usalama wa raia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tinubu aagiza polisi wote warudi kulinda raia na si viongozi, Itasaidia kuongeza hali ya usalama nchi humo?

    Juzi Jumapili, Ikulu ya Abuja ilikuwa kimya lakini ndani kulikuwa kwa moto sana. Rais Tinubu alikuwa amewaita wakuu wote wa vyombo usalama: IG Kayode Egbetokun, DG DSS Tosin Ajayi, Chief of Army Staff Lt-Gen Waidi Shaibu, Chief of Air Staff Air Marshal Sunday Kelvin Aneke. Mkutano haukuchukua...
  2. Godbless Lema alalamika kufuatiliwa na watu wasiojulikana, aitaka Serikali Kuchukua Hatua Kulinda Usalama wa Raia

    Godbless anadai amekuwa akifuatiliwa na watu wasiojuilikana, Lema ameandika kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii ujumbe huu.... Kwa siku kadhaa sasa, nimekuwa nikifuatiliwa na watu wasiojulikana wanaotumia gari ambalo limekuwa likizunguka maeneo ninayoishi na kufuatilia mienendo yangu...
  3. M

    Hofu kubwa ndani ya Jeshi la Polisi

    Mimi Nina ndugu ndani ya jeshi la polisi. Wamo polisi mpaka wa nyota tatu. Kuna hofu kubwa na wengi Wao wanaanza kuziondoa familia zao Dar. Wengi wanaombea waandamanaji wawe wengi sana ili Polisi wasiweze kutumia ukatili na badala yake wakimbie kwa kuzidiwa. Wanasema shida itakuwa...
  4. Gwajima aelimishwe juu ya wajibu wa Jeshi la polisi wa kulinda usalama wa raia, mali na makazi na sio ujenzi wa barabara au uchimbaji visima vya maji

    Afundishwe vyema pia kwamba hakuna namna nchi inaweza kuacha jambo muhimu sana kama la ulinzi wa Taifa, watu, mali na makazi yao likafanywa na makampuni binafsi ya ulinzi, kwasababu tu eti jeshi la polisi liko na shughuli au tenda nyingi za ujenzi wa barabara na uchimbaji visima vya maji...
  5. PreGE2025 Jukwaa la Katiba Tanzania Watoa tamko la kulaani uvunjaji wa katiba nchini unaofanywa na vyombo vya Kulinda haki na Usalama wa raia

    Jukwaa la Katiba Tanzania (JUKATA) tunalaani vikali utamaduni mbaya ulioanza kujengeka nchini kwetu miaka ya hivi karibuni ambapo vyombo vya umma vya kusimnamia haki na na kulinda usalama wa raia vimekuwa vikivunja Katiba kwa kuwatendea maovu raia. Utamaduni huo umeanza kujitokeza katika...
  6. Barua ya wazi kwa Mh. Rais: Ombi la Haraka kwa Mh. Rais la kulinda Usalama wa Raia na Mali zao Jijini Dodoma kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025.

    Kwa sasa, usalama wa raia na mali zao jijini Dodoma umekuwa katika hali mbaya sana. Kila siku, vifo vya watu vinarekodiwa mitaani, huku serikali ikiendelea na kimya. Hali hii ya kutisha inahitaji hatua za haraka na madhubuti ili kuokoa maisha ya watu. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, ambaye pia ni...
  7. Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  8. Mwili wa mtu aliyefariki wapatikana ukiwa unaelekea kwenye mto Ruhiru

    Wakuu, Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri. Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru. Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo. Source...
  9. hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  10. Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko. Kwenye tamko lao...
  11. A

    DOKEZO Responded Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu...
  12. J

    RC Chalamila awataka wakazi wa DSM wajilinde Wao na familia zao dhidi ya matukio hatarishi badala ya kuwatupia Polisi lawama

    Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewataka wananchi wa DSM kujilinda wao na familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha Amani na Usalama wao RC Chalamila amesema SI HAKI kuwatupia lawama Polisi kwa kila Jambo. --- Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka...
  13. J

    Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali mko eneo hatari sana

    Chonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani Ahsanteni sana. Soma Pia: Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450
  14. Polisi si ndio wanaopaswa kusemea hali ya Usalama wa Raia

    Nimetafakari kauli ya rais, nimebaki na maswali mengi. Majukumu ya jeshi la polisi ni yapi? Wao si ndio wana msemaji wao? Au hapa alimaanishanisha nini? Kwamba wananchi wafanye nini hayo yote yanapotokea? Hao wengine ni akina nani ikiwa wanajitoa kusema wanaitwa wachochezi? Watanzania...
  15. Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu. Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
  16. Tetesi: Tanga: Kinachoendelea Tanga kinatishia usalama wa raia na mali zao.

    Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa...
  17. S

    Serikali ijenge Vituo vya Polisi kwa kila kata, kuwe na Magari ya wagonjwa na gari za Zimamoto

    Nashauri serikali yetu iwe na mipango ya kujenga vituo vya kipolisi kwa kila kata, pia kuwe na gari za wagonjwa, gari za zima moto. Katika huduma ya afya, nashauri maduka yote ya dawa yapewe vibali maalum vya kuuza dawa ili dawa zipatikane hospitali za kata kwa urahisi. Manaibu waziri, wakuu...
  18. N

    SoC04 Nani amtetee Raia kutokana na unyanyasaji wanaofanyiwa na vyombo vya ulinzi na usalama?

    Tanzania ni nchi salama yenye hali nzuri ki siasa, kijamii na kiusalama, lakini kama watanzania ama mtanzania napenda kusimama kuzungumza na kushauri mambo kadhaa hasa yanayohusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama polisi na jeshi. Polisi na Jeshi katika utaratibu wao wa kufanya kazi ni nani...
  19. Ushauri: Vituo vya Polisi viitwe Vituo vya Usalama wa Raia na Mali zake

    Naona kila kona vituo vya polisi vimeandikwa " Kituo cha Polisi" kisha kufuatiwa na jina la mahala lilipo. Sasa swali la kujiuliza, raia anamfuata polisi ama usalama wake pamoja na mali zake. Nashauri vibadilishwe majina na kuitwa vituo vya usalama wa raia na mali zake. Hii iitaboresha...
  20. Vyombo vya Dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zoa havitaweza vikiwa vimekatwa makali au kufungwa kwamba

    Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,. Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…