uongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tatizo na sababu ya yote haya ni uchaguzi na nafasi za uongozi wa kisiasa tu hakuna kingine

    nawaombea kila la kheri wahusika na washiriki wa uchaguzi muhimu sana uliosalia kwa maendeleo ya ushindani wa ndani ya vyama vya siasa, na ustawi wa demokrasia nchini. Mwenyezi Mungu awaepushe na kila hila na shari ilopangwa dhidi ya maisha ya mshiriki au muhusika yeyote kwenye masuala haya ya...
  2. "Viongozi wa Juu wa CHADEMA Watoa Maoni Mseto Kuhusu Uongozi wa Rais Samia na Hatua za Kuimarisha Demokrasia Nchini"

    Freeman Mbowe:Freeman Mbowe, mwenyekiti wa CHADEMA, amepongeza baadhi ya hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan, hasa katika kufungua anga la kisiasa na kuruhusu mazungumzo ya kitaifa. Mbowe ameonyesha matumaini kwamba Rais Samia anachukua hatua sahihi katika kurejesha uhuru wa...
  3. John Pambalu alipataje uongozi BAVICHA?

    Huyu Mheshimiwa alipataje huo uongozi? Mbona hawezi Kujenga hoja akaeleweka? 1. Uzoefu wa siasa? Mafunzo ya uongozi? 2. Kiwango cha elimu?
  4. Jenista Mhagama ana CV tosha, uongozi ni kipawa si elimu!

    Uongozi ni kipawa na si elimu, Jenista ana kipawa cha ajabu haijawahi kutokea hivyo anatoshea kwenye nafasi hiyo.
  5. Waziri wa Mambo ya Ndani, Masauni aitisha Kikao na Uongozi wa Juu wa Jeshi la Polisi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amekutana na kufanya kikao na Uongozi wa Jeshi la Polisi nchini ukiongozwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura ambapo kikao hicho kilihusu mambo yanayohusu Usalama na Amani ya nchi ikiwemo kujadili matukio ya...
  6. MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  7. K

    UPDATES: Elimu kwa umma ambayo ni jambo la msingi na endelevu

    TUYAONDOE MAJAMBAZI YA KISIASA KWENYE VYEO YALIKOJIPENYEZA KWA RUSHWA YAKAPATA VYEO ILI TUBAKI NA WATU WAAMINIFU NA WAADILIFU WENYE UCHUNGU WA KUWAINUA MAFUKARA Nilisikika nikiunguruma katika Ulimwengu wa Kiroho huko Ndotoni. Baada ya kuyaona Majambazi ya Kisiasa Baadhi yaliyo jipenyeza kwenye...
  8. Mzee Magoma Akata Rufaa, asema bado hautambui Uongozi

    Muwe na siku njema wananchi , kuna uwezekano wanaomuelewa huyu Mzee ni wale Wawili. Mzee Juma Magoma baada ya kushindwa kwenye kesi aliyoifungua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya Baraza la Wadhamini la Yanga, amekata rufaa kwenye Mahakama Kuu akiendelea kutafuta haki yake. Soma Pia...
  9. Rais kapata Uongozi kwa neema na rehema za Mungu, ajiepushe na Kiburi!

    Kinyume na Watangulizi wake,Raisi wetu, hakuchaguliwa Kwa nafasi anayoishikilia,Alipata baada ya Boss wake kitwaliwa. Mtangulizi wake alikuwa jeuri, mjuaji, katili na mwenye kiburi. Alipenda atawale muda mrefu, Mungu hakumpa hiyo nafasi. RAIS husikilizi vilio vya wananchi katika maeneo...
  10. T

    Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  11. Nikisema Uongozi wa Simba SC ni wa Kihuni na wa Yanga SC unajitambua mnanichukia, haya malizeni na la Awesu Awesu

    Na kwa taarifa yenu kuna ya Wachezaji wengine akina Kagoma na Mashaka nao huko walikotoka Vilabu vyao Vimelalamika TFF na Wao watashinda Kesi kama ilivyoshinda KMC. Najua mtamalizana nao hawa Leo kabla ya Dirisha la Usajili kufungwa rasmi Kesho Saa 5 na dakika 59, ila hiki Kitendo kinatosha...
  12. PreGE2025 Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani

    Jeshi la Polisi linapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusiana na kuwepo kwa mipango ya viongozi wa chama cha siasa nchini [CHADEMA] kuhamasisha vijana kote nchini kukusanyika Mkoa wa Mbeya Agosti 12, 2024 kwa lengo la kufanya maandamano na mikusanyiko kwa mwamvuli wa maadhimisho ya siku ya vijana...
  13. PreGE2025 Tundu Lissu asema CHADEMA hakuna ukomo wa Uongozi, akigusia uenyekiti wa Mbowe

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu akizungumza katika mtandao wa kijamii wa Clubhouse hivi karibuni amesema CHADEMA hakuna utaratibu unaotaka kiongozi awe na ukomo wa Uongozi kwa muda maalumu isipokuwa anatakiwa kugombea na sio kuwa kama mwenyekiti...
  14. Kama uongozi wa Simba utamwamini kocha Fadlu David. Leo leo lazima Tutapigwa na APR na kocha atakuja na Maneno ya matumaini tu

    Washabiki tuko Siliasi sana kutokana na Simba ilivyojipaga kwenye Media msimu huu. Kwa cv ya Fadlu David ilivyo. Ni kocha flan ivi kama Julio. Maneno mengii matokeo 0. Kama uongozi haujaongea lolote na APR basi leo tunaenda kutia aibu alafu kocha atakuja na maneno mingi mingi tu.
  15. B

    Kusuasua kwa harakati za ukombozi nchini ni matokeo ya uongozi dhaifu

    Kwamba hawa nao tumawapa majukwaa ya kisiasa na kuwashangilia? Kwamba tuna hata wenye kujidhania kuwa ni wenye hoja kuliko hata wenye CV zao zinazojulikana kimataifa? Kwamba tumefikia hatua ya kuwaacha hata wapuuzi kuwanyanyapaa wenye akili zao? Na Bado tupo tupo tunakenua? Ama kwa hakika...
  16. Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  17. Uongozi wa Simba SC na wa wana Simba SC wote tafadhali tuwaangalieni kwa Jicho la Umakini sana hawa akina Ommy Dimpozi na Hamisa Mobeto

    Mimi binafsi hata iweje kwa kujijua Kwangu ni mwana Simba SC kamwe siwezi kuwa na Ukaribu wa Mashirikiano ya aina yoyote yale na Mtu wa Yanga SC. Sasa inakuwaje Watu kama akina Ommy Dimpoz na Hamisa Mobeto ambao hadi naambiwa hata huwa na Ukaribu na Watu muhimu tu na wakubwa ndani ya Simba SC...
  18. Safi sana Uongozi wa Simba SC kwa 'Kumkomoa' hivi Kibu Denis

    Klabu ya Simba SC ( kupitia Msemaji wake ) imesema kuwa kwa Klabu yoyote ambayo inamtaka Kibu Denis basi Dau la Kumsajili ni Dola za Kimarekani Bilioni Moja tu. Si mnajifanya Wajanja kwa kutaka aende Norway kwa muda kisha Dirisha dogo arejee Kwenu Mafurikoni sasa Price Tag yake ni Dola hizo za...
  19. Umaskini wa nchi za Afrika umetokana na system mbovu ya uongozi

    Baada ya kuishi hizi nchi za wenzetu Nimeona mambo mengi pia nimejifunza mambo mengi Hasa hasa mambo ya uongozi japo sina elimu kubwa zaidi ya kujua how hawa wenzetu wanaongoza nchi zao ila nimejifunza machache kidogo Cha kwanza Ni madaraka ya Rais Katika nchi za wenzetu Rais ana play nafasi...
  20. Uongozi wa Yanga umuonye Haji Manara, utoe tamko tafadhali hatutaki shida za Simba Yanga

    Yanga ni taasisi inayoheshimika inayojiheshimu Sidhani huuu uhuni unaotokea kwenye redio za heshima ukifanywa na Haji Manara kama unakubalika Haiwezekana taasisi moja ikawa na wasemaji wawili Ali Kamwe ana haki kuimba kujiuzulu hamuwezi kumkalia kimya mpaka sasa Haji akitamka yeye ndie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…