wanawake wameonesha uwezo mkubwa katika nyanja zote za maisha, na kwa hivyo, kuna haja kubwa ya kuwapa nafasi sawa katika uongozi wa kisiasa, serikali, na biashara.
Ni muhimu...
Kampuni yenye ofisi zake jijini Dar es Salaam inayothamini usawa wa kijinsia inatafuta wanawake 10 wa kushusha lori 4 za saruji. Yaani kwa siku ni kushusha saruji kwenye malori manne. Hii ajira ni ya kudumu. Changamkieni fursa kina dada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.