Maswali yanayoulizwa katika usaili huu yamejikita maeneo manne ambayo ni: Uelewa wa mambo mbalimbali yanayotokea katika jamii, Maswali kuhusu taaluma yako, Maswali kuhusu Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi (NAOT), Maswali kuhusu kompyuta, internet na akili mnemba na maswali kuhusu hesabu.
Japo lolote...