upinzani

  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini tusifute Vyama vya vya Upinzani haiwezekani Wapinzani wanaishi Kama Wakimbizi kwenye Nchi Yao

    Kuna mambo ukijiuliza unabaki na uzuni. Siasa za vyama upinzani afrika tumeshindwa kuwa wastarabu ni bora vyama vya upinzani vifutwe ?Hii inaonyesha afrika hatuna huwezo wa kuvumilia mawazo mbandala ! Tukajenga nchi zetu? Ni jambo la kusikitisha sana. Vyama vya ukombozi vya afrika baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Kukosa agenda kwa vyama vya upinzani nchini, kumewasababishia Udumavu wa kisiasa

    Na hiyo huchangiwa zaidi na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya CCM kwa 100%, hali ambayo huwakosesha kabisa vyama vya siasa vya upinzani nchini agenda. Matokeo yake hali hiyo ni kwamba wapinzani wanaonekana kama matapeli tu wakisiasa wanapokua kwenye medani za siasa nchini. Hata hivyo, kukosa...
  3. JamiiForums Tanzania Tangu mfumo wa vyama kuanzishwa nchini, bado hakuna kabisa mchango wa vyama vya upinzani katika kuchochea maendeleo ya wananchi nchini.

    Ni CCM pekee kwa dhamira yake njema kwa taifa, utashi wa kisiasa wa viongozi wake, mipango mikakati yake ya maendeleo kwa wananchi na dhamira yake njema kwa waTanzania, ndio daima huunda serikali sikivu ya wananchi na kuongoza nchi, huku ikilenga zaidi kuwaletea waTanzania wote maendeleo bila...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Upinzani sio kukosoa kila kitu

    Kuna haja ya kufundishwa siasa za kistaarabu za kisomi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuna ukweli biashara ya kubeba mizigo kwa kirikuu imeyumbishwa na maguta ya Kichina

    Hapo zamani biashara hasa za hardware walikuwa wanatumia sana kirikuu kubeba cement, mabati, nono, n.k. lakini sikuhizi tunazidi kuona kasi ya maguta yakichukua nafasi hii wafanyabiashara wanaoenda kununua vitu kama maduka makubwa nao hawachezi mbali wameanza kuyaelewa maguta Pia kirikuu...
  6. H

    JamiiForums Tanzania NYUMA YA PAZIA. Kwanini Heche ni Pandikizi Jipya kwenye upinzani?

    1. Hawezi kuja na hoja zenye uelekeo thabiti wa mabadiliko bali huja na mawazo ya Jumla Jumla tu. 2. Wakati wa kampeni zilitoka tuhuma dhidi yake za hisa kwenye mashimo ya dhahabu. Hazikujibiwa zaidi yaa kuzuia kuchafuana. 3. Hajawahi pata kashkash za kipinzani. 4. Alikuwa sehemu ya Mpango wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ado: Kuwa mwanasiasa wa upinzani nchi nyingi Afrika ni kujiingiza kwenye misukosuko

    Mbunge wa Tunduru Kaskazini na Katibu mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumza na waandishi wa habari, amesema katika vitu ambavyo haogopi ni kupata misukosuko ya kisiasa kwa hofu hiyo aliitoa alipoamua kuwa mwanasiasa wa upinzani. Ameongeza kuwa, kwa nchi nyingi za Afrika...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa ni kwa nini watu kutoka upinzani wakihamia CCM wanapewa vyeo haraka sana tena vikubwa!

    Wanabodi kumekuwa na utaratibu licha ya ccm kujigamba kwamba Ina rasilimali watu ya kutosha lakini inaonekana watu smart sana wanapatikana upinzani. Mwanzo nilijua tu kuwa labda ni kivutio cha kuwashawishi wapinzani wengi kuhamia huko ila baada ya kuona jinsi mashabiki wa ccm wanavyojenga hoja...
  9. JamiiForums Tanzania NGOs na vyama vya siasa vya upinzani Afrika ni watengeneza maudhui katika karne hii

    "Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs) na vyama vya siasa vya upinzani barani Afrika katika karne hii, vinaendeshwa kwa ushabiki na kiki nyingi kupita kiasi. Kuna mambo wanayoyafanya hadi unajiuliza iwapo watu hawa wamepoteza uwezo wa kufikiri, au tatizo ni kukosa ajenda madhubuti za maendeleo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwabukusi: Tunapoteza nguvu kushughulika na upinzani kuliko Ripoti ya CAG

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ametoa kauli nzito kuhusu Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), akidai kuwa ripoti hiyo imeendelea kuwa "kumbukumbu ya kila mwaka" isiyo na matokeo ya kisheria kwa wabadhirifu wa mali za umma...
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani waitaka IEBC iachane na teknolojia ya Smartmatic kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027

    Viongozi wa Upinzani Wote wametaka Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) iachane kabisa na teknolojia ya Smartmatic kabla ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao, wakiwemo Kalonzo Musyoka wa Wiper Patriotic Front, Justin Muturi wa DP, na Eugene Wamalwa wa DAP-K, pia waliwaomba Mahakama...
  12. JamiiForums Tanzania Tafakuri ya Idu: Dk Nchimbi amewathibitishia watanzania kuwa CCM inanyanyasa upinzani kwa kutumia mabavu.

    Kuanzia ngazi zote CCM huwa wanatumi mabavu kuleta ghasia na kunyanyasa wapinzani kwa kutumia jeshi la Polisi na mahakama. Angalia zile vurugu alizofanyiwa Heche alipokuwa Igunga. Kamata kamata ya viongozi wa CHADEMA ambao hawana hata makosa Green guard wa CCM kuwa wanabeba siraha wakati...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani haumalizwi Kwa mkono wa chuma, bali Kwa njia mbadala kisayansi na kisaikolojia Kwa wahitaji wa upinzani wenyewe!

    Kutumia mbinu za kijima yaani mkono wa chuma Kwa kizazi kipya ni ku expose uzembe wa idara ya taifa husika katika kusoma alama za nyakati plus mahitaji ya kizazi husika! Tambiko hubadilika kutokana na mahitaji ya nyakati na kizazi ili kuepuka madhara makubwa Kwa taifa! Kama ccm ndio Tambiko...
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Upinzani walalamikia serikali matumizi ya nguvu kupita kiasi kuvuruga mikutano yao

    Wakizungumza Jumapili Februari 22, 2026 katika ibada ya kanisa la PCEA Utawala jijini Nairobi, Viongozi wa Upinzani Kenya Wamedai kuwa serikali kupitia polisi na magenge ya vijana imekuwa ikivuruga mikutano ya kisiasa ya Upinzani, ambapo aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Fred Matiang'i alihoji...
  16. JamiiForums Tanzania Simoni wa Zelote, mwanasiasa wa upinzani aliyemfuata Yesu

    Katika kipindi cha karne ya kwanza BK, kulikuwa na harakati ya Kiyahudi iliyoitwa Zealots Hawa walikuwa kama chama cha upinzani dhidi ya utawala wa Roma katika Yudea. Mimi nawafananisha kama chadema ya sasa dhidi ya ma ccm Walikuwa na misimamo ifuatayo Walikataa kutawaliwa na Roman Empire...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Katavi: Unaazimisha pikipiki ya Samia kwa Upinzani halafu tukusamehe?

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali. Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Kiongozi wa Upinzani Guinea-Bissau apata uhuru kutoka gerezani

    Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa. Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
  19. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Raisi Museveni :Hakuna upinzani Uganda

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametilia shaka tena uadilifu wa upinzani nchini humo, akikishutumu chama cha upinzani cha National Unity Party – NUP kwa kuhusika na vitendo vya udanganyifu kwenye uchaguzi. Museveni, ambaye amekuwa madarakani tangu 1986, alidai kwamba Jukwaa la NUP liliongeza...
  20. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wasimamizi wa uchaguzi Uganda waliowatangaza wagombea wa upinzani kushinda nafasi za Ubunge na Udiwani wakamatwa na polisi na kushushiwa kipigo

    Afrika ni ngumu sana kwa baadhi ya mataifa! Mfano mataifa ya Afrika Mashariki yanatia aibu sana katika mchakato wa uchaguzi walau Kenya kuna misingi ya Haki na sio Tanzania wala Uganda na mataifa mengine ni kunaukandimizaji wa haki mkubwa sana katika kipindi cha uchaguzi! Ukoloni mpya unazidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…