umoja wa ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha marufuku ya safari za ndege za Tanzania kwa mujibu wa umoja wa ulaya (EU)

    Udhaifu Katika Usimamizi wa Sekta ya Usafiri wa Anga Tume ya Ulaya (European Commission - EC) imeeleza kuwa sababu kuu ya marufuku hiyo ni mapungufu makubwa katika mifumo ya usimamizi wa usalama wa anga nchini Tanzania. Walibainisha mambo haya: Upungufu wa wataalamu waliobobea katika ukaguzi...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya Kuketi Mezani na Iran

    Mawaziri wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo, Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo Ijumaa, kwa matumaini ya kupunguza mvutano kati ya Iran na Israel. Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, na...
  3. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

    Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kwenye uwanja wa Ahmedabad, mji uliopo Magharibi mwa India. Hadi sasa haijafamika...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  5. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Pamoja na janjajanja za CCM, Rais wa Finland amfikishia Rais Samia Ujumbe Mzito wa EU na kumtaka Lissu aachiliwe huru bila mashariti, Haki na Uchaguzi

    Duru zimethibitisha kua , Umoja wa Ulaya umechukizwa na Matendo ya kihalifu yanayoendelea Nchini huku wakiwa ni wahisani na wafadhili Wakubwa wa miradi ya Maendeleo Nchini Tanzania . Taarifa za Uhakika ni kua, Rais wa Finland, ameitaka Serikali ya Tanzania 👉Kumuachia TUNDU LISSU bila...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Huyu Katrina, anaiwakilisha nchi gani kwenye bunge la umoja wa ulaya?

    Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa. Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu. Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa...
  7. LAZIMA NISEME

    JamiiForums Tanzania Tanzania inathamini ushirikiano wake na Umoja wa Ulaya na iko tayari kwa majadiliano ya wazi, ya kuheshimiana na yanayotegemea ushahidi.

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025) Dar es Salaam, 8 Mei 2025 Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania...
  8. K

    JamiiForums Tanzania UVCCM itisheni maandamano makubwa nchi nzima kupinga maazimio ya umoja wa Ulaya tuone kama MULIRO atayazuia

    Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
  9. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Balozi umoja wa Ulaya (EU) aitwe kuhojiwa ikibidi achukuliwe hatua

    1. Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu. 2. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono). Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya! Bcc: Nay...
  10. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Athari ambayo haijadiliwi sana baada ya Bunge la Umoja wa Ulaya kuweka maazimio yao kwa Tanzania

    Watu wengi wamefocus kwenye misaada kusitishwa, na kusema tunaweza kujitegemea. Ila kitu kikubwa ambacho mimi nakiona ni kubaki wenyewe kama tupo Jangwani kitu kikubwa Rais wetu mpendwa mama Samia alichokipigania ni kuifungua nchi kuleta wawekezaji. Na wawekezaji wana tabia moja wakiskia stori...
  11. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu ambao huwezi ambiwa na CCM: Nusu ya Watanzania tumepata Umeme na Maji kwa Msaada wa Umoja wa Ulaya

    Ukimsikia mwana CCM yeyote akikwambia kuwa Bunge la Umoja wa Ulaya halina mamlaka ya kutujadili au kutuambiwa chochote muangalie tu kwa kumsikitikia alafu mwambie kuwa, Bila Umoja wa Ulaya na Nchi zake hadi leo takribani nusu au zaidi ya nusu ya Watanzania tusingekuwa na huduma za Maji wala...
  12. Glenn

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya: Tunasikitishwa na kukamatwa kwa Tundu Lissu sambamba na kuenguliwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi wa 2025

    Fuatilia mjadala wa Bunge la Ulaya kuhusu sakata la Tundu Lissu unaoendelea mchana huu, Mei 7, 2025 Pia soma Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025 Bunge la Ulaya kwa kuzingatia Kanuni ya 150(5) ya Kanuni...
  13. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Msaada wa TSH 1.2 trillion kutoka umoja wa Ulaya kwa Tanzania kujadiliwa Mei 07

    Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion. Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa. EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika...
  14. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa umoja wa ulaya waonyesha mshikamano na Tundu Lisu

    Sauti zinasikika Hadi European union
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake ya kikazi Umoja wa Ulaya (EU)

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake ya kikazi Umoja wa Ulaya (EU) Katika ziara hiyo amefanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa umoja huo akiwemo Rais wa Tume ya Ulaya na Mwakilishi wa Juu wa Masuala ya...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo ahimiza ushirikiano wa kiuchumi na umoja wa Ulaya

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameendelea na juhudi za kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya (EU), katika ziara yake ya kikazi inayoendelea mjini Brussels, Ubelgiji. Akifanya mazungumzo kwa...
  17. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Umoja wa ulaya kuweka ushuru kwa bidhaa za kimarekani wa asilimia 10-25

    JUST IN: 🇪🇺 🇺🇸 European Union to impose between 10% and 25% tariffs on US goods. https://x.com/WatcherGuru/status/1909962445570834677?t=BG_6OJW2HO9f-l2Eos6FPQ&s=19
  18. O

    JamiiForums Tanzania VIONGOZI WA M23 NA MAKAMANDA WA JESHI LA RWANDA WAWEKEWA VIKWAZO NA UMOJA WA ULAYA

    17/03/2025, the Council imposed restrictive measures on nine individuals and one entity responsible for acts that constitute serious human rights violations and abuses in the Democratic Republic of the Congo (DRC), for sustaining the armed conflict, instability and insecurity in the DRC and...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Hungry kuondolewa haki ya kupiga kura kwenye bunge la umoja wa ulaya kwa kujiweka kwake karibu na Urusi

    Hungary, chini ya Viktor Orbán, imekuwa ikidhoofisha umoja wa Mataifa ya Magharibi kwa uthabiti, hasa ndani ya Umoja wa Ulaya (EU) na NATO, kwa kujipendekeza kwa Urusi na kuzuia maamuzi ya pamoja. Hatua ya Bunge la Ulaya ya kuiondolea Hungary haki ya kupiga kura siyo tu inayostahili bali pia ni...
  20. uzio usio onekana

    JamiiForums Tanzania Trump asitisha misaada yote ya kijeshi ya Marekani kwa Ukraine

    Rais Donald Trump ameagiza kusitishwa kwa usafirishaji wa msaada wa kijeshi wa Marekani kwa Ukraine baada ya mvutano mkali kati yake na Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, wiki iliyopita katika Ikulu ya White House, afisa wa Ikulu ameiambia CNN Jumatatu. Hatua hii, iliyokuja baada ya Trump...
Back
Top Bottom