urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Urusi yatishia kuzuia usambazaji wa gesi kwa mataifa mengine ya Ulaya

    Baada ya Urusi kusitisha usambazaji wa gesi kwa Nchi zaPoland na Bulgaria, sasa taifa hilo limesisitiza kuwa itafanya hivyo kwa mataifa mengine ya Ulaya ambayo hayatakubali kulipia gesi kwa fedha ya Urusi (rubles). Taarifa ya Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov amesema uamuzi wa Urusi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Maoni yangu kuhusu Vita ya Urusi Kama Magharibi Au NATO watalazimika kuhusika moja Kwa moja

    Nimepitia mijadala kadhaa ya vijana mbali mbali nimeona Tatizo ama lipo katika syllabus tunayotumia kuwafundishia masuala ya kidipomasia ya mataifa mbali mbali ,vijana wengi sana hawana ufahamu Kabisa , vita wanaijadili kama Mpira kwamba yeyote anaweza kupigwa, Vita inajadiliwa kama hadithi za...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Gesi ya Urusi haikwepeki ulaya: Aidha uingie mkataba mwenyewe na Urusi au Uinunue kwa aliyeingia mkataba na Urusi kwa bei kubwa zaidi!

    Poland ramps up reverse gas supplies from Germany Russia’s Gazprom closed taps after Warsaw refused to pay for deliveries in rubles Underground gas storage belonging to PGNiG company in Kosakowo, Poland, September 13, 2014. © Getty Images / NurPhoto Poland on Wednesday significantly raised its...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

    Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!! Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland Russia’s state-owned energy...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Marekani kutumia nguvu zote ili kuishinda Urusi, bila kuhatarisha damu ya askari yeyote wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine

    Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!! Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yaahidi dola milioni 10 kwa atakayetoa taarifa za wadukuzi 6 wa Urusi

    Marekani imesema itatoa kiasi cha hadi dola milioni 10 kwa atakaetoa habari kuhusu watu 6 wanaotambulishwa kuwa ni maafisa wa ujasusi wa Jeshi la Urusi, wanaodaiwa kuwa waliendesha mashambulizi ya mtandaoni yaliyoathiri miundombinu muhimu ya Marekani. Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imesema...
  9. JamiiForums Tanzania Vita vya Ukraine: Urusi yaharibu miundombinu ya reli kuzuia silaha za kigeni kuingia Ukraine

    Urusi iligonga miundombinu ya reli kote Ukraine siku ya Jumatatu kwa lengo la kuzuia usambazaji wa silaha za kigeni, huku Marekani ikitangaza kuwa itatoa silaha zaidi licha ya pingamizi la Moscow. Takriban watu watano waliuawa na 18 kujeruhiwa katika mashambulizi ya Urusi katika eneo la...
  10. JamiiForums Tanzania Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa Lavrov amemshutumu Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky kwa kujifanya anataka majadiliano. Pia, amekosoa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni maono tu kama Mengi nayosemaga yakatokea hata yasipotokea now ipo siku URUSI itahawanyika ama Kaskazini na kusini Au Magharibi na mashariki

    Kwa jiografia Urusi ni Nchi kubwa Kwa eneo kuliko nchi yeyote ile duniani, na Kwa kushangaza hawatumii ukubwa huo kama advantage kwao , njia sahihi ya kuiongoza Urusi ilibidi iwe ya Majimbo kama ilivyo USA, na Demokrasia ilitakiwa kutamalaki sana ili kuondoa mbinu za kutaka ama kupindya serikali...
  12. JamiiForums Tanzania Jeshi la Urusi ni dhaifu sana, ni dhaifu mno

    Hii mdiyo style ya vita ya Russia, hana askari wa kuweza kupambana na adui, hana intelligence ya kuweza ku locate adui walipo, jana jeshi wa strategy ya kuweza kudhibi maeneo anayokua amefanikiwa kuingia (maana hata kuteka hawezi), ma tumeona jinsi jeshi la Russia lilivyokuwa limetapakaa kote...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini UN haikemei kauli na vitendo vya kichokozi vya US na UK kwa Urusi

    Umoja wa mataifa UN mara nyingi umeomba vita baina ya Urusi na Ukraine visitishwe haraka.Papo hapo kila leo Marekani na Uiengereza wanatoa ahadi za wazi wazi za kupeleka silaha kwa Ukraine ili iendeleze vita vyake na Urusi kwa niaba yao. Jee UN hawasikii au wanasubiri nini kukemea vitendo hivyo...
  14. JamiiForums Tanzania Intelligence ya UKRAINE katika Vita hii imekuwa nzuri na yenye Ufasaha kuzidi ya Urusi

    Nipo nasoma soma taarifa fulani na kuzufanyia analysis, nikakutana na taarifa ya huyu Gen. Oleg Mityaev huyu alikua ni General wa 4 wa Russia kuuawa vitani Ukraine. Kufa kwa mmoja au wawili ni hali kawaida vitani, lakini kufa kwa Generals 9 si jambo la kawaida. Ikumbukwe, Russia iliteua...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanya mashambulizi ndani ya Urusi tena karibu na Moscow

    Defenders wa Ukraine wafanya mashambulizi ndani Urusi. Mashambulizi hayo ni ya makombora ambayo yamelipua vituko vya mafuta na kuleta mlipuko mkubwa katika Jimbo la Druzhba oil depot in Bryansk kilomita 240 kutoka Moscow. Milipuko hiyo imetokea kwenye storage muhimu za mafuta ambaya ndio...
  16. JamiiForums Tanzania Uturuki yajitolea kusaidia mazungumzo ya Ukraine na Urusi

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amemwambia mwenzake Volodymir Zelensk wa Ukraine kwamba taifa lake lipo tayari kutoa kila usaidizi katika mchakato wa majadiliano kati ya Urusi na Ukraine. Ofisi ya Rais ya Uturuki imesema ahadi hiyo imetolewa wakati wa mazungumzo kwa njia ya simu baina ya...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

    Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi.... Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and...
  18. JamiiForums Tanzania Jameni nani anawaua hawa mabilionea wa Urusi na familia zao "Oligarchies"

    Kwa siku chache mabilionea wawili wenye hela za kutupa na kumwaga wameuawa pamoja na familia zao, mmoja kafia Moscow, Urusi ndani pamoja na mkewe na watoto ila ikasemwa amejitoa uhai baada ya kuua familia yake, mwingine ameuawa Uhispania pia na familia yake. Ikumbukwe hawa oligarchies ndio huwa...
  19. JamiiForums Tanzania Zelensky: Ukraine ni mwanzo, Urusi inalenga Nchi zaidi

    Rais Volodymyr Zelensky ameonya kuwa uvamizi wa Urusi dhidi ya Nchi yake ulikuwa mwanzo tu, na kwamba malengo ya Moscow yanavuka Mipaka ya Ukraine Katika jitihada za kuleta Amani na kumaliza Vita inayoendelea, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres anatarajiwa kukutana na Marais wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya Urusi kukaza kamba, nchi za Ulaya zimenyoosha mikono na kukubali kununua gesi kwa utaratibu uliowekwa na Putin

    Inaelekea waql;ipogoma mwanzoni walikuwa wanatikisa tu kiberiti. Putin alisema gesi yake italipiwa kwa ruble. Ukilipa kwa dola ni lazima ibadilishwe hapo benki iwe ruble na ndipo upewe gesi. Umoja wa ulaya umetoa taarifa rasmi kuwa isiwe taabu watafuata utaratibu huo. Huyo ndiye PUTIN...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…