urusi

Urusi was a civitas and ancient episcopal see of the Roman province of Africa Proconsularis in present-day Tunisia.
The town flourished from 30BC until 640AD and has been tentatively identified with ruins at Henchir Soudga, (9.57727n 35.98709e) in Siliana Governorate. The ruins lie just outside the Jebel Serj National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwanini Jumuiya ya kimataifa isimtumie Kanye West kama msuluhishi vita ya Urusi na Ukraine

    Mzuka Wanajamvi! Watu kama hawa Kanye West wanaweza kuwa na hulka ya diplomasia na ushawishi wa kuzaliwa. Tuliona jinsi Denis Rodman alivyokaribishwa na kim North Korea na kiaina kulegeza kwa mbali uhusiano na Marekani. Kanye West anaweza kuwapatanisha Putin na Zelensky wakakaabmeza moja na...
  2. Austria: Ulaya haina chaguo jingine ila kuendelea kutegemea gesi ya Mrusi

    Sep 06, 2023 06:32 UTC Kansela wa Austria amesema kuwa kuendelea kununua gesi kutoka Russia hakufurahishi, lakini gesi ya Russia ni muhimu kwa usalama wa nishati wa nchi za Ulaya. Shirika la habari la Sputnik limemnukuu Kansela wa Austria, Karl Nehammer akisema hayo na kuongeza kuwa, kununua...
  3. Mamia ya wanariadha wakana uraia wao Urusi na kuomba uraia wa mataifa mengine

    Jameni Putin anaachiwa liinchi, matajiri wanahama, wanariadha wanaukana uraia na kukimbilia kwingine, vijana wameitoroka nchi, maskini ndio wanaachwa kuendelea kupambana na hali...ila kila anayepata upenyo anajiondokea. PHOTO: RIA NOVOSTI Russia’s Ministry of Sport says that over 100 Russian...
  4. Cuba yalalamika kwa Urusi kutumia raia wake kwenda kupigana Ukraine

    Urusi inavyotapatapa mpaka sasa inahamisha watu kutoka mataifa tofauti kwenda kufia Ukraine maana wanajeshi wake wamefyekwa kama senene... A human trafficking ring that coerced Cubans to fight for Russia in Ukraine has been uncovered, the Caribbean island's government says. The Cuban...
  5. Hatimaye supapawa Urusi yakiri kupoteza eneo la Robotyne

    Mpaka supapawa anakiri kupoteza na kufukuziwa nje nje ujue kweli hali mbaya.....ukizingatia anapambana na kainchi kadogo hapo kwake, wala hata sio vita vya mbali kama ilivyokua kwa Marekani na Vietnam, ni vita vya hapo hapo jirani kwake.................... Sept 6 (Reuters) - A Russian-appointed...
  6. Uingereza iko mbioni kutangaza Wagner kuwa ni shirika la kigaidi

    Serikali ya Uingereza inatarajia kuchukua maamuzi dhidi ya Kundi hilo la Urusi ambapo itamaanisha kuwa ni kinyume cha Sheria kuwa Mwanachama au kuunga mkono Shirika hilo. Mapendekezo hayo yakifikishwa Bungeni na kupitishwa itamaanisha mbali na Wanachama, mali pia za kundi hilo nazo...
  7. Majasusi wa Ukraine wamlipua jenerali wa Urusi kwa kutumia simu

    Hawa majenerali wanasakwa kote, manyumbani hadi ofisini, yaani wawe waangalifu na muda wote kugeuza geuza kichwa huku na kule, maisha ya wasiwasi kama digidigi. Huyu kapokezwa simu ya mkononi ikamlipukia, maisha ya hovyo sana, walivamia nchi ya watu wakadhani wao wataendelea kuishi kama...
  8. M

    Kifaru Cha Uingereza CHALLENGER 2 chaungana na vile vya ujerumani LEOPORDS 2 kuchomwa moto na majeshi ya Urusi: ABRAHAMS cha USA kitafuata mkondo!

    Putin alipowaambia waingereza walipokuwa wanajidai kupeleka vifaru vyao wanavyoviamini nchini ukraine kuwa na vyenyewe vitaungua hakua anatania. Kilipopelekwa tu kimoja uwanja wa mbele kupima kina cha maji, hakikurudi!! British Challenger 2 tank 'hit' in Ukraine By Thomas Spencer & Alex...
  9. Kiwanda cha kemikali chatiwa kiberiti Urusi

    Unawaliza watu kwenye nchi yao, nawe kubali kulizwa kwenye nchi yako..... https://twitter.com/i/status/1698965937502785800 SCREENSHOT: VIDEO A fire has occurred at the Sibur petrochemical plant in Russia's city of Dzerzhinsk. Source: Kremlin-aligned Russian news agency RIA Novosti, citing...
  10. Mama Mrusi ajighubika bendera ya Ukraine na kusimama Red Square, eneo la kihistoria, Urusi

    Kaamua kujitoa mhanga maana watakachomfanyia hawa mafia wa Urusi, tayari amekamatwa.... PHOTO FROM OVD-INFO TELEGRAM CHANNEL A woman was detained on Red Square in Moscow for joining a rally while wrapped in a Ukrainian flag. Source: Russian human rights media project OVD-Info with...
  11. Aliyekua generali Urusi asema nyuklia ndio njia ya pekee ya kuzuia mtiti wa counteroffensive

    Wanangu wa Ukraine wamekiamsha kama ambao wana vichaa vile, yaani Urusi wanafukuziwa balaa hadi aliyekua generali ameshauri njia ya pekee ni kutumia nyuklia kuzuia huu mzuka wa Ukraine.... A former top Russian soldier has suggested dropping a nuclear bomb in southern Ukraine to eradicate any...
  12. Mafundi ujenzi kutoka Asia wanyang'anywa passport na kulazimshwa kuingia jeshini Urusi

    Urusi imeishiwa wanajeshi hadi imeanza matendo ya kihuni, wageni wanaofanya kazi za ujenzi wanasakwa na kunyang'anywa paspoti na kulazimishwa mafunzo ya kijeshi kisha wanatiwa frontline kujaribu kuzuia mtiti wa counteroffensive ya Ukraine. PHOTO: SPUTNIK Since the end of June, Russia has...
  13. Depo kubwa ya mafuta yalipuka Urusi, tutafika tu

    Taratibu tutaongea lugha moja.... PHOTO: OSTOROZHNO, NOVOSTI On Sunday, 3 September, a big fire broke out at an oil depot in Krasnogvardeysky District, St Petersburg, Russia. Source: Ostorozhno, novosti (Careful, News); Readovka Details: Local residents reported that they heard sounds of...
  14. Moscow, Urusi ndege 23 zasitishwa safari baada ya tishio la mashambulizi

    Mji mkuu wa supapawa ni tafrani kote, walianzisha shughuli ambayo imekua kero..... About 23 flights were cancelled and 19 were delayed in Moscow on Sunday night, passengers at the Kiyevsky railways station were also evacuated due to reports of a bomb threat. Source: Russian state-owned news...
  15. Video: Mizinga ya Kh-101 ya Urusi inapigwa chini na silaha ya kubebewa mabegani, hadi aibu

    Hawa hawa wabeba javelin ndio walitafuna msafara wa Urusi wa vifaru vilivyokua vinakwenda Kyiv, wamepata jeuri ya kushusha mizinga iliyosifiwa siku zote, cruise missiles za Kh-101 ================== Lieutenant General Serhii Naiev, Commander of the Joint Forces of the Armed Forces of...
  16. Urusi yahamisha mifumo ya ulinzi wa anga toka kisiwa inachogambania na Japan cha Kuril kupeleka kwenye mpaka na Ukraine

    My take: Baada ya mambo kuwa magumu kwenye vita vyake na Ukraine, kupoteza silaha nyingi,Urusi yaanza kuhamisha silaha toka maeneo mengine kupeleka frontline dhidi ya Ukraine.Njia rahisi ya kumaliza vita,ni Putin kuondoka Ukraine,ikiwemo Crimea 🤔 .... Russia has taken away anti-aircraft missile...
  17. Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

    Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine. Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
  18. Ukraine wafanya mashambulizi ya drones Urusi kwa kiasi ambacho hakijawahi kushuhudiwa

    Viwanda vya drones Ukraine vinazalisha kwa wingi, maelfu na kwa sasa Ukraine hawapotezi muda, wanazituma Urusi na kupiga popote na kote, anga za Urusi zimekua balaa, milipuko mikoa sita kwa mpigo. Russia said that Ukraine launched drones against targets in six Russian regions, including an...
  19. Viongozi waliokuwa wamepachikwa na Urusi mji wa Tokmak, waanza kuondoka huku Ukraine wakijongea

    Hali tete, wazalendo wanakuja kwa kishindo, wanafumua kila kitu, Urusi waliteka mji na kupachika viongozi, hali imebadilika, ngome zote walizokua wamewekeza zinafumuliwa, walifukia mabomu kote ila yanalipuliwa yote, Ukraine wanakuja kama vichaa, wana mzuka wa balaa, wanasimika bendera zao kote...
  20. Ndege nne za kijeshi za Urusi zalipuliwa uwanjani na drone ya Ukraine

    Bandugu, patanei picha yaani kindege kidogo cha drone kinalipua mindege ya ya kivita, hasara ya ajabu sana na aibu kwa Urusi.... Russian media outlets reported that four Il-76 aircraft were damaged at a military airfield in Pskov as a result of a drone attack. Source: Mikhail Vedernikov...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…