umoja wa ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tucker carlson

    PostGE2025 Balozi wa Umoja wa Ulaya ajibu kauli ya "Who Are You?": Tanzania imesaini mikataba ya kimataifa. Lazima tuzungumze

    Wakuu, Balozi wa EU Christine Grau, amejibu lile swali la Who Are You kutoka kwa Rais Samia Hapa Balozi alikuwa anazungumza na The Chanzo na alivyoulizwa kuhusu wapi ambapo Umoja wa Ulaya inapata nguvu ya kuzungumza na kukemea yanayoendelea kwenye siasa za Tanzania alisema "Tanzania imesaini...
  2. Mindyou

    PostGE2025 Balozi wa Umoja wa Ulaya akiri EU imeanza kuweka vikwazo kwa Serikali ya Tanzania baada ya Uchaguzi wa 2025

    Umoja wa Ulaya umekiri kuweka vikwazo vya kifedha kwa serikali ya Tanzania kufuatia Uchaguzi wa 2025 ambao wadau wengi walikiri kuwa ulidhoofisha demokrasia. Katika mahojiano ya kina na ya nadra, Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Christine Grau, alithibitisha kuwa umoja huo tayari...
  3. B

    Tanzania yaiangukia EU/ Umoja wa Ulaya ibadilishe msimamo wa kuinyima misaada

    Brussels, Belgium Makao Makuu ya Umoja wa Ulaya / EU KOMBO ATUMWA BELGIUM KUOMBA WASIKILIZWE KUHUSU VIKWAZO, TANZANIA YAPIGA MAGOTI NA KUIANGUKIA MIGUUNI EU / UMOJA WA ULAYA, CHONDE CHONDE ... NYIE SIYO MABEBERU BALI NI WADAU WETU ... Picha : Waziri wa mambo ya nje Mahmoud Thabit Kombo...
  4. R

    Kihongosi: Nimepokea ujumbe umoja wa ulaya imeiondolea Tanzania vikwazo leo

    Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa amepata taarifa kwamba umoja wa ulaya EU walikokuwa wameweka vikwazo dhidi ya Tanzania...
  5. M

    Tangu Samia awe Rais - TEC, vyombo vya kimataifa, Marekani, umoja wa Ulaya, Ghana, n,k vimevunja rekodi kuikosoa serikali yetu, WHO ARE THEY ?

    Juzi Rais wetu alisema tangu awe Rais TEC wamemtolea matamko mengi Nimsaidie Rais wetu kuna zaidi ya hapo, Umoja wa ulaya, Balozi za nchi za Ulaya, Vyombo vya habari vya kimataifa, seneti ya Marekani, Umoja wa mataifa mpaka nchi za Afrika kuanzia Kenya, Ghana na Botswana wamekuwa wakitoa...
  6. ChekoFagia

    PostGE2025 Mwijaku: Umoja wa Ulaya utapigwa na viherere vyao. Afrika tunajua kujisimamia

    Kutoka kwenye ukurasa rasmi wa DC Mwijaku, ameshiriki kipande cha video akisindikiza na maneno haya katika sehemu ya maelezo: “Vile Umoja wa Ulaya utakapopigwa kwa vihele hele vyao. We are Africa na tunajua kujisimamia.”
  7. N

    PostGE2025 Vikwazo vya umoja wa Ulaya: CCM kuanzisha harambee kwa wafanyabiashara lengo kukusanya bilioni 100 kila mwezi

    Wataalumu wa uchumi wa chama cha mapinduzi wamependekeza ianzishwe harambee ili wafanyabiashara wenye mapenzi na chama watakuwa wanachanga bilioni 100 kila mwezi. Lengo la kukusanya pesa hizo ni kukabiliana na vikwazo vya umoja wa Ulaya, wanadai kama iliwezekana kukusanya bilioni 100 ndani ya...
  8. Lord Denning

    Pendekeza hapa Watu wa kuwekewa vikwazo vya Kusafiri na Fedha na Umoja wa Ulaya

    Moja ya Maazimio yaliyopitishwa na Bunge la Umoja wa Ulaya jana na leo ni kuwawekea vikwazo wote waliohusika na mauaji ya Maelfu ya Watanganyika kwenye wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu pamoja na Wanaohusiana nao. Mimi naanza na Majina nyie wekeni wengine 1. Samia Suluhu Hassan na Familia yale...
  9. Mto wa mbu

    Umoja Wa Ulaya kuweka vikwazo vya kusafiri na kufungia account za wale wote wanaohusika na kuvunja haki za binadamu

    Kwenye hii resolution ya EU Kwa Tanzania, watu wame base Kwa misaada tu. Ila hili la kuweka vikwazo vya kusafiri na kutaifisha Mali/ fedha za wanaovunja haki za binadamu Tanzania ni mwiba mchungu Kwa Tanzania. Unadhani ni viongozi Gani watawekewa travel ban na EU. Kesho resolution...
  10. The Zanzibar Echo

    Urusi yashambulia Makao makuu ya Umoja wa Ulaya, EU na kuua 23

    Rais wa Tume ya Ulaya, Ursula von der Leyen, ameeleza hasira yake kufuatia shambulio kubwa zaidi la Urusi mjini Kyiv tangu Julai, ambapo watu 23 akiwemo watoto wanne waliuawa na ofisi ya ujumbe wa EU pamoja na majengo jirani kuharibiwa. Maafisa wa Ukraine wamesema makombora ya Urusi yaliharibu...
  11. R

    Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

    Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya...
  12. Kurunzi

    Waziri wa Mambo ya Nje wa EU kutembelea Tanzania kujadili hali ya kisiasa kuelekea uchaguzi

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya (EU) anawasili kesho jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo muhimu na serikali ya Tanzania kuhusu demokrasia, haki za binadamu na maandalizi ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025. Ziara hiyo ya siku tatu (Julai 8-10) inafanywa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Cyprus...
  13. Mto wa mbu

    Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

    Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu. Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo. Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya...
  14. The Zanzibar Echo

    Umoja wa Ulaya: Nchi 27 wanachama wa EU zakubali kurefusha vikwazo dhidi ya Urusi

    Viongozi wa nchi 27 wanachama wa Umoja wa Ulaya wanaokutana katika mkutano wa kilele mjini Brussels, wamekubali kurefusha vikwazo vyao dhidi ya Urusi kwa muda wa miezi sita, kwa mujibu wa duru za kidiplomasia.EU tayari imepitisha "vifurushi" 17 vya vikwazo tangu uvamizi wa Urusi nchini Ukraine...
  15. R

    Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro Sanchez ameitaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara mora ushirikiano na Israel Kutokana na hali mbaya ya mauaji Gaza

    Waziri Mkuu wa Uhispania Sanchez wa Uhispania mapema leo amesema Gaza iko katika kile amekitaja kuwa "hali mbaya ya mauaji ya halaiki" na ameutaka Umoja wa Ulaya kusitisha mara moja mpango wake wa ushirikiano na Israel Kauli hiyo ya Sanchez inaonekana kuwa kali zaidi kuwahi kutolewa, na...
  16. Manyanza

    Chanzo cha marufuku ya safari za ndege za Tanzania kwa mujibu wa umoja wa ulaya (EU)

    Udhaifu Katika Usimamizi wa Sekta ya Usafiri wa Anga Tume ya Ulaya (European Commission - EC) imeeleza kuwa sababu kuu ya marufuku hiyo ni mapungufu makubwa katika mifumo ya usimamizi wa usalama wa anga nchini Tanzania. Walibainisha mambo haya: Upungufu wa wataalamu waliobobea katika ukaguzi...
  17. DuaZaMama

    Umoja wa Ulaya Kuketi Mezani na Iran

    Mawaziri wa Ulaya wanatarajiwa kukutana leo kuishawishi Iran irudi kwenye meza ya mazungumzo, Mawaziri hao wa Mambo ya nje watakutana na mwenzao wa Iran Abbas Araghchi mjini Geneva, Uswis leo Ijumaa, kwa matumaini ya kupunguza mvutano kati ya Iran na Israel. Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, na...
  18. Echolima1

    Ndege ya abiria iliyokuwa na watu 242 yaanguka huko Ahmedabad, India muda mfupi baada ya kupaa. 241 wathibitika kufariki dunia

    Ndege ya Air India AI171, aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, iliyokuwa safarini kutoka Ahmedabad, India kuelekea London Gatwick, Uingereza, imepata ajali mbaya ikiwa na watu 242 imeanguka muda mchache baada ya kupaa kwenye uwanja wa Ahmedabad, mji uliopo Magharibi mwa India. Hadi sasa haijafamika...
  19. GENTAMYCINE

    Rais Samia una hii Taarifa muhimu ya Umoja wa Ulaya (EU) kuzuia Ndege za ATCL kutua Ulaya yote kutokana na kutokuwa salama kwa Abiria na mbovu?

    Nilidhani Msemaji wako (wa Serikali) Gerson Msigwa angekuwa busy kutueleza Watanzania kwanini EU wamezuia Ndege zako Unazozifaragua nazo kila Siku za ATCL kutua nchi zote za Ulaya kutokana na kutokuwa salama kabisa kwa Abiria na badala yake yuko busy kutishia Watanzania wanaoandika Mitandaoni NO...
  20. Carlos The Jackal

    Pamoja na janjajanja za CCM, Rais wa Finland amfikishia Rais Samia Ujumbe Mzito wa EU na kumtaka Lissu aachiliwe huru bila mashariti, Haki na Uchaguzi

    Duru zimethibitisha kua , Umoja wa Ulaya umechukizwa na Matendo ya kihalifu yanayoendelea Nchini huku wakiwa ni wahisani na wafadhili Wakubwa wa miradi ya Maendeleo Nchini Tanzania . Taarifa za Uhakika ni kua, Rais wa Finland, ameitaka Serikali ya Tanzania 👉Kumuachia TUNDU LISSU bila...
Back
Top Bottom