usajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Wachezaji wa Simba sio damu changa tazama hapa

    Leo nimelia sana Baada ya kugundua tunaenda kupigwa kitu kizito ( heavy thing) na uongozi wa Simba kuhusu usajili ambappo wanadai wamesajili damu changa ingawa kiuhalisia sio kweli Bali Wana UMRI mkubwa Mfano; 1. Mukwala - Imeandikwa ana 24 years, ila ukimcheki ni 30's. 2. Mutale - What a joke...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga tumelala kipindi hiki cha usajili

    Naona wenzetu Simba wanasajili Kwa umakini. Mbumbumbu wamejipanga sana Ona Sasa wamemsajili dogo ambaye kwangu ndo mchezaji Bora mzawa Valentino Mashaka. Nasikia kesho saa 7 watamtambulisha Najim Musa wa Tabora United Hawa wangekuwa ni replacement nzuri ya akina NKANE NA SHERHAN Huko...
  3. JamiiForums Tanzania Usajili wa Simba uko kitapeli. Abdulrazack kutoka Supersport akichezea benchi (timu ya saba kwenye ligi) ana thamani kubwa mara nne ya Pacome

    Yani Mo na Try Againi wanafanya uhuni mtupu. Kwanza mfano Abdulrazack kutoka Supersport amepatikana akiwa free kabisa lakini ukiangalia thamani yake kabla ya kuja simba ilikuwa 10k. Leo katambulishwa simba thamani yake imekuwa 165k us dolla. Akimzidi Pakome mwenye thamani ya 45k tu. Pacome...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa ukubwa wa usajili wanaoufanya Simba Sc kwa msimu wa 2024/2025, natangaza rasmi kurudisha kadi yangu ya Yanga na kuhamia Simba Sc

    Shalom shalom Mimi kama mkono mmoja pasi na kushurutishwa napenda kuitangazia jamuhuri ya watanzania kuwa nairudisha kadi yangu ya Yanga Sc na rasmi sasa hivi nakuwa mshabiki kindakindaki wa wana lunyasi Simba sc. Umafia unaofanywa na bilionea Mo na C.Magori si wa kitoto. Wachezaji wanaoletwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Suala la Usajili wa Chama ni sehemu ya biashara yetu

    Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
  6. JamiiForums Tanzania Usajili wa Chama kwenda Yanga -Yanga hamueleweki, sijui mna shida gani!

    Salaam Wakuu.. Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo. Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo. Ina maana huyu Chawa amegeuka...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Suala la usajili wa wa Clatous Chama limedhihirisha kuwa vyombo vya habari vya michezo nchini ni waongo na hawana uwezo wa kuchunguza na kupata ukweli

    Mwezi mzima huu vyombo vya habari hakuna hata kimoja kilichoandika habari ya usajili wa mchezaji Clatous Chota Chama kwa usahihi, sio vyombo vya habari vya michezo, sio mitandao ya kijamii na wala sio wachambuzi au wachang'ombe feki hapa nchini. Hebu fikiria ndipo uone kuwa vyombo vya habari...
  8. JamiiForums Tanzania Waafrka wenye Akili nchini Kenya na wanaojua Haki zao na Wasioogopa wanapambana, ila Miafrika mingine iko busy na Usajili na Adhabu kwa Mbunge

    Kama kuna Wananchi / Watu ambao nawakubali na nawaheshimu Afrika nzima ni wa kutoka nchini Kenya. Heko zao!!
  9. D

    JamiiForums Tanzania simba usajili gani huu?? au 10%

    every player from Ghana league failed. ni nini hiki??
  10. JamiiForums Tanzania Simba wameingia cha kike coastal union mangushi wana wali ng'ombe hawajawahi kushindwa kesi ya usajili!

    Simba wajipange kama wamefanya ujanja ujanja kutaka kutangaza mke kabla ya kumlipia mahari wala kutambulika rasmi,tangu dahali na dahali coastal union hawajawahi shindwa kesi wamuulize Aden Rage aliwahi kuifungia na kusema ameifuta kwenye kwenye vitabu vy FAT.kama wamejipanga waende watakako...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Simba yangu msikose kuwasajili Kelvin Nashon na Kevin Kijiri kwenye mipango yenu ya usajili, wako vzr sana vijana hao

    Kwa sasa timu yetu haina beki wa kulia mzuri, Shomari Kapombe amechoka lazima tukubali, uwezo umepungua, hana kasi, hana krosi, mzito, anakaba kwa mazoea na majeruhi ya sasa hiv yakimpata ndio imetoka hiyo. Beki wa kulia pekee mwenye uwezo wa kucheza Simba na akaliamsha kisawa sawa ni Kevin...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Murtaza Mangungu amesema Jobe ana Mkataba mrefu na pia pesa za usajili atatoa yeye

    Salaam Wakuu, Jana kupitia mitandao ya kijamii kumezunguka nukuu mbalimbali za Mwenyekiti wa sasa wa Simba Sports Club Murtaza Mangungu. Miongoni mwa nukuu iliyonipa mashaka na kutaka kujua ukweli wake ni ile inayosema Mangungu amesema Simba haiwezi kuvunja Mkataba na Jobe na nyingine kwamba...
  13. JamiiForums Tanzania Swala la kumpeleka Musonda Mazembe watupe Baleke, tutaumia

    Wakuu Nimeskia sana tetesi kuwa kutakuwa na swap deal kati ya Yanga na Mazembe Means Musonda kwenda Congo na Baleke aje Yanga. Huu usajiri kwa kweli tunaenda kupigwa kama kweli, pakubwa sana. Why? Mpaka Mazembe wanakuja kwako kumtaka mchezaji ujue huyo ni a good player! Halafu pia hawa ni...
  14. JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  15. JamiiForums Tanzania Gharama za ada ya usajili wa huduma za technolojia TCRA zinakatisha tamaa wabunifu wanaoanza (start-up innovators)

    Serikali kupitia mamlakaya mawasiliano nchini TCRA inahimiza wabunifu kubuni huduma mbalimbali za kiteknolojia ili kuchochea kasi ya maendeleo na kuboresha huduma ili kurahisisha maisha Lakini kikwazo kikubwa ni ughali wa leseni za usajili wa huduma hizo za kibunifu kwa wabunifu wanaoanza yaani...
  16. JamiiForums Tanzania Chukua hii ya Usajili ujao wa Bongo na itunzeni tafadhali

    Huenda Mlevi wa upande Mmoja akamfuata Rafiki yake Mlevi HATARI wa upande mwingine au ikawa ni kinyume chake.
  17. JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa katika soka msimu wa usajili

    Upotoshaji wa taarifa kwenye soka hufanyika zaidi wakati wa msimu wa usajili. Kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka hufuatilia kujua Wachezaji wanakuja na kuondoka kwenye timu zao, wapotoshaji hutengeneza #taarifapotofu kwa makusudi ili kupata wafuasi kwenye kurasa zao au kuibua taharuki. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Lexus gs300 bila usajili yard DSM ni Tsh ngapi?

    Kama una details za hii gari naomba abc zake hususani bei yake ikiwa Yard hapa bongo kuna mtu shimo limetema huko.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Usajili ujao sitaziamini siasa za Simba kusifia mchezaji kabla

    1. Nakumbuka walivyotuaminisha kuhusu NGOMA na tulivyoambiwa wamemuiba Air port tukajua jamaa ni viwango vya Ronaldo. Tulichoshuhudia MUNGU anajua. 2. Kwa sisi tuliosoma historia ya Ukuta wa Babeli tulijua tumepata Mwamba kwelikweli, lakini tulichokishuhudia kwa huyu CHE MALON hakika Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Tangu Yanga wafungiwe usajili na FIFA & CAF Pacome hakucheza tena

    Yanga walipopata barua toka kwa FIFA, CAF na TFF Pacome akapata injury, TFF imeficha jina la mchezaji aliyechezeshwa na Yanga wakati usajili wake wa utata. Wameamua wasimchezeshe kabisa, sheria inajulikana kila mechi aliyochezeshwa points 3 zinatakiwa zikatwe. TFF simamieni sheria acheni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…