Nimekutana na bandiko moja la hadithi ya Idd Amin na ujasiri wa Maliyamungu(Maliyamungu) nikamkumbuka shujaa Humphrey Polepole na ushujaa wa kanisa Katoliki.
Andiko limeandikwa kwa kiingereza nikatafsiri kwa kiswahili kwa msaada wa Chatgp.
Soma hapo chini :-
Wanasema hofu huwafanya hata...
Kuna makundi yamejigawa.
1. Urusi
2. China
3. Amerika
Miafrika inadhani adui wa Marekani ni rafiki yao. Na hivyo hivyo kwa Mchina na Mrusi. Tulimuunga mkono Russia kuivamia Ukraine. Inakuja Marekani na Green land
Inakuja China na Taiwan. Wakimaliza watahitaji rasilimali vitu na hapo ndo...
kuwapangia wabunge nini cha kuongea bungeni wasifie tu ni kinyume cha sheria na hakina msingi wowote ni ujinga na upumbavu.
Nimesikia wabunge wanapangiwa cha kuongeea bungeni tena huongei mpaka uwe kwenye list kama watoto wa shule ya maingi. suala hili linalivua nguo taifa zima kwa ujumla na...
1. Unakuta mnyamwezi au Muha anaomba Bismillah, salamaleko alhamudilalah hicho kiarabu na hajui maana yake,
Hivi ukisema Asante Mungu utakufa?
2. Mgogo au Mluguru na kipiripiri chake eti anafuga ndevu ili awe kama mwarabu?
Hajui waarabu wao wameubwa na ndevu nyingi hata wakifuga ndevu...
Nimetoka kuangalia video fupi ya ugomvi baina ya Mbunge Msukuma na Mtu aliyeelezewa kama Muwekezaji.
Katika video ile ukimsikiliza kwa makini msukuma na yale mazungumzo yake na yule anayeitwa muwekezaji utaelewa mambo yafuatayo;
1. Msukuma anaamini yeye ni sehemu ya Serikali na Serikali ndo...
Friends and Our Enemies,
Kanisa Katoliki kupitia kiongozi wao Ruwaichi limeingia kwenye vita kali ya maneno na majibizano na waumini wake mara baada ya waumini hao kuandaa maandiko na kuyapeleka VATICAN ambako ni makao makuu ya kanisa hilo kuwashitaki viongozi wa kanisa hilo wa hapa nchini kwa...
Hawa viongozi wa Tanzania wanajifanya miungu mtu, eti hata waibe vipi hawawezi kushtakiwa mahakmani,, na matokeo hayawezi kupingwa mahakamani! Huo ni upumbavu mkubwa unaorudisha demokrasia nyuma na kuwafanya marais wa Tanzania sawa na miungu.
Mahakamani ni mahali pa kutafuta haki, sasa...
KUna jambo la kushangaza sana, wauaji na wadhulumaji haki, baada ya kuua watu kwa maelfu, kutrka watu, kuendelea kubambikia watu keshi, baada ya kudhulumu haki, eti wanasema wataanzisha maridhiano. Tuwakatalie hawa watu wapuuzi na upuuzi wao.
Watanzania hawahitaji maridhiano, bali wanahitaji...
Huyu jamaa ni zezeta na pevert, anaandika upumbavu sana mtandaoni, kuhamasisha usodoma(mapenzi kinyume na maumbile), ufuska, ngono kwa watoto
nafikiri LHRC walishamkemea wakabezwa, hata Waziri wa jinsia na watoto alishawahi kumkanya akabezwa, mtandaoni anashangiliwa sana na kupewa matangazo...
Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda Kucheza Mechi zake za Kimataifa huwa hamchukii tena huwa mnafurahi na kukenua hovyo na kila Kona...
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa,uchumi na kijamii, Onesmo Mushi, amewasihi watanzania kutoshiriki kupiga kura kwenye uchaguzi wa mwaka huu kwani itakuwa kama ni kuhalalisha upumbavu.
Mchambuzi huyo ameonesha kuwa tangu turejee kwenye mfumo wa vyama vingi vya siasa, wagombea wa Urais Kwa mwaka...
Salaam,
Kuna haja gani ya kuweka picha yako kwenye tangazo la huduma au bidhaa yako wakati wewe sio mtu mashuhuri ?
Tunajua kwa watu mashuhuri ni sawa kuweka picha au artwork yake, mfano hata trump juzi tu ametoa Ile parfume yake ya Victory. (Kwa sasa yeye ni raisi wa Marekani hapo sawa maana...
habari za leo nyie MADUNDUKA A.K.A MAKOLO na UTOPOLO A.K.A CHURA......
Wakati wenzetu Wakenya wanajitokeza barabarani wakipigania haki zao, uhuru wa kisiasa, mabadiliko ya kiuchumi, na mustakabali wa watoto wao, sisi hapa Tanzania bado tumejifungia kwenye majukwaa ya...
Ni jambo la kusikitisha mno na linalotia hasira kwamba katika karne ya 21, bado tunashuhudia watu wanaojiona wasomi wakishabikia mfumo wa utawala wa kijinga, wa kisultani, wa kibeberu uliovaa joho la kidemokrasia lakini ndani yake ukificha kiini cha udhalimu, uonevu, upumbavu na utekaji wa haki...
Ndugu zangu Watanzania, hatuwezi kukaa kimya wakati utawala unageuza dini kuwa kisingizio cha kuua demokrasia. Tumeona sasa, kwa macho yetu wenyewe, serikali ikiamka na kiburi kama cha shetani wa jangwani, inavamia makanisa, inakandamiza maaskofu, na inadhani ina mamlaka ya kuamuru nani aseme...
Kila kitu hoi, customer service hawapokei.
CRDB mmekuwa trash sana, masaa 4 sim banking haifanyi kazi , biashara na miamala vinagoma kuendelea kwa sababu ya upumbavu wenu
Trash🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
dhuluma tanzania
elimu kwa umma
hii
kina
kizazi cha sasa
maulid
maulid kitenge
morning show
mustakabali wa taifa
propaganda tanzania
redio
redio tanzania
show
uanahabari
ubadhirifu wa mali ya umma
uelewa wa wananchi
uhuru wa habari
uhuru wa vyombo vya habari
ujinga
upumbavu
uzembe wa vyombo vya habari
wajibu wa waandishi
wananchi
wasafi
wasafi fm
watanzania
wimbi la mazombie
zembwela
[tags] vyombo vya habari