uraibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ni uraibu gani unatamani ujinasue nao lakini umeshindwa?

    Kwa hali ya kawaida katika maisha ya kila siku jambo moja huanza taratibu na mwishowe huwa ni mazoea. Kiasili ubongo wa mwanadamu hupenda starehe sana kuliko shida. Yaani mtu anaweza kushikwa uvivu, kughairisha mambo, kuacha kazi baada kuona ni ngumu japo inalipa, kulala sana n.k. Hivyo mara...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uzi kwa ajili ya waraibu wa kamari, mikeka na kubeti wanaohitaji kuacha na kuepukana na uraibu huu

    Habari ndugu! Nimeleta uzi huu ili uliunganishe jamii ya watanzania ambao wameathirika na uraibu wa kamari na wanaoazimia kuachana na uraibu huu. Kamari/kubeti ni moja ya janga linaloangamiza watanzania na binaadamu kwa ujumla hapa duniani. Ushawishi wa kuingiza watu katika huu uraibu ni...
  3. JamiiForums Tanzania Kujichua ni kawaida na afya. Watu wengi huendelea nayo hadi utu uzima ila pale inapokuwa uraibu hadi kususia sex na majukumu basi shida unakuta ni hii

    Sio kwamba eti ni punyeto ndio imefanya umeaanza kuona hakuna utamu katika sex , no , ni afya ya akili ndio director wa hii movie, unakuta mtu anachakata mikono kila muda kwa kutumia energy zake zote na akifanya hivi akili yake hutulia tuli kuliko kama angepata jagina. Usicheze na kitu kinaitwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Addiction (Uraibu) gani umeshindwa kuacha licha ya kujaribu mara kwa mara?

    Habari wana jamvi Duniani kumekuwa na kila aina ya mambo yanayo msonga mwanadamu. Je ni Uraibu gani umekushinda kuacha licha ya kupambana? Sakwe bin sakwe Binadamu mashaka
  5. JamiiForums Tanzania Uraibu gani unaonekana kuwa hauna madhara lakini unaweza kukuangamiza

    Kila binadamu dunia kuna kitu ambacho anapendelea kukifanya bila kujali icho kitu kina madhara katika nyanja tofauti tofauti kijamii,kiuchumi na kifamilia mathalani akifanya icho kitu anapata amani na furaha ya moyo Ni kitu gani ambacho lazima ukifanye hata iweje na unakipenda bila kujali...
  6. JamiiForums Tanzania Nathubutu kusema nimeushinda uraibu

    Hakuna kisichowezekana chini ya jua, nilijaribu kuacha nikashindwa nikaacha nikashindwa nikaacha nikashindwa x7 sabini ikafika muda nikakiri kuwa hakuna awezae kuacha uraibu huu, Lakini sikupenda uraibu huo hata kidogo, nikamshirikisha Mungu mara kibao lakini sikufanikiwa kwani nilipozidi sana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kanuni za Ki Mungu za Kushinda Uraibu (Masterbation, porn, pombe nk)

    KanKanuni ya Kwanza Kutojihurumia Bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwahubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa. โ€” 1 Wakorintho 9:27 Watu wengi ambao wamekuwa na tabia za kujirudiarudia au uraibu wa kitu fulani, wamekuwa na tabia ya kujionea huruma. Kuna mtu...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ulicope vipi na uraibu wako wa pombe, sigara, kamari, n.k. kwenye lockdown ya maandamano?

    Bar, pub, hadi vioski vya pombe za kupima zilifungwa bangi na mirungi viliadimika sana maduka na vibanda vya sigara vilifungwa Ofisi za betting pamoja na internet ilizimwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uraibu wa Internet: Kukosa access ya internet huwa kunaathiri vipi siku yako ?

    Leo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii. Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi...
  10. JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa wanawake age go

    niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio. Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi...
  11. JamiiForums Tanzania Kipi kinakupotezea pesa na kuharibu uchumi wako

    Najua kuna wahanga wa hizi mambo hebu weka kura yako halatu tusaidiane kujinasua
  12. JamiiForums Tanzania WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: ๐Ÿšฌ Uvutaji Sigara / Nikotini 2. ๐Ÿบ Pombe 3. ๐Ÿ’‰ Heroin 4. โ„๏ธ Kokeini 5. ๐Ÿ’Š Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. ๐Ÿงช Methamphetamine 7. ๐ŸŽฐ Kamari 8. ๐Ÿ“ฑ Uraibu wa Smartphone 9. ๐ŸŒ Mitandao ya kijamii 10. ๐ŸŽฎ Gemu (ps4, x-box, etc) 11. ๐Ÿ” Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  13. JamiiForums Tanzania WHO REPORTS (UN) : Hii ndio Top 20 Uraibu hatari duniani

    1: ๐Ÿšฌ Uvutaji Sigara / Nikotini 2. ๐Ÿบ Pombe 3. ๐Ÿ’‰ Heroin 4. โ„๏ธ Kokeini 5. ๐Ÿ’Š Dawa (opioidi, dawa za kutuliza maumivu) 6. ๐Ÿงช Methamphetamine 7. ๐ŸŽฐ Kamari 8. ๐Ÿ“ฑ Uraibu wa Smartphone 9. ๐ŸŒ Mitandao ya kijamii 10. ๐ŸŽฎ Gemu (ps4, x-box, etc) 11. ๐Ÿ” Junk food (chips mayai, soda, juisi za kiwadani, bagga, etc)...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna video inamuonesha anayesadikika kuwa ni yule Vaileth wa Matonya akiwa katika hali mbaya na uraibu

  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni uraibu wa simu au uraibu wa intenet, unaweza kuwa mraibu wa simu bila data ?

    Mimi nilichokiona kusema mtu ni mraibu wa simu kuna vitu vimemiss kwa kiasi kikubwa huwa naona waraibu wa simu huzitumia sana kwenye internet mfano kuperuzi google, mitandao ya kijamii, youtube, whatsapp groups, downloading, n.k.
  16. JamiiForums Tanzania Nmekuwa na huu URAIBU kwa Miaka zaidi ya 30 sasa naelekea kuacha baada ya kukutanishwa na Wataalam

    Wajameni.... Mimi nlikuwa nahonga. Nlikuwa nahonga mpaka nahonga. Miaka zaidi ya 30 mimi nikitaka demu sina maneno mengi, sina mistari ni kuhonga tu. Unajua sisi wengine ambao sio hendisamu na pia hatuna sana mvuto na hatupendi kujieleza tunaona shida sana kukimbizia mbunye. Ni mwendo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda...

    Huu nao ni URAIBU mbaya sana Kuna watu wakiona hii kitu karoho kanadundadunda... Kama unajipenda anza zoezi la kuacha.. SODA ZOTE NA ENERGY DRINKS HUSABABISHA 1. Shambulio la moyo 2 uraibu 3.kichwa kuuma mara kwa mara. 4.Kisukari type 2 5. Uharibifu wa figo. 6.kipandauso (Migraine) 7...
  18. JamiiForums Tanzania Tuziseme addiction (uraibu) zetu na tusaidiane

    Siku haiwezi pita bila kunywa pepsi au coca, na nimefabya hivi kwa muda mrefu sana hadi naanza kuhofia afya yangu mbeleni. Pia mimi ni mraibu mkuu wa sex hadi huwa nahisi kuumwa nisipoipata in 2 to 3 days. Sisemi haya kujisifia bali kusema mzigo niliona nao. Funguka
  19. JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa kutegemea sana chatGpt, nisaidieni namna ya kuacha

    Aisee ndugu zangu ,hii sio masihara ni issue serious sana. Ipo hivi, kila tatizo ninalopata nakimbilia kuuliza kwenye app ya chatGpt.Nimekuwa sijiamini Katika mawazo yangu binafsi.Pia nahisi IQ yangu inashuka . Najihisi sina faida na najiona kuwa Bure kabisa.Sina motisha ya life. Nataka niwe...
  20. JamiiForums Tanzania Uraibu na kujieleza (Addiction and Expression)

    Mada yangu imekaa kiswali zaidi tuzungumzie Uraibu, upi mzuri na upi mbaya Expression zipi ni nzuri na zipi ni mbaya Siku zote kuvutiwa na jambo fulani sana uwa inategemea una roho ya namna gani na asili yako ni ipi... Na moja ya Vitu ambavyo vinawakutanisha watu kufurahi ni Uraibu, Uraibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ