urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizi ndizo njia tano za hatima ya mzozo wa Urusi na Ukraine

    CHANZO BBC Vita vya Ukraine: Mzozo wa Ukraine unaweza kuisha kwa njia hizi tano 3 Juni 2022 Vladimir Putin nchini Ukraine sio wa kipekee. Hofu za mapema za ushindi wa haraka zilifuatiwa na kurudi nyuma kwa Urusi na upinzani wa Waukraine, hilo sasa limekabiliwa na uvamizi wa Urusi uliolenga...
  2. Mzozo wa Ukraine: Kaliningrad, eneo la Urusi ndani ya Ulaya ambalo sasa litazungukwa na nchi za NATO

    Kufuatia uvamizi wa kijeshi wa Urusi nchini Ukraine, nchi mbili za nchi za Skandinavia yaani Nordic zisizoegemea upande wowote, Finland na Sweden, zilibadili sera zao na kuomba kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO. Kwa baadhi ya wachambuzi, uamuzi wa Finland na Uswidi ni "janga" kwa Moscow...
  3. Silaha za Urusi ni bora kuliko za Marekani, ni kimbilio la mataifa mengi kuanzia sasa

    Vita ya Syria na Ukraine imeonyesha kuwa Silaha za magharibi (NATO) zimeonyesha uwezo mdogo sana dhidi ya zile za nchi za Magharibi. Nchi nyingi sasa zinawaza kwenda kununua silaha na mifumo ya ulinzi ya Urusi zenye ufanisi mkubwa kwenye uwanja wa vita kuliko zile za NATO. NATO sasa inawaza...
  4. S

    Fedheha: Marekani imeilipa Urusi bilioni mbili za Ruble ili mwanaanga wa Kimarekani aweze kurejeshwa duniani na chombo cha Urusi

    Katika jitihada za kumrejesha duniani mwana anga wa kimarekani Mark Vande Hei toka anga la mbali, Marekani imelazimika kulipa ruble bilioni 2 kwa Urusi ili Urusi ikamchukue mwana anga huyo kwa kutumia chombo cha Urusi. Pro-NATO huwa wanatokwa povu hapa JF wakijitahidi kutaka kutuaminisha eti...
  5. Urusi imeingiza Dola Bilioni 97 kwa kuuza nishati tangu vita ilipoanza

    Imeelezwa kuwa Urusi imeingiza takribani Dola Bilioni 97 kwa kuuza mafuta na gesi ndani ya siku 100 tangu kuanza kwa vita baina ya taifa hilo dhidi ya Ukraine. Utafiti huo umefanywa na Kituo huru cha Utafiti wa Nishati na Hewa Safi (CREA) ambacho kimeeleza kuwa Umoja wa Ulaya, Marekani na...
  6. S

    Video: Mwanajeshi wa Canada aliyeenda kuisaidia Ukraine aelezea mziki mnene wa majeshi ya Urusi alioushuhudia, asema 'NI BALAA TUPU'!

    Mwanajeshi huyo aliyeenda pamoja na Sniper Wali anasema ilikuwa ni majanga matupu...ilikuwa kila siku rafiki zake wanajeshi wa kigeni wanauawa...yeye akaamua kuachana na kwenda front line. Anasema ktk tukio moja akiwa na sniper Wali wakijitia kujificha kwenye nyumba moja ili kuwalia timing...
  7. S

    Bloomberg: Marekani 'kimyakimya' yaiomba Urusi iiuzie mbolea zaidi ili Marekani iweze kuzalisha mazao kwa biashara na pia iepuke njaa mwaka ujao

    Marekani kimya kimya imeanza kuhimiza makampuni yake yanayojihusisha na manunuzi ya mbolea ya Urusi na usafirishaji wa mbolea hiyo, yanunue zaidi mbolea hiyo na kusafirisha kwa wingi kwenda Marekani. Hiyo ni baada ya Marekani kupatwa na uhaba mkubwa wa mbolea, baada ya kujitia kususia mbolea ya...
  8. M

    Bei ya Petroli huko Urusi inazifanya nchi za Magharibi ziisagie meno lakini hazina jinsi

    Russia Gasoline prices, 06-Jun-2022 Russia Gasoline prices Litre Gallon RUB 51.790 196.046 USD 0.840 3.180 EUR 0.786 2.975 United Kingdom Gasoline prices, 06-Jun-2022 United Kingdom Gasoline prices Litre Gallon GBP 1.756 6.647 USD 2.199 8.324 EUR 2.056 7.783...
  9. Urusi yapiga kombora Ukraine, yaharibu bohari ya silaha za Marekani na Nchi za Ulaya

    Kikosi cha Urusi kimefanya mashambulizi makubwa Nchini Ukraine na kusababisha uharibifu mkubwa katika ghala ya silaha kutoka Marekani na Nchi za Ulaya. Mashambulizi yamefanyika katika Mji wa Ternopil baada ya mapambano ya saa kadhaa katika Mji wa Sievierodonetsk. Serikali ya Ternopil imesema...
  10. Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

    China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina.... Na pia inapata tabu kutumia hela ya India ================== June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
  11. Waingereza wawili na Mmorocco waliokamatwa na jeshi la Urusi wahukumiwa kifo

    Waingereza wawili na mwanamume mmoja wa Morocco waliokamatwa na vikosi vya Urusi nchini Ukraine wamehukumiwa kifo, shirika la habari linalomilikiwa na Urusi RIA Novosti linaripoti. Aiden Aslin, 28, kutoka Nottinghamshire, Shaun Pinner, 48, kutoka Bedfordshire, na mtu wa tatu, raia wa Morocco...
  12. 5

    Zelensky: Nina hakika Putin hawezi kutembelea wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine'

    Kwa mara ya pili baada ya wiki mbili, Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky alitembelea ngome za jeshi kwenye mstari wa mbele - kwanza katika mkoa wa Kharkiv, na sasa katika sehemu hatari zaidi za mkoa wa Donbass na Zaporizhia. Wataalamu wa Ukraine na nje ya nchi wana hakika kwamba, licha ya...
  13. Urusi yabuni kitengo kitakachoratibu sheria za kijeshi zitakazotumika kusimamia nchi

    Jameni Warusi wanalo, ni mwendo wa nchi kusimamiwa kijeshi, ujikune uone. Kule Ukraine wanajeshi Warusi wanauawa kwenye vita visivyokua na umuhimu wowote kwa nchi, huku ugumu wa maisha ndani ya Urusi unazidi kukidhiri, halafu wasimamiwe kijeshi. === Russia’s Interior Ministry has created a new...
  14. Putin: Hawawezi kukataa nishati ya Urusi siku zote

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin amesema Nchi za Magharibi haziwezi kuendelea kugomea nishati ya mafuta na gesi kutoka katika taifa lake wa miaka mingi ijayo. Amedai kuwa makampuni ya Urusi yanaendelea na mchakato wa kuchimba visima kwa kuwa wanajua biashara ya nishati itakuwepo. Kauli hiyo...
  15. Urusi na Uturuku zashindwa kupata muarobaini wa kusafirisha nafaka za Ukraine

    Serikali ya Urusi na ya Uturuki zilifanya kikao maalum kwa ajili ya kupata njia ya kusafirisha nafaka kupitia bahari nyeusi eneo ambalo limewekewa milipuko na Serikali ya Ukraine ili kujilinda na mashambaulizi ya Urusi. Ukrain imepandikiza milipuko katika bandari za Mikolaev na Odesa ambazo...
  16. Ukraine: Urusi wametukabidhi miili 210 ya wapiganaji wetu

    Imeelezwa kuwa Urusi imekabidhi maiti 210 za wapiganaji wa Ukraine, ambao wengi wao walifariki wakati wa mapigano walipokuwa wakilinda Mji wa Mariupol dhidi ya Wanajeshi wa Urusi Asilimia kubwa walifariki wakati walipokuwa wamezuiwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kwa wiki kadhaa wakati...
  17. A

    Putin Atuma Ujumbe kwa India Baada ya Kumtusi Mtume Mohammad. Je, Biashara ya Mafuta Kati ya Urusi na India Kukwama?

    Niliwahi kuandika humu kwamba hapa JF asilimia 90 ya wanaomuunga mkono Putin ni Waislam na nikatoa na sababu ila moderators walifuta ule uzi. Wengi wanaamini hivyo kwamba Putin analipiza madhira ambayo muslims na nchi za kiislamu wamekuwa wakiyapata wanyaodai chanzo chake ni Marekani na...
  18. Majenerali wawili wa Urusi wauawa ndani ya siku moja

    Sijui Putin atatoka vipi kwenye hili shimo alilotumbukiza jeshi lake, maana majanga na aibu kila siku wanafyekwa hadi wakuu jeshini.... A second Russian general is reportedly dead after heavy fighting in Ukraine’s eastern Donbas region over the weekend. Lt. Gen. Roman Berdnikov, formerly the...
  19. Urusi ndiyo iliyeweka vikwazo kwa Dunia, si Dunia iliyomwekea vikwazo Urusi

    Sioni kwa namna yoyote ile dunia ikinufaika kwenye vikwazo ambavyo wao wanadai wamemwekea mbobezi na mbabe huyu wa dunia. Kwangu mimi ninachoona ni ubinafsi na unafiki wa mataifa ya magharibi kwa dunia. Dunia inapata tabu kisa Ukraine, hii Ukraine ina nini hadi inafanya nchi nyingi za Afrika na...
  20. Balozi wa Urusi asusia kikao cha Umoja wa Mataifa (UN)

    Balozi wa Urusi katika Umoja wa Mataifa (UN), Vassily Nebenzia ametoka nje ya kikao ya Baraza la Usalama baada ya Rais wa Baraza la Ulaya, Charles Michel kuishutumu Moscow kwa kusababisha janga la Chakula duniani Michel ameyashutumu Majeshi ya Urusi kwa uhalifu wa kivita na makosa mengine ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…