umoja

Akinyele Umoja (born 1954) is an American educator and author who specializes in African-American studies. As an activist, he is a founding member of the New Afrikan People's Organization and the Malcolm X Grassroots Movement. In April 2013, New York University Press published Umoja's book We Will Shoot Back: Armed Resistance in the Mississippi Freedom Movement. Currently, he is a Professor and Department Chair of the Department of African-American Studies at Georgia State University (GSU).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kazini kuna kazi, Hili ndondo linafyekwa kwa umoja

    Wamefanya kosa moja tu la kiufundi, shoo kama hizi hazihitaji VIJIKO,
  2. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Umoja wa wanazuoni wa kiislamu watoa pole kwa Rais Samia kwa uharibifu wa mali uliojitokeza wakati wa uchaguzi mkuu

    Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu nchini wamekemea vikali vurugu zilizojitokeza wakati wa mchakato wa uchaguzi na kusisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kudumisha amani, kujenga hoja zenye uzito, na kuepuka vitendo vyovyote vinavyoweza kuvuruga utulivu wa taifa. Hayo yamebainishwa leo jijini Dar...
  3. JamiiForums Tanzania Umoja wa Dini ni Nguvu ya Taifa: Tuseme Hapana kwa Mauaji

    Katika kipindi hiki ambacho Tanzania inapitia changamoto mbalimbali za kijamii na kiutawala, ni muhimu sana kurejea kwenye misingi yetu kama taifa lenye amani, utu na heshima. Njia zinazotaka kutumika kwa sasa katika kushughulikia changamoto hizi hasa zile zenye dalili za ubaguzi au ukandamizaji...
  4. H

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wauaji na Watekaji Kamwe Hawawezi Kujichunguza Wenyewe, Tunataka Wachunguzi Toka ICC, Tume ya Haki ya Umoja wa Mataifa, African Union na SADC

    Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika. 1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
  5. JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kuleta umoja na mshikamano wa kitaifa?

    Ndugu Wana JF karibuni kwenye mjadala wa wazi wa kutoa maoni juu ya mambo gani yafanyiwe kazi ili kurejesha umoja na mshikamano wa kitaifa bila kujali tofauti za itikadi zetu za dini na kisiasa. Mimi kama Mtanzania mwenzenu nashauri mambo haya; 1. Kutengwa siku maalum ya kitaifa ya kuomboleza...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Umoja wa Afrika (AU) ampongeza Rais Samia kwa ushindi, akumbushia HAKI ZA BINADAMU

    Mwenyekiti wa sasa ni João Manuel Gonçalves Lourenço, wa Angola
  7. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Umoja wa Mataifa: Kamisheni ya Haki za Binadamu yasikitishwa na Vifo na Majeruhi katika Uchaguzi wa Tanzania

    Oktoba 31, 2025 Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania. Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
  8. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti Machifu Rukwa: Tunachukizwa sana na wanaosema wanazuia Uchaguzi na kutaka kuandamana. Rais Samia anafaa kuendelea kuongoza

    Mwenyekiti wa Umoja wa Machifu wa Mkoa wa Rukwa, Charles Katata ametoa tamko la kumuunga mkono mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan ili ashinde katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu Chifu Katata amesema, Machifu mkoa wa Rukwa wanachukizwa na mipango ya baadhi ya Watanzania...
  9. JamiiForums Tanzania Umoja wa Watanzania -Sir Juma Nature

    Msikie Juma Nature hapa
  10. JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  11. JamiiForums Tanzania Huu umoja na mshikamamo wa wafuasi wa CHADEMA ya Lissu unatoka wapi? Mbona umepaa juu?

    Fikiria wamechangishana Tsh 1000,000/= Kwa ajili ya juice na soda ya wahanga waliopigwa na polisi pale mahakama kuu. Wanapanda mabasi na makosta kwenda Dar kufuatilia kesi ya ya Lissu. Wana nguvu na hali kuliko kipindi cha Mbowe. Pamoja na mizengwe wanayofanyiwa sasa hivi.
  12. JamiiForums Tanzania Iran imesema itasitisha ushirikiano wake na IAEA baada ya Umoja wa Mataifa kuzuia uondoaji wa vikwazo

    Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran. Katika taarifa iliyochapishwa na...
  13. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa wameshtushwa sana na kuzorota kwa hali katika jimbo la al-Fasher la Sudan

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota. "Mapigano lazima...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, viongozi wa CCM na WanaCCM, Wanaimba Amani na Umoja, Lakini Mioyo na Matendo Yao Yanadhihirisha Walivyojaa Ushetani na Uharamia

    Kwa hakika, na kwa jina la Mungu wa Ibrahim, aishiye milele, hakuna chama kilichojaa watu wanafiki, watu ambao ni watumishi waaminifu wa shetani, katika Ulimwengu mzima, kuizidi CCM. Ukiwasikia viongozi wa CCM na Serikali yao, kila mahali wanajinadi kuwa wao ni wahubiri wa amani, wao ni walinzi...
  15. JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
  16. JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa kuhamishia kikao cha General Assembly kwenda Geneva

    Kutokana na figisu za Trump na Netanyahu, UN imesema isiwe taabu. Tunaondoka,tunahamia Geneva Chanzo ni kumkatalia member wa UN Mahmud Abbas wa Palestina kuingia Marekani kwenye kikao cha General Assembly cha mwaka huu 2025 --------------- The United Nations General Assembly will convene its...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa wahitimisha shughuli za Mfano wa Uigaji wa Umoja wa Afrika

    Mtandao wa Mshikamano wa Kimataifa ulihitimisha shughuli za mfano wa uigaji wa Umoja wa Afrika kwa wanafunzi wa Shule za Ubora wa Sayansi na Teknolojia (Steam) chini ya kauli mbiu "Haki kwa Waafrika na wenye asili ya Kiafrika kupitia fidia", ambayo ni kauli mbiu iliyopitishwa na Umoja wa Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Nguvu ya CCM ni Umoja wa Chama na Umoja wa Taifa

    Dkt. Bashiru Ally Niko hapa kuwaomba kura za Chama Cha Mapinduzi. Kwanza kama mwenyeji wa Dodoma, na pili kwa sababu tumepewa jukumu na Kamati Kuu pamoja na Halmashauri Kuu ya kuratibu shughuli za Kampeni. Mwenyekiti ameshatupa maelekezo akiwa Kawe.” — Dkt. Bashiru Nguvu ya CCM na uwezo wake...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Palestina wapiga marufuku kuingia Marekani

    BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani. Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
  20. JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa. Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…