urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. Kanali wa jeshi la Urusi apigwa bomu na drone ya Ukraine akiwa kwake nyumbani, Urusi

    Sasa wanaanza kufuatwa manyumbani, alikua anafyeka nyasi kwake kashushiwa mzigo...... Salamu ziwafikie viongozi wa jeshi la Urusi popote walipo, wanafahamika wanakoishi na mitoko yao ya kila siku, na kuna drones za Ukraine zipo angani zinajipigia popote Urusi hadi hata ikulu. News World News...
  2. Anayepinga ukuu wa Urusi Kwa Ukraine akapimwe utimamu wa akili yake

    Urusi iko Juu ya Ukraine Kwa kila kitu. Kinachojadiliwa ni kwa nini Urusi wameivamia kijeshi Ukraine? Ukraine inasifiwa kwa uimra wake wa kupambana kwa zaidi ya mwaka mmoja na nchi ilyoizidi kwa Kila kitu. Kwa ivo Urusi inatumia ukuu wake kuionea Ukraine.
  3. Kwanini Urusi inauza mafuta yake kwa siri?

    Urusi imebambwa inauza uchochoroni mafuta inayozalisha. Imegundulika kuwa Urusi inapeleka mafuta yake Bahari Kuu (Deep Sea) na kuyapakia kwenye meli nyingine na mafuta hayo hupelekwa India kuchakatwa. Mafuta hayo yakichakatwa hupelekwa Uingereza kuuzwa kwa makampuni yauzayo mafuta ya ndege...
  4. Ndege kadhaa za kivita za Urusi zalipuliwa na drones kwenye uwanja

    Hizi drones yaani tu, ndio vita vya kisasa, maskini Putin............ On the night of 26-27 August, the military counterintelligence service of the Security Service of Ukraine (SSU) struck Russian Su-30 and MiG-29 aircraft, as well as S-300s and Pantsirs, at the Kursk airfield with 16 drones...
  5. UKraine: Hadi sasa tumewaua Wapiganaji 260,000 wa Urusi

    Urusi imepoteza wanajeshi 260,820 nchini Ukraine tangu ilipoanzisha uvamizi wake mwishoni mwa Februari 2022, Mkuu wa Jeshi la Wanajeshi la Ukraine amedai. Takwimu hazijathibitishwa na ni tofauti sana na ripoti ya Urusi Katika sasisho lake, wafanyikazi wa jumla pia walisema kwamba, tangu...
  6. Viwanja vitatu vya ndege Urusi vyafungwa kisa mashambulizi ya drone za Ukraine

    Warusi wanaishi maisha ya kukazia macho angani muda wote Russia blocks fresh drone attack on Moscow, says mayor Russia reported a new drone attack on Moscow in the early hours of Saturday which again forced authorities to temporarily shut down all three major airports serving the capital...
  7. Serikali ya Urusi yakanusha kuhusika na mauaji ya Evgeny Prigozhin

    Ikulu ya Urusi (Kremlin) imekanusha vikali kuhusika kwa namna yoyote na ajali ya ndege inayosemekana kumuua Mkuu wa kundi la mamluki la Wagner, Yevgeny Prigozhin, ikisema tuhuma hizo ni uzushi usiokuwa na maana. Msemaji wa Ikulu ya Urusi, Dmitry Peskov, amesema shutuma dhidi ya Nchi yake hazina...
  8. Rubani wa Urusi atoroka na ndege ya kijeshi na kujisalimisha Ukraine

    Jamaa aliona isiwe tabu, kaondoka na ndege kama ambaye anakwenda kushambulia, ila katua Ukraine na kujisalimisha. Ndio kilichobaki sasa, maana wanajeshi wa Urusi mpaka sasa hawaelewi nini sababu za wao kuendelea kufia kwenye nchi ya watu tena kwa maelfu, "mizoga" yao haitarejeshwa nyumbani...
  9. Mfumo wa kiulinzi wa Urusi, S-400 walipuliwa kizembe sana

    Ukraine wanaendelea kuitesa Urusi walipua mfumo wa S-300 na kuua wanajeshi wote waliokua wameuzingira, Crimea. Explosions in occupied Crimea took place on the morning of 23 August near the village of Olenivka on Cape Tarkhankut, destroying a Russian long- and medium-range S-400 Triumf...
  10. Ndege 2 za kivita za Urusi zalipuliwa na kuharibiwa na drones

    Dah! Haya mambo ya drones ndio future, sijui Afrika tunajipangaje, yaani ndege za kivita tena za gharama zinapotezwa na drones kizembe tu............Mrusi hatokaa asahau huu ujinga alioanzisha. As a result of the attacks on the Soltsy and Shaikovka airfields, two Tu-22M3 strategic bombers were...
  11. Bosi wa Wagner atangaza hatua kuu 'kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi'

    Kundi hilo linafanya kazi kuifanya Afrika kuwa "huru zaidi," Evgeny Prigozhin alisema katika video ambayo inaonekana ilirekodiwa katika bara hilo. Kampuni ya binafsi ya kijeshi ya Wagner inaendelea kuajiri na inafanya kazi kwa bidii "kuifanya Urusi kuwa kubwa zaidi," mkuu wa kundi hilo, Evgeny...
  12. Drone ya Ukraine yashambulia uwanja wa ndege wa kijeshi Urusi

    Hamna sehemu salama ndani ya Urusi.... AIRFIELD "SHAIKOVKA", PHOTO: RUSSIAN MEDIA A kamikaze drone crashed at the Shaikovka airfield in the Kirov district, Kaluga Oblast, Russia, on the morning of 21 August. Early reports suggest a plane was damaged. Source: Vladislav Shapsha, Governor of...
  13. Luna-25 ya Urusi iliyokuwa ikielekea Mwezini imeanguka

    Luna-25 ni jaribio la Urusi kutua kwenye mwezi lililoshindwa. Jaribio hilo la kutua lililenga eneo la south pole mnamo Agosti 20. Hata hivyo, kutokana na sababu za kiufundi, kutua kwa chombo hicho kulikwama na kusababisha kushindwa kwa lengo hilo. Hii ilikuwa ni hatua muhimu katika juhudi za...
  14. Ndege ya Urusi imetua katika mji mkuu wa Niger

    Huko Niamey leo hii ndege ya kijeshi ya Urusi ikiwa na mamia ya wapiganaji wa Wagner wanaodaiwa kuchukuliwa kutoka Syria wametia timu Niger. Wagner imewaajiri maelfu ya maveterani wa vita kutoka Syria, ambao walikuwa wanapigana kulinda serikali ya Syria dhidi ya ISIS, Al-Qaeda na FSA...
  15. Waziri Wa Urusi Aikimbia Nchi Yake Na Kwenda Kuwa Dereva Wa Malori Marekani

    Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori 🤔 ..... https://www.theguardian.com/us-news/2023/aug/18/one-big-adventure-the-russian-minister-who-fled-the-draft-to-drive-trucks-in-the-us
  16. Bandari ya Urusi yashambuliwa, inawaka moto mkubwa

    Ni muendelezo wa kumpa Mrusi kibano, kumgeuzia kichapo, sasa hivi ndiye anapokea, kaanzisha...wenzake wanamaliza....na alishatoa mkwara kwamba akiguswa ndani atafanya kitu, sasa Ukraine wanajipigia opote kuanzia ikulu hadi bandarini...... https://t.me/shot_shot/55761 A huge fire covering at...
  17. Shambulio la Mossad Tehran lawakimbiza Wataalamu wa Drone wa Urusi kujificha kwenye hotel

    Taarifa iliyovuja na Washington Post kuipata ni kwamba Urusi imekuwa ikisaidia Iran kutengeneza drones chapa Shahed -136 ============== Russian officials visiting Iran as part of cooperation on attack drone development earlier this year were forced to hunker down in their hotel after an...
  18. M

    Maonyesho ya silaha za NATO zilizotekwa na Urusi yafana mjini Moscow

    Nchi za magharibi zimeshuikwa na kugugumizi!! hazijui ziseme nini. Akitambulisha maonesho hayo, waziri wa ulinzi wa urusi alisema silaha Marekani na NATO kwa ujumla hazifui dafu mbele ya makali ya silaha za urusi. Alisema hata silaha za kizamani enzi za kisoviet bado zina makali kuliko silaha za...
  19. Ukraine wanatumia drones kugundua mabomu yaliyofukiwa na wanajeshi wa Urusi waliotoroka mapambano

    Wenzetu teknolojia zao ziko mbali sana, yaani drone inapaa na kumulika hadi chini ya ardhi na kugundua mabomu, Warusi waliposhindwa mapambano walifukia mabomu na kutoroka. A demonstration of the thermal vision of the new military-grade drone in Kyiv, Ukraine, on June 20. Alex Chan Tsz Yuk/SOPA...
  20. M

    Baada ya kuzichakaza kwenye uwanja wa mapambano: Urusi yaziponda silaha za NATO

    Marekani na nchi zingine za NATO zilipeleka silaha nyingi sana ukraine kama maandalizi ya kujibu mashambulizi na kurudisha tena majimbo yaliyotekwa na urusi. Lakini silaha hizo nyingi ziliishia kwenye mdomo wa mamba!! Nyingi zililipuliwa na zingine kutekwa!! Magari ya kivita ya marekani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…