upande

Boma Upande is a settlement in Kenya's Kilifi County.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Watibeli tupo upande wa haki. Kama unapigania haki sisi tupo upande wako

    WATIBELI TUPO UPANDE WA HAKI. KAMA UNAPIGANIA HAKI SISI TUPO UPANDE WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Hatuwi upande wako kwa sababu wewe ni mchungaji, au sheikhe, au Rais, au Mkuu wa majeshi, au waziri, au mbunge,au kaka au dada au Mzazi au mtoto. Hapana! 2. Kama upo upande wa haki...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa takwimu hizi, polisi wako upande wa hatari kupambana na vijana wa gen z

    Kuna report moja ilichapishwa na watu wa wizara ya afya kama 2 years ago. Wali report “health status” ya watu na katika sectors tofauti. Polepole aliirejea wakati anatoa takwimu zake za mambo ya afya wiki tatu zilizopita. Ukiisoma vizuri hile kitu unagundua kuwa polisi wengi wana ishu za...
  3. JamiiForums Tanzania Haki itashinda na Vyombo vya usalama kuwa upande wa haki

    INSPEKTA WA POLISI AMWAGA MAZITO YA KUHAKIKISHIA RAIA USALAMA NA USHIRIKIANO OKTOBA 29 Hello, important plz. Mimi ni police rank ya inspector, naomba nikujuze kwamba tumeshajipanga vizuri kuikomboa nchi, wa Tanzania wasiogope kutoka ndani na wala wasiogope hayo magari hivyo ni vitisho tu...
  4. JamiiForums Tanzania Fanya maamuzi sahihi kuhusu upande utakaokuwa tarehe 29

    Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi...
  5. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Samia ameamua kukaa upande wa walaghai na wanafiki, watamgeuka soon tu baada ya uchaguzi

    Habari za muda wakuu.. Sioni Mama Samia akiwa na amani tena katika majukumu yake baada ya uchaguzi. Watu alioamua kuwasikiliza ni walaghai na wanafki pro max. Soon baada ya pilika za uchaguzi kuisha na akishaapizwa na wabunge wakiapishwa ndio ataanza kuona rangi zao halisi watamruka hadharani...
  6. JamiiForums Tanzania Mji wa Goba ukiwa upande wowote unaweza kuufikia

    Habari, Binafsi naupenda sana mji wa Goba kutokana na Geographia yake, ukiwa upande wowote unaweza kuufikia mji wa goba bila changamoto yoyote Mbezi shule kupitia masana unafika goba Mbezi luis kupitia goba road unafika goba Kimara mwisho kupitia matosa road unafika Goba Mlimani city...
  7. JamiiForums Tanzania Mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam yanatoa upande usiofahamika

    Nipo YouTube naangalia mahojiano ya Absalom Kibanda na Mwalimu wa Rostam Aziz nadhani wabongo wengi hujenga hoja au kumkosoa mtu kwa kufuata upepo bila kutafuta facts. Mahojiano haya yana facts za kutosha tu. Ila nilichobaini watanzania wengi hasa wakata ufuta ni wabaguzi sana na wana chuki...
  8. F

    JamiiForums Tanzania Dar: Ahukumiwa kunyongwa kwa kosa la kumuua mpenzi wake aliyegoma kubadili dini

    Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini tuliacha kurithi kutoka upande wa mama/kwa wajomba?

    Zamani wabantu wengi wa pwani ya Tanzania ya leo walikiwa ni matrilineal societies. Zamani kwa Wazaramo na watu wengine wa Pwani mtu mwenye wapwa aliheshimika kuliko mwenye watoto. Yaani watoto wa dads yako walikuwa na thamani kuliko wako. Hata ukifa mali walirithi watoto wa dada yako. Na...
  10. JamiiForums Tanzania Misiba ya sisi waafrika ndipo unapojua maisha ya upande wa nyuma ya marehemu na familia yake lakini pia ndipo vikao vikuu vya watu wambea na wanafiki

    Hapo ndipo utajua watoto wa nje wa baba na wale wanaosadikika kuwa ni wake kwa maana baba alipita na mke wa mtu, Utawajua wadeni wake kila mara wanakuwa karibu na mke wake au kaka zake marehemu, michepuko yake inakuwa around kama wataweza kugawiwa chochote. Kuna wale speculators: wanaomchukia...
  11. JamiiForums Tanzania Somo gumu na lililojaa maumivu kwa upande mmoja na furaha kwa upande mwingine kutoka Nepal

    Tunaweza kujifunza sasa tukiamua kabla hazijaja nyakati ngumu.. Nguvu ya uma ni nguvu ya ajabu mno Imewachukua vijana wa Nepal masaa 36, kupata uhuru wao kuondoa serikali isiyowajibika madarakani. Mwanzo polisi walitumia amri, mabomu, risasi na kuzima mitandao. Sasahivi waziri mkuu yuko...
  12. JamiiForums Tanzania Ukisearch girl au woman kwenye imojis zinakuja picha za vidume

    Hii yote kuhalilisha uchapati 🚮🚮🚮
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  14. JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto

    Wakuu Kwa wiki moja sasa nimekuwa nasumbuliwa na maumivu ambayo sio makali sana mkono wa kushoto na ukiinua mkono na kuubana kwenye eneo la kushoto ambapo kuna moyo, unahisi kama kukosa pumzi vizuri. Nimepima vipimo vingi ikiwemo ECG na ECO lakini hakuna kilichoonekana na maumivu bado...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  16. JamiiForums Tanzania Marufuku madhabahuni (upande wa pili)

    Historia ya Nchi yetu inaonyesha kuwa Uhuru wetu uliletwa kwenye Ibada kama hizi, au makongamano ya Dini. Jana tu Kanisa Katoliki lilikamilisha Mfungo wiki nzima kuombea Haki. Naomba kwa leo watu tujadili hili Kongamano la Amani la Umoja wa Mainamu Tanzania UMATA, Mgeni rasmi alialikwa Rais...
  17. JamiiForums Tanzania Kumbe Kenya kwa upande wa viwanja vya mpira wametuzidi?

    Niko naangalia CHAN hapa MECHI zinazochezwa Kenya viwanja vyao vizuri Sana. Hii Nyayo Stadium imetulia Sana
  18. JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Final, Nimemalizana na ishu za mahakama Kuhusu Talaka

    Habari za jioni wakuu na ndugu zangu JF. Ni matumaini yangu tunaendelea vyema kila mtu kwa kiasi chake, maana changamoto hazijawahi kuisha. UTANGULIZI Kwa mara ya mwisho (naamini hivyo), nimerudi katika kutimiza ahadi yangu ya kuleta mrejesho juu ya suala langu ambalo lilishia katika uzi huu...
  19. JamiiForums Tanzania Karma ni moja ya njia ya masikini kujifariji

    Karma ni stori tunayojiambia ili kuyapunguza maumivu ya maisha, lakini kweli kabisa, maisha ni kama roulette—sometimes unashinda, sometimes unapoteza, na mara nyingi inategemea tu uko kwenye angle gani. Anayewaonea atakufa, ataacha mali aliowachukulia kwa utapeli na itakayorithiwa na watoto...
  20. JamiiForums Tanzania Nataka kuweka uzi wa kitabu changu cha hadithi hapa. Zipi faida zake kwa upande wangu?

    Za leo wakuu Nauliza hili, maana pia naona simulizi nyingi humu na za kuvutia zikiwa ndefu vya kutosha. Nitafaidika vipi na utaratibu ni upi wa kuanza kuweka? Natanguliza shukrani zangu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…