united

United Airlines, Inc. (commonly referred to as United) is a major U.S. airline headquartered at Willis Tower in Chicago, Illinois. United operates a large domestic and international route network spanning cities large and small across the United States and all six inhabited continents.
Measured by fleet size and the number of routes, it is the third-largest airline in the world.
United has eight hubs, with Chicago–O'Hare being its largest in terms of passengers carried and the number of departures. It is a founding member of the Star Alliance, the world's largest airline alliance with a total of 28 member airlines. Regional service is operated by independent carriers under the brand name United Express. The United brand name was established by the amalgamation of several airlines in the late 1920s, the oldest of these being Varney Air Lines, which was founded in 1926 but was taken over by Continental Airlines management in 2010 in what was described as a "merger of equals" and a newly created holding company for the airlines.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania What is the best decision that Donald Trump can make to help the United States?

    To preface…. I am not a Trump supporter. Not even slightly. But as I am not an American citizen it isn't really for me to say that he shouldn't be in power, that is the choice of the citizens of the country. He needs to develop the work ethic he boasted about. He needs to read the reports, go...
  2. JamiiForums Tanzania Leo nimegundua asilimia kubwa ya mashabiki wa Man United wanashida sana

    Mfano tu mtu anasema babu Ferguson aliyekaa man united miaka 25 na epl 13 ni Bora kuliko pep aliyekaa miaka 7 na epl 5 Pep uyu uyu kamfunga babu mechi mbili za UCL 2009, to 2011 Nb:sijajumlisha makombe ya ligi ya Spain akiwa na Barca pep na makombe ya ligi akiwa na Bayern ujeremani
  3. L

    JamiiForums Tanzania Nashauri msemaji ya Tabora united asibugudhiwe, ila ataniwe TU

    Huyu ni dada yetu, ni mpenda soka mwenzetu, na anaifanya soka ipendwe zaidi na wanawake/wasichana. Naomba wanaume wenzangu kwa vyovyote vile mtanieni utani wote lakini nawashauri msimtanie utani usio faa, usio katika maadili ya taifa letu na hususan msimtanie mambo yanayokwaza kwa jinsia yake...
  4. JamiiForums Tanzania FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

    SIKU YA MECHI KALI. MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League Mwenyeji : Tabora United Mgeni : Simba Sc Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora Muda : Saa 10 Jioni. VIKOSI VYA LEO Game On 3' Tabora 0-0 Simba 6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki 12'...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu DC ameidharau sana Yanga. Nimeshindwa mwelewa kabisa kwa hii kauli yake kwa TBR United

  6. JamiiForums Tanzania Kauli ya WHO kuhusu taarifa ya Marekani kujitoa katika shirika hilo

    Kauli ya WHO Kuhusu Taarifa ya Marekani Kujitoa katika shirika hilo Shirika la Afya Duniani (WHO) limesikitishwa dhidi ya tangazo la Marekani kwamba inapanga kujitoa katika Shirika hilo. WHO ina jukumu muhimu la kulinda afya na usalama wa watu duniani, wakiwemo Wamarekani, kwa kushughulikia...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kutuma meseji ya kawaida(normal text) kutoka Airtel Tanzania kwenda United Kingdom(UK)

    Nduguzangu wasalaamu, kuna namba ipo UK, inaanzia na +44, haipo Whatsapp wala telegram wala wapi, nalazimika kutuma meseji kwa normal text tu, naombeni mnisaidie ni kifurushi kipi kutoka laini yangu ya Airtel hapa Tanzania, kitaweza kufanikisha hilo, au ni muda wa maongezi wa kawaida? Au...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 JF kama timu na familia moja Oktoba 2025: Twendeni tukamchague Dkt. Samia Suluhu, Mgombea Urais wa CCM kwa awamu ya pili kama mkuu wa nchi yetu huru

    Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oct 2025, nashauri JF as team and united family, tusifanye makosa. Tuambatane na kuandamana pamoja kwa umoja na Dr.Samia Suluhu Hassan anapokwenda kuchukua nafasi kwa ngwe yake ya pili ya uongozi wa Taifa letu. Amefanya kazi kubwa mno kwa kipindi kifupi sana...
  9. JamiiForums Tanzania Msimu huu Manchester united inaenda kushuka daraja

    Nimeangalia mwenendo wa hii timu msimu huu kwa jinsi inavyocheza jana ilipokea kichapo Cha Gori 2 bila kutoka Kwa new castle ikiwa nyumbani kwake old Trafford uwanja unaovuja na kufuga panya nimethibitisha Sasa hivi hii timu imebaki na mashabiki wazee ambao waliishuhudia ikibeba makombe Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Man United kupigania kutoshuka daraja

    Man United: Kipigo, Matumaini Yanayoyeyuka, na Mvumo wa Mashaka Usiku wa Desemba 30, 2024, Old Trafford, uwanja uliojaa kumbukumbu za ushindi wa kihistoria ukageuka kuwa kaburi la matumaini ya mashabiki wa Manchester United. Sauti za shangwe zilizokuwa zinaashiria imani ya mashabiki...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe v Lissu: Is this the beginning of the end of a united and resilient CHADEMA? Why or why not?

    The current power struggle between CHADEMA’s Freeman Mbowe and Tundu Lissu is undoubtedly a significant test for the party. Infighting at the top can weaken any political organization, especially in a fragile democracy where opposition parties face external pressures as well as internal...
  12. JamiiForums Tanzania Arsenal lini tutabeba UEFA Champions league?

    Katika maswali ambayo natesekaga nayo nikiwa nacheki game mashabiki wenzangu wananiuliza ninaUEFA ngapi aisee huwa naishia kutukana tu. Hivi hii timu yangu itabeba kweli UEFA maana najiona nikifa ikiwa bado haijabeba aisee The Gunner wenzangu tatizo ni Nini maana ya timu kubwa na UEFA hatuna
  13. JamiiForums Tanzania Manchester United ndiyo umefanya watanzanIa waache kuangalia ligi ya Uingereza

    Kuanza kuonekana Kwa ligi ya Uingereza hapa nchini kulikuja wakati Manchester United ikiwa kwenye kilele Cha mafanikio. Enzi za kina Dwight Yorke na mwenzake Andy Cole mpaka zama za kina David Beckham, ligi ya Uingereza ilikuwa na mashabiki wengi sana Tanzania. Lakini baada ya kuondoka Kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Marcus Rashford asema yupo tayari kuondoka Man United ili kupata changamoto mpya

    Mshambuliaji wa #ManchesterUnited, Marcus Rashford amesema yupo tayari kupata changamoto mpya nje ya klabu yake na kusisitiza kuwa hata ikitokea ameondoka hatajisikia vibaya. Amesema hayo wakati ambapo amepoteza nafasi katika kikosi cha kwanza chini ya Kocha Ruben Amorim, pia inadaiwa kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Full Time: Manchester City 1 - 2 Manchester United | Ligi kuu uingereza Etihad stadium

    Manchester Derby live msimu 2024/25 , Mpira ushaanza 6' 0-0 14' mount anaumia atolewa nje nafasi yake inachukuliwa na Mainoo 18' 0-0 22' bado 0-0 mpira umebalance 30' 0-0 35' 0-0 man city anapata kona 36' GOOOAL MAN CITY 1-0 MAN UNITED Garvadiol 41' 1-0 HT Manchester City 1-0...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Tabora United haifungiki na timu yoyote ya NBC PL. Kwa mwendo huu itachukuwa kombe

    Wamemfunga Yanga, wamemfunga KMC na leo wamemfunga Azam. Bado Simba naye bila shaka atafungwa. Nani wa kuizuia Tabora United kuchukua kombe msimu huu?
  17. JamiiForums Tanzania FT: NBC Premier League | Tabora United 2-1 Azam FC | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 13.12.2024

    HT Tabora 1 - 0 Azam. Mlioko hewani leteni updates!! FT Tabora United 2 - 1 Azam
  18. JamiiForums Tanzania Wauwaji wa Yanga, Tabora United wafunguka madai ya Singida Black Stars kuwataka wachezaji wao wa mkopo

    Uongozi wa Tabora United umekanusha taarifa kuhusu Singida Black Stars kuwahitaji wachezaji wake wawili Faria Ondongo na Morice Chukwu wanakipiga kwenye timu hiyo kwa mkopo. Afisa Habari wa Tabora United, Christina Mwagala amesema bado hawajapokea barua yoyote kutoka Singida BS kuhusu wachezaji...
  19. JamiiForums Tanzania Florent Ibenge amvuta kocha wa Tabora United, aliyewafunga Yanga na kumpa jukumu

    Wakati zikisalia saa chache kabla ya Yanga kushuka Uwanja wa Benjamin Mkapa kupambana na Al Hilal ya Sudan, kocha wa Waarabu hao Florent Ibenge amemvuta mjini kocha mmoja aliyewatibulia wenyeji wake. Ibenge amemuita jijini Dar es Salaam haraka kocha Anicet Kiazmak ambaye ni kocha wa Tabora...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe wachezaji wa Yanga walikuwepo uwanjani wakati Simba wanalipoifunga Tabora United 3-0?

    Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024. Sasa kama hawakujifunza mbinu za kuifunga Tabora United toka kwa Simba, basi Yanga kufungwa kwao ni halali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…