Watumishi wanastastafu, lakini BAdo, CCM na serikali yake wanaendelea kuwakumbatia, wanaungeza gape ya uhaba wa ajira, kuna wafanyakazi tangu enzi NYERERE wapo BAdo serikalini.
Thinking tank ya CCM ,imekufa ndo maana watumishi wengi za serikali , walio stafu wanaogopa kusimama upande wa...