uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waafrika nimewakatia tamaa kwenye uongozi na maendeleo ya umma, Bado tuna damu za kutawala kichifu

    Muafrika ni mwanaharakati mzuri sana anapokuwa chini lakini akishapewa mamlaka ghafla mizimu ya kichofu humpanda. Mara ya mwisho kuona kunweza kuwa na matumaini ni kwa Raisi wa Zambia Hichilema nikasema hapa kuna matumaini ila kwa yanayoendelea nae kaanza kusulubu wanaompnga, Hapa kwetu siwezi...
  2. Viongozi na uongozi wa Simba kubalini tu kua Injinia Hersi kawazidi sana pakubwa kiakili na uwezo wa uongozi, na nyie mmekalia migogoro na uswahili

    Na leo naona mna press conference mchana wa leo najua tu mnataka kumjibu Injinia mwenye akili nyingi sana Hersi Na hamuoni hata wanasimba wenyewe wamefurahi sana kwa Injinia kutoa mfano kwa Simba kwamba Ina migogoro mikubwa upande wa uongozi...yan wako pale kula na kugombania pesa ya Mo Dewji...
  3. A

    KERO Maandamano ya Amani dhidi ya Uongozi mbovu na kukosakana uwajibikaji pale Open University (Chuo Kikuu Huria) yatakuwa tarehe 18 December 2025

    Kama tulivyojadiliana maandamano ya kupinga udhembe na kukosekana uwajibika miongoni ya walimu wetu na viongozi wa chuo pia yatafanyika 18 December 2025 kama tulivyokubaliana. Kero kwa miaka na miaka zimekuwa zikilalamikiwa na kupelekwa kwa viongozi husika ila kumekuwa hakuna mabadiliko imekuwa...
  4. Uongozi Uliochoka na Taifa Lililogawanyika: Uchambuzi wa Kiuchumi, Kisiasa, na Kijamii wa Hali ya Tanzania

    Katika historia ya mataifa, kuna vipindi ambavyo misingi ya utawala imara huonekana kufifia, taasisi zikaishiwa nguvu, na kauli za viongozi zikaanza kutengeneza mipasuko ndani ya jamii badala ya kuijenga. Tanzania, katika miaka ya karibuni, imeingia katika kipindi cha aina hiyo kipindi ambacho...
  5. F

    Kujazana familia ya Samia kwenye nafasi za uongozi wa nchi ni uthibitisho wa kukosa maadili ya kiongozi

    Samia amejaza wanafamilia yake angalau 7 kwenye nafasi za ubunge wa kuteuliwa na uwaziri. Wapo wengine wengi katika nafasi za chini kidogo, ni wengi. Jambo hili linadhihirisha kuwa Samia hana maadili ya kiuongozi na hajali anayoyafanya mbele ya macho ya Watanzania. Jambo hili ni hatari kwa...
  6. K

    Malalamiko ya Wananchi kuhusiana na Uongozi, Uchaguzi na Rasimali za Taifa

    Malalamiko ya Wananchi wa Taifa hili siku zote imekuwa kutokuwa na Haki katika chaguzi, uongozi mbovu wa KUSIMAMIA RASIMALI za nchi ili ziwanufaishe wananchi Lakini huyu Shetani mla damu za watu mkatili anajidanya sikio la kufa hasikii na Wala hataki kumsikiliza wananchi wake yeye anachojua ni...
  7. PostGE2025 Maamuzi ya kuisimamisha nchi kwa hofu ya maandamano ni ishara ya udhaifu, si uongozi

    Kwa siku kadhaa kumekuwa na gumzo kuhusu maandamano ya Dec 9. Watanzania wengi tulitarajia baada ya kilichotokea Oct 29, serikali ingekuja na mikakati mipya, yenye hekima na inayostahili nchi yenye utulivu kama Tanzania. Lakini cha kushangaza mbinu zilezile zilizotumika mwishoni mwa Oktoba...
  8. MAKALA YA TANO “JKT: Shina la Maadili na Uongozi wa Taifa”

    Ndugu zangu, Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo maana JKT ilipaswa kuwa. Nilipotazama vijana wa Tanzania, niliona viongozi wa kesho. Niliona...
  9. Bei ya Mamlaka: Vurugu za Uchaguzi na Falsafa ya Uongozi Barani Afrika

    Katika historia ya mataifa mengi, uchaguzi—ambao unapaswa kuwa alama ya demokrasia—umegeuka kuwa kumbukumbu ya maumivu, machozi na vifo. Katika baadhi ya nchi za Afrika, imekuwa kawaida kuona majeshi yakimiminika mitaani, mabomu ya machozi yakipiga kelele kila kona, na miili ya vijana ikijaa...
  10. K

    Mfanyabiashara chipukizi PEDIMA aendelea kung’ara katika ubunifu na uongozi Tanzania

    Mfanyabiashara chipukizi, Peter Didas Mallya maarufu kama PEDIMA, ameendelea kuibua mvuto mkubwa katika tasnia ya biashara nchini kutokana na ukuaji wa kasi wa kampuni zake pamoja na mchango wake katika sekta za kifedha, teknolojia, afya na ajira kwa vijana. Kupitia kampuni zake Pedima...
  11. BAKWATA ifanyiwe pia reform. Asilimia kubwa ya Watanzania tangu enzi na enzi hatukubaliani na uongozi wao.

    Kiukweli bakwata imeoza, hivyo hakuna budi kupaza sauti nayo ifanyiwe reform kwenye uteuzi /uchaguzi wa viongozi au kama vipi ifutwe tu tujue moja. Yani viongozi wa bakwata asilimia kubwa ya matamko yao wanafanya kwa niaba yao , hawafanyi kwa niaba ya waislamu wote wa TZ kwa ujumla . Asilimia...
  12. PostGE2025 Tanzania haina cha kujifunza uarabuni UAE katika demokrasia na uongozi

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Mussa Azzan Zungu akiwa na Balozi wa Tanzania katika Umoja wa Falme za Kiarabu, Mheshimiwa Lt. Jen. (Mst) Yacoub Hassan Mohamed walifanya mazungumzo na Spika wa Bunge la umoja wa Falme za Kiarabu, Mhe. Saqr Bhogash katika ofisi za...
  13. PostGE2025 Tanganyika yageuka Saudi Arabia, uongozi wa kifalme

    Mwananchi anasema Tanganyika Kumbuka Mtanganyika haruhusiwi hata kumili ardhi Zanzibar:confused:😕
  14. H

    PostGE2025 Cha msingi kwa sasa ni kuondoa kwa nguvu uongozi wa kisiasa kote ndani ya Afrika

    Hili ndilo litakuwa suluhisho la kudumu kuelekea kuwaondoa wanasiasa wote madarakani na viongozi wao ili kujipanga upya na kuleta HAKI kwa wote sivyo hamna kitu hapo.
  15. M

    Uongozi wa Mtume Muhammad S.A.W Wakati wa nchi ilipokuwa na Migogoro. Jinsi alivyotatua

    Mtume Muhammad (S.A.W) alikuwa kiongozi wa kipekee aliyeongoza jamii yenye migogoro ya kikabila, kiimani, kijamii na kisiasa. Uongozi wake uliijenga amani, umoja, utawala wa sheria, na usawa katika mazingira ambayo awali yalikuwa magumu sana. Njia alizozitumia 1. Alisimamia Mkataba wa Amani –...
  16. Uongozi wa Marekani hufanana na wa Tanzania

    Kwa kawaida mara nyingi (Siyo Mara zote) uongozi wa Tanzania hufanana na uongozi wa Marekani Kwa wakati husika. Chunguza utanielewa!!
  17. Naomba kuuliza: Hivi nchi ya Tanzania haina uongozi?

    Ulishawai kuiona familia ambayo haina mzazi? kila mtu ni kambale anafanya anachotaka! nashangaa hizi siku kila mtu alipo anajiropokea tu, kila mtu anaongea anachojiskia, Kuna chizi mmoja anajiita shekhe amehaidi kuwakata vichwa wote wataoandamana desemba9, tena akiwa mbele ya vyombo vya...
  18. Hatama ya Uongozi wa Tanzania na Mwalimu JK Nyerere? Tusjisahihishe hivi Vitabu Vometabili Mengi Sana

    Pitie hivi Vitabu
  19. PostGE2025 Bashe: Namshukuru Rais Samia kwa imani kubwa aliyonionyesha kipindi chake cha kwanza cha uongozi na kuniteua

    Baada ya kutupwa nje katika baraza jipya la mawaziri Hussein Bashe kupitia ukurasa wake wa Instagram anasema: Natumia nafasi hii kumshukuru Allah kwa kila jambo na kwa baraka zake katika safari yangu ya utumishi. Namshukuru sana Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa imani kubwa...
  20. R

    PostGE2025 Rais Samia: Tutaweka mazingira kuhakikisha tunakuza vijana kwenye uongozi

    Rais wa Jamuhuri ya muunano wa Tanzania Dkyt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 14, 2025 akihutunia bunge la 13 kwa mara ya kwanza amesema serikali itaanza kukweka mazingira mazuri kwa ajiliya kukuza vijana katika uongozi na iatezesha vyuo nchini kusimamia masuala ya malezi na program za mentorship
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…