urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Poland Tanzania waonesha athari za Vita ya Urusi na Ukraine kupitia filamu, yamtaka Rais Putin kusitisha vita

    Ubalozi wa Poland Nchini Tanzania umekutana na Wadau kadhaa kutazama filamu inayoonesha mfano wa matukio ambayo yamekuwa na athari kubwa kwa Jamii kutokana na vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine ambayo imezimiza miaka minne. Akizungumza kabla ya uzinduzi wa filamu hiyo iliyopewa jina la...
  2. JamiiForums Tanzania Larry Madowo aja na Documentary ya kuonesha jinsi Urusi inavyoshawishi Waafrika kwenda kufa vitani Ukrein

    Miezi ya Juzi kati nilikuja na chapisho la jinsi Waafrika waliokuwa wanaimba kwa Kiswahili walivyokuwa wanadhiakiwa kwa lugha ya Kirusi kwamba hawa ni takataka tu (Disposable) na wanaenda kuwekwa Frontline yani mstari wa mbele vitani. Sasa Larry Madowo kupitia kituo cha CNN kafanya full...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile Urusi ilikuwa anaisubiri Marekani aishambulie Iran ili Urusi alipe kisasi.

    Putin baada ya kuona anashambuliwa na USA kwa kushirikiana na NATO kupitia Ukraine,alitoa ahadi kuwa, kuanzia Sasa Urusi itakua inazipa silaha Kali nchi mahasimu wa Marekani. Akapendekeza kuwa wanaweza kuanza kuwapa silaha wa Houth kwa vile Wana ujasiri na uthubutu. Sasa muda wa kisasi ndio...
  4. JamiiForums Tanzania Vita za kichini chini kati ya wana usalama wa US, Israel, Pakistan, Iran, Urusi, Qatar na Uchina. Aftermath yake hauwezi kuisikia kwenye media.

    Usiniulize nimejuaje, swali unalopaswa kuuliza ni kwa nini Cnn, bbc, fox, al jazeera hawaripoti japokuwa unakuta wamepata leak au kimemo😁 Ila ukweli ni kuwa wana usalama wa Marekani (CIA/NSA), Israel (Mossad), Pakistan (ISI), Iran (MOIS/IRGC), Urusi (FSB/GRU), Qatar (State Security), na Uchina...
  5. JamiiForums Tanzania Mwafrika mwenzetu akielezea uzoefu wake katika Jeshi la Urusi wakipigana na Ukraine

    Waafrika twendeni kwa wingi kuwasaidia ndugu zetu Russia dhidi ya Mabeberu. Ukrainian troops from the 63rd Mechanized Brigade captured a Ugandan man, Richard Akantoran, who said he was lured to Russia with promises of civilian work and then forced to sign a military contract under threat of...
  6. JamiiForums Tanzania Wengi wetu tulikuwa tunaona ni uonevu Russia kuivamia kijeshi Ukraine, ila kwa haya yanayotokea (Imperialism)- ilikuwa haki kabisa ya Urusi

    JUST NI REALITY VIEW , NGUVU KUBWA INATUMIKA KUHAKIKISHA MALI (RASILIMALI ) ZA NCHI MOJA ZINAPITIA , NA NI LAZIMA ZIPITE KWENYE NCHI KUBWA YENYE NGUVU KIJESHI ILI TUU MAISHA YAENDELEE.............. NILIKUWAGA NAONA NI UONEVU WA URUSI , KUMBE MADAI YAKE YALIKUWA NA MASHIKO ...... OIL...
  7. JamiiForums Tanzania US wameiteka meli ya mafuta ya Urusi

    Habari kubwa ya leo duniani imekuwa ni jeshi la US kuiteka Meli ya mafuta iliyotoka Venezuela na kudhaniwa ikielekea Russia. Meli hiyo ilikuwa na bendera ya Russia imedakwa huko Bahari ya Kaskazini. Russia walijaribu kutuma Nyambizi na manowari kwenda kuilinda lakini hawakufanikiwa. US wanadai...
  8. JamiiForums Tanzania Katika vita vya pili Ujerumani had the best military technology kuliko USA wala Urusi lakini ilikuwaje wakashidwa vita?

    Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na kitekilonojia sasa hebu leo hebu tujikumbushe ugundunzi uliofanywa na wajerumani 1.kombola la v2...
  9. JamiiForums Tanzania Urusi yasema Ukraine ilishambulia makazi ya Putin

    Waziri wa mambo ya nje Urusi Bwana Lavlov adai kuwa usiku wa kuamkia leo Ukraini ilijaribu shambulia makazi Putin Amesema kuwa mazungumzo ya amani yanasitishwa Hayo yakitokea Rais wa Ukraini adai Urusi inadanganya na ina lengo la kushambulia majengo ya serikali huko Kyiv Putin aagiza jeshi la...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo na Kabudi wakutana na waziri wa mambo ya nje wa shirikisho la Urusi

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Leo tarehe 19 Desemba, 2025, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo kwa pamoja na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Palamagamba Kabudi walikutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Urusi sijawai kuona faida yake zaidi kuongeza umaskini kwa afrika wanaomtegemea.

    Maswahiba wanaosema urusi ni mtu mzuri embu watajeni ila mimi nataka nimuongelee yeye kwanza. Hapa kenya kuna kitu kimetokea cha kuwa beba vijana waende kupigana Ukrainian. Ukandamizaji wa habari na mambo yanayo fanywa kama kuwekewa sumu,kutekwa urusi sio mageni kwa kisingizio kulinda Amani...
  12. JamiiForums Tanzania Putin: Kama Ulaya inataka vita na Urusi tupo tear ata sasa

    Rais wa Urusi Vladimir Putin amesema hawana nia ya kupigana na ulaya ila ikiwa ulaya na vita na Russia basi wao wapo teari Ata sasa
  13. JamiiForums Tanzania Urusi yaingilia kati matamko ya mabalozi

    Unaandika ubalozi wa Urusi kwenye Ukursa wao wa X
  14. JamiiForums Tanzania Watatusaidia China, Urusi na Waarabu. Nyie Mabeberu msitutishe

    Wapo China ni Taifa Tajiri sana Duniani, wapo waarabu matajiri sana. Hawa watatusaidia. Sisi ni nchi huru msitupangie maisha nyie Ulaya na Marekani. Kwanza hatutaki misaada yenu. Tunajiweza na tuna mataifa yanaweza kutusaidia sana. Uarabuni huwa wanatupa tende na halua kila wakati tunapofunga...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Muungano umeshapitwa na wakati; Ulishinikizwa na Wamarekani na mabepari wakiogopa kuenea kwa ushawishi wa Urusi kuigeuza Zanzibar iwe kama Cuba

    Muungano uliingiwa kwa hofu, baada ya vita vya pili vya dunia kulikuwa kunanukia vita ya tatu Maandalizi ya kimya kimya ya vita ya tatu ilikuwa na pande mbili Mabepari - nchi kama Marekani, Uingereza, Ufaransa, n.k. wasoshalisti - mataifa makubwa kama Urusi na China waliokuwa wakieneza mfumo...
  16. JamiiForums Tanzania Karibia vi-nchi vyote vilivyodanganywa na Urusi na China kuhusu ujamaa vimebaki na umasikini wa kutupwa

    Cuba Vietnam Tz Zambia North korea Laos Cambodia Mozambique Albania Na wengine sana tu.. Vilichezewa foul bila kujijua kuwafaiddisha wao pekee. UKOMONISTI NI USHETANI
  17. JamiiForums Tanzania Enteromix: Chanjo ya saratani kutoka Urusi iliyofikia ufanisi wa asilimia 100 kwenye majaribio ya kitabibu

    Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika majaribio ya kitabibu. Hii inaweza kuleta matumaini makubwa katika kupambana na saratani sugu na hata...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Trump amekiri: "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi kwa China"

    "Inaonekana tumeipoteza India na Urusi katika sehemu kubwa zaidi, yenye giza zaidi, China. Wawe na mustakabali mrefu na wenye mafanikio pamoja!" — Donald Trump Hivi karibuni Trump aliongeza ushuru kwa bidhaa za India hadi kufikia 50% kama adhabu kwa sababu ya India kuendelea kununua mafuta...
  19. JamiiForums Tanzania Ipo siku China na Urusi watazichapa sana

    Urusi ilijitanua pole pole kuelekea mashariki kufuata biashara ya manyoya ya wanyama. Ikafika hadi bahari ya pacific, ikavuka hadi kufika Alaska. Katika kujitanua huko ikafika bonde la mto Amur ulio kaskazini mashariki ya China. Majeshi ya China wakati huo wa Qing dynasty yaliwapiga vibaya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…