Kwanza nianze kwa kusema sijawahi kufika Ulaya, kila kitu nakiona kwenye TV na mitandao ya kijamii.
Katika kufuatilia kwangu kuna utofauti nimeuona kati ya Urusi na nchi nyingine za Ulaya. Wakati nchi nyingine za Ulaya hasa Magharibi mfano Ufaransa, Ujerumani, Uingereza wakiongea kuhusu haki...