university

A university (from Latin universitas 'a whole') is an institution of higher (or tertiary) education and research which awards academic degrees in several academic disciplines. University is derived from the Latin phrase universitas magistrorum et scholarium, which roughly means "community of teachers and scholars". Universities typically offer both undergraduate and postgraduate programs.
The first universities in Europe were established by Catholic Church monks. The University of Bologna (Università di Bologna), Italy, which was founded in 1088, is the first university in the sense of:

being a high degree-awarding institute.
using the word universitas (which was coined at its foundation).
having independence from the ecclesiastic schools and issuing secular as well as non-secular degrees (with teaching conducted by both clergy and non-clergy): grammar, rhetoric, logic, theology, canon law, notarial law.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Deputy Vice Chancellor at Kairuki University August 2025

    Applications are invited from suitably qualified and experienced Tanzanians to fill the position of Deputy Vice Chancellor, Planning, Finance and Administration (DVCPFA) at Kairuki University (KU). The Deputy Vice Chancellor responsible for administration and finance is the principal assistant...
  2. JamiiForums Tanzania Wapelekeni watoto wenu wakasome Daystar University - "The University with a difference"

    Kwa wale mlio na mapesa benki, na ambao mna vijana wanaotarajia kujiunga vyuoni, nawashauri muwapeleke Daystar University. Kauli mbiu yake ni "The University with a difference." Kwanini chuo hicho kina kaulimbiu hiyo? Daystar University ni chuo kikuu kinachojumuisha maadili ya Kikristo katika...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Chuo cha St Joseph University cha Dar kinafaa kusoma Engineering?

    Wakuu mm ni mgeni humu Jamii Forums na hii ndo thread yangu ya kwanza kuandika. Nina shida moja, mm ni mhitimu wa kidato cha sita mwaka huu na nimesoma PCM nimepata Division II ya 10 Physics D Chemistry C Mathematics C Sasa ndoto yangu ni kusoma Mechanical Engineering na hii ndo iko moyoni...
  4. JamiiForums Tanzania Challenge: Ulipata GPA ya ngapi Chuo Kikuu?

    Ulipata GPA ya ngapi university? Me.4.0 Wewe je? NB: Special kwa wenye elimu
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa Mawasiliano ya admission office Open University

    Habari za asubuhi wana JF, Niende moja kwa moja kwenye jambo langu. Siku kadhaa zilizopita nilijisajili na mfumo wa kuomba kozi mojawapo pale chuo kikuu huria. Nilikamilisha taratibu zote na baada ya hapo nikapewa password ili nikamilishe taratibu za maombi. Nilipotoka kwenye mfumo na kujaribu...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha sita 2025: Inaonekana almost wote wamefaulu, kutakuwa na shida kubwa ya University placement

    kama 99.95% wamefaulu, then wote wana qualifications za kwenda University. Inakuwaje?
  7. JamiiForums Tanzania Senior Office Management Assistant Grade L-1 at KCMC University July 2025

    Vacancy Announcement KCMC University is seeking qualified candidates to fill the following vacant position within the Vice Chancellor’s Office. Position: Senior Office Management Assistant Grade L-1 Educational Qualifications A holder of Diploma in Secretarial Studies whereas bachelor’s degree...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye uelewa kuhusu university of western cape, naomba unisaidie

    Habarini, nahitaji kuomba MasterCard foundation scholarship katika chuo cha western cape kilichopo south Africa, kama kuna mtu anakifahamu hicho naomba anisaidie kunipa experience kidogo.
  9. JamiiForums Tanzania Tutorial assistant in acc & fin- Mzumbe university

    MODE OF APPLICATION Application letters accompanied by a detailed Curriculum Vitae (CV) with a passport size photograph and signed by the applicant; and copies of relevant certificates and transcripts should reach the undersigned electronically through the Recruitment Portal, not later than two...
  10. JamiiForums Tanzania kijue chuo cha Moshi Co-operative University (MoCU)

    Moshi Co-operative University (MoCU) ni chuo kikuu cha umma kilichopo mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Tanzania. Chuo hiki kinajikita katika kutoa elimu, mafunzo, utafiti, na huduma za ushauri katika nyanja za ushirika, biashara, na maendeleo ya jamii. Mahali na Historia Mahali: Chuo...
  11. JamiiForums Tanzania Nataka kujiendeleza University of Rwanda

    Wakuu, natamani kujiendeleza kimasomo, nimeona chuo Rwanda kimenifaa( UNIVERSITY OF RWANDA) Hasa kwa ada Ila kwa huko mda unaongezeka toka miaka mitatu huku kule ni minne, swali TCU watakikubali baada ya kurudi?
  12. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi Vyoo vinatoa maji 24/7...
  13. JamiiForums Tanzania Tetesi: Lindi International University (LIU) kuzinduliwa Oktoba 2025

    Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga. Kozi zitakazotolewa, Undergraduate 1. Bsc Aquatic Science, 2. BA African Medicine, 3. BA Islamic Banking, 4. BA Sharia, 5. BA Econometrics, 6. BSc. Aeronautical Engineering, Postgraduate PhD in...
  14. JamiiForums Tanzania University of the People

    Kuna mdau yoyote anayekifahamu hiki chuo? kinaitwa University of the people. Nataka nijiunge kwa ajili ya kuongeza degree. Chuo kinafundisha Online tu. Tuition ni free ila unalipa admission fees na gharama zengine ndogo ndogo tu. Website yake ni www.uopeople.edu Online University...
  15. JamiiForums Tanzania Moto waunguza Bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST)

    Taarifa ni kuwa kuna bweni la Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology) linaungua kwa moto leo Mei 20, 2025. UPDATES... ( Taarifa ya Mtandao wa Mustso_updates) Moto mkubwa ulizuka katika Hostel za Wasichana 8C lakini umekwisha kudhibitiwa, mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania Bagamoyo: Ubovu wa Miundombinu ya Chuo cha Marian University College (MARUCO) unahatarisha afya za Watu wakati wa mvua

    Kuna kero kubwa hapa chuoni kwetu Marian University College (MARUCO) kilichopo Bagamoyo Mkoani Pwani, mazingira hayaridhishi hasa wakati wa kila kipindi cha mvua, maji yanajaa eneo kubwa hivyo kupelekea Wanachuo kukanyaga maji machafu. Jambo baya zaidi kiafya maji hayo mengi yanakuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bachelor of computer science Jordan university college

    Habari, naomba kuelezwa kuhusu ubora wa chuo cha Jordan kwenye kozi ya computer science. Je wapo vizuri kwenye practical na theory? Wana maxingira mazuri ya kujifunzia yaani Lab za computer za kisasa zitakazomfanya mwanafunzi kujifunza vizuri? Napenda nijiunge hapo ila nijiridhishe kwanza na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu Huria (OUT) hawajatuweka matokeo mpaka sasa

    Niko hapa nimechanganykiwa kwanini hiki chuo hawataki kutuwekea matokeo yetu. Utaratibu ni kwamba matokeo yalitakiwa kuwa yamewekwa tokea mwezi wa 4 mwanzoni, ila mpaka sasa hatujui kwanini yamechelewa kutoka. Na cha kushangashaza ratiba ya kufanya mitihani imetoka mapema kabla ya mitihani...
  19. JamiiForums Tanzania Battle:Nairobi university vs Dar es salaam university

    Wasalaam.Mimi kama mdau wa Elimu najiuliza na nina kiu kujua kwamba ni chuo kipi bora hapo. Najua vipo vyuo vikuu bora vingi katika nchi hizi na barani Africa Ila kwa leo tuangalie ubora wa Taaluma na wataalamu wanaopikwa katika vyuo hivi vya Nairobi na Dar es Salaam. Pia tutaangalia...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU.

    TUNDU AENDE KIZIMKAZI UNIVERSITY AU APEWE NAMBA ZA COY MZUNGU. NA MWALIMU TUMAINI MASHINGO. Anapaswa kurudi tena darasani kusoma nini maana ya siasa kabla ya kile Chama Cha Ufipa kumfia, anapaswa kukutana na Samia kama atatia nia, maana ile siasa yake na siasa ya Chama chao ni CCM level ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…