kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
Kama Duniani tu Allah alimpendelea Mtume wetu na kumruhusu kuoa wanawake 10+ . Nina amini huko Peponi atakuwa anawazagamua sana wale Mahurumain wa Allah.
Quran 33:50
"Ewe Nabii! Tumekuhalalishia wake zako ulio wapa mahari yao, na ulio wamiliki kwa mkono wako wa kulia katika alio kupa Mwenyezi...
Wakati vyombo vingi hapa Bongo vinewekwa Chini ya makwapa ya serikali, muandishi kutoka Kenya "Larry Madowo" ameendelea kutoa somo kwa wanahabari ya namna ya kuripoti habari bila kuegemea upande na bila kificho na kuzudi kujipatia umaarufu mkubwa Tanzania...
Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi.
Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania.
Hizo familia zinajulikana.
Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
Kwamba familia za Kikwete, Mwinyi, Rais Samia na wengineo ndio wanafaidi keki ya taifa.
Huku majority wanahangaika hata kupata ugali dagaa.
Leo hii wanasema waandamanaji ni vibaka.
Ufisadi, kujipendelea, wizi wa mali za umma, kudharau wananchi na kuwaona wajinga ni balaa kwa taifa
Eti wakuu, sio wanawakamata kina Mdude sijui wanaharakati mpaka mx Mello wetu mkamtishia kumpoteza sasa kajitokeza Tesha wazi wazi na zaidi ametaja mpaka alipo ni pale SAK inshort kawarahisishia kizi tunaoamba watu msiojulijana msiwe na upendeleo hebu kamtekeni Tesha analeta nywi nywi.
TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani.
Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
Sio mzuri wa dini ila kuna maelezo yanaeleza hayo.
Unakuta kuna koo au familia yani wao kupata kazi ni kawaida ila wengine hata wafanyeje ni ngumu.
Nimeshuudia familia moja yani wao wote kama wanangekewa na wanazikataa yani jamaa anaacha kazi na kutafuta kazi nyingine na alipoacha...
Hali ya ubaguzi na upendeleo katika kila ofisi kuanzia zile za dini, binafsi hata serikali ni kubwa sana.
Bila kujulikana au rushwa hupewi huduma Bora zaidi utatoka ukiwa una huzuni na wakati mwingine machozi.
Jana nilimwona Mzee mmoja akifurahia alivyopewa huduma nzuri katika banda la RITA...
Ukisema maendeleo kidogo yaliyopatikana katika soka la Tanzania limechangiwa na Wallace karia, ninapinga.Maendeleo ya soka nchini kwa kiasi kikubwa yamechangiwa na wadau wa michezo wakiwemo wafadhili, ambao kwa namna moja ama nyingine nina uhakika wallace karia hajachangia au kama amechangia ni...
Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi
Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana...
Hii haijakaa sawa watumishi walioajiriwa taasisi/idara mbalimbali mwingine kupewa zawadi kubwa sana tofauti na mwenzake ilihali wote watanzania na pia wanahudumia Taifa.
Na mzizi wa haya yote ni utofauti wa mishahara. Anayefanya kazi halmashauri au mikoani kulipwa kidogo tofauti na...
Habari za muda wadau .
Wanasimba hongereni kwa ushindi.moja kwa moja kwenye point nikwamba wiki mbili zilizopita niliandika uzi wa kuwa simba akifuzu nipigwe ban .
Nakweli baada ya simba kushinda kuna watu walinifukunyua nikapigwa ban ta wiki nilipitia ugumu na sikuwa na namna .
Leo mtu wa...
Nimejaribu kuangalia ratiba ya NBC PL nimejikuta nabubujikwa na machozi kwa uchungu, mashujaa aliyecheza na Yanga kigoma amecheza Jana na Singida BS na kunyukwa bao tatu sufuri wakati huohuo Yanga yenyewe inacheza kesho, hapa imekaaje wakuu?
Jambo hili limekuwa likijirudia Mara kwa Mara na...
Ukiangalia kwa undani, CCM na serikali yake kila kitu kinachohusu wananchi wanataka watumie dola na ubabe kifanyike, wananchi wanajua kabisa CCM kupitia serikali wanaiba kura, na kwasababu ccm inalazimisha watumishi wa serikali kuwa wao ni waajiriwa wa CCM hivyo lazma kiwatumikie, Vivyo hivyo...
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali.
Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.