upinde

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. secretarybird

    Naomba tuwaite members wa JF ambao sasa hivi wanatamba kule TikTok

    Ni dhahiri kwamba baada ya JF kupigwa ban members wengi wamekimbilia kwenye mitandao mingine. Natumai kuwa membaz wengine wako Facebook, X (Twitter), na Instagram hiyo siyo shida sana. Shida ni kwamba members wengine sasa hivi wako TikTok wakifanya challenge ya Ngoma za akina Zuchu na Nandi...
  2. JOHNGERVAS

    Balile amesema waandishi wanaoikosoa serikali ni Vibaraka wa upinde.

    Kwa mujibu wa Andiko la Boni Yai (EX-MAYOR Ameandika hivo kupitia andiko hili anaandika Boni Yai BALILE NI MWANDISHI AU DOLA..? MASWALI KUMI (12) KWA BALILE. 1.Balile anawezaje kugeuka kuwa mchomaji wa waandishi wenzake wa Habari..? 2.Balile aliyefundishwa kujifundisha na kukosoa jamii...
  3. S

    Kwanini urusi haijashadadia masuala ya upinde kama nchi nyingine za ulaya?

    Kwanza nianze kwa kusema sijawahi kufika Ulaya, kila kitu nakiona kwenye TV na mitandao ya kijamii. Katika kufuatilia kwangu kuna utofauti nimeuona kati ya Urusi na nchi nyingine za Ulaya. Wakati nchi nyingine za Ulaya hasa Magharibi mfano Ufaransa, Ujerumani, Uingereza wakiongea kuhusu haki...
  4. Mhaya

    Papa Mpya aayeitwa "Leo XIV" amkwepa mtu mwenye bendera ya Upinde 🌈 wakati wa kusalimiana

    Papa mpya aoneshq matumaini mapya dhidi ya watu wenye itikadi za ushoga, baada ya kumkwepa mtu mwenye bendera ya ushoga aliyetaka kurazimisha salamu wakati Papa huyo akisalimiana na watu Tizama video hii
  5. Mr Why

    Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya Upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima

    Watanzania walalamikia kitendo cha Diamond Platnumz kumvalisha mtoto yatima T-shirt yenye rangi ya upinde alipokwenda kutoa msaada kwa watoto yatima Diamond Platnumz alitoa msaada wa nguo kwa watoto yatima jambo lililowapa faraja watoto yatima pamoja na walezi wao lakini jambo la kushangaza ni...
  6. Waufukweni

    Marc Guehi aandika "Yesu Anakupenda" kwenye kitambaa cha unahodha chenye rangi za Upinde, baada ya onyo la FA

    Baada ya kupewa onyo na Shirikisho la Soka (FA) kwa kuandika maneno "I love Jesus" kwenye utepe wa upinde wa mvua, Marc Guehi, beki wa Crystal Palace, ameandika "Jesus loves you" (Yesu anakupenda) kwenye utepe wake wakati wa mechi dhidi ya Ipswich. Nahodha wa Ipswich, Sam Morsy, naye ameamua...
  7. Waufukweni

    Nahodha wa Ipswich Town, Sam Morsy agomea kuvaa kitambaa cha Unahodha chenye Upinde kwa sababu za Kidini

    Mchezaji na nahodha wa Ipswich Town Sam Morsy ndio nahodha pekee wa timu za EPL aliyekataa kuvaa kitambaa cha unahodha chenye rangi za upinde zikiashiria LGBTQ plus wikiendi iliyopita, Sam alisema kwa imani ya dini yake (Uislamu) hatovaa kitambaa hicho. Klabu yake Ipswich Town ilimruhusu...
  8. Meja Jenerali Isamuhyo

    2024 Apple event: Rangi za upinde zatawala

    Apple event kwa mwaka 2024 inafanyika leo ambapo iPhone 16 series inatarajiwa kuzinduliwa. Rangi za upinde ni sehemu ya tukio hilo la leo. Yapi maoni yako
  9. Uhakika Bro

    Jaribio sahili unaloweza kulifanya na watoto kutengeneza upinde wa Mvua

    Habari wana JF, Leo ninawaleteeni sayansi ya upinde wa mvua. Hivi unafahamu ni kwa vipi upinde wa mvua hutokea? Na ni kwa nini watu wakiona upinde wa mvua husema bila wasiwasi kwamba "mvua haitanyesha, si unaona li upinde la mvua lilee" Naandika mada hii baada ya kusikia kisa cha bodaboda wa...
  10. sky soldier

    Kurasa tatu za Tamko rasmi la Kanisa Katoliki kuhusu kuruhusu ubatizo kwa wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Chanzo ni sio bbc wala Aljazeera, ni makao makuu ya kanisa katoliki nchini Vatican kwenye kwenye maktaba ya Idara ya Mafundisho ya Imani >> Dicastery for the Doctrine of the Faith << title imeandikwa 3 November 2023. Tamko liliandaliwa na Idara ya mafundisho ya imani kisha Papa Francis...
Back
Top Bottom