Canada waruhusu turbines sita kurudishwa Urusi

EINSTEIN112

JF-Expert Member
Oct 26, 2018
21,713
35,524
The Canadian government made an exception to repair not one, but six Nord Stream turbines, for Germany, The Globe and Mail reported on July 13, citing two sources in the government.

Canada's decision to return a turbine for the Nord Stream pipeline to Germany has turned out to be a wider exception than originally thought.

The exception to the sanctions will be valid for another two years, and during this time it will be possible to bring up to six turbines to Canada for maintenance and take them back.
According to the publication’s sources, the agreement with Siemens allows the Canadian government to withdraw permission to ease sanctions at any time.

Turbines for the Nord Stream pipeline will be sent for repair to Canada through Germany, which will allow the country to say that it is not violating its own sanctions.

Siemens turbine was sent to Canada for repairs, where it got stuck due to sanctions against Russia's oil and gas industry following its full-scale invasion of Ukraine.

On July 11, Russia stopped the Nord Stream gas pipeline for scheduled maintenance. According to the schedule, it should last until the morning of July 21.
 
Attachments

  • Screenshot_20220714-090317_Chrome.jpg
    Screenshot_20220714-090317_Chrome.jpg
    189 KB · Views: 11
Yaani Canada watafanyia service mitambo ya Urusi kwa miaka miwili zaidi?
Hapo nadhani sasa mnaelewa kwamba Russia haumizwi na vikwazo kama walioviweka.

Halafu kuna mpuuzi mmoja yupo Nanjilinji huko ndanindani anasema Russia anaumizwa na vikwazo 🤣 🤣 🤣
Vikwazo waaweke wenyewe halafu wanavilegeza kwa miaka mingine miwili ili waishi
 
Yaani Canada watafanyia service mitambo ya Urusi kwa miaka miwili zaidi hapo nadhani sasa mnaelewa kwamba Russia haumizwi na vikwazo kama walioviweka.
Halafu kuna mpuuzi mmoja yupo Nanjilinji huko ndanindani anasema Russia anaumizwa na vikwazo 🤣 🤣 🤣
Vikwazo waaweke wenyewe halafu wanavilegeza kwa miaka mingine miwili ili waishi
Umenipa tabasamu asubuhiiiii
 
Hapo ndo utajua kuwa , Russia nguvu yake kiuchumi ni kubwa mno, marekani ilikuwa inapewa u super power wa mchongo, Mambo anayoyafanya Russia kwa Sasa ,marekani asingeweza . kwanza huwa natafakari Russia ilimuweka rais inayemtaka marekani na wakamuweka kweli, hapo ndo ujue super power wa uhalisia ni Russia, u super power wa marekani niwa mchongo!! Kwa Sasa dunia itakuwa imeng'amua nani ni super power wa uhalisia na nani niwa kimchongo.
 
Jamaa kazishika mpini sasa wanahaha kila leo kupunguza vikwazo uchwara vyao
 
Back
Top Bottom