umma

Umma (Sumerian: 𒄑𒆡𒆠 ummaKI; modern Umm al-Aqarib, Dhi Qar Province in Iraq, formerly also called Gishban) was an ancient city in Sumer. There is some scholarly debate about the Sumerian and Akkadian names for this site. Traditionally, Umma was identified with Tell Jokha. More recently it has been suggested that it was located at Umm al-Aqarib, less than 7 km to its northwest or was even the name of both cities.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Ndugai: Bunge ladaiwa kufuta taarifa kwa umma ilizochapisha katika tovuti yake na ukurasa wake wa Twitter

    Kufuatia kuibuliwa mahakamani kwa barua ambayo inadaiwa iliandikwa na Job Ndugai aliyekuwa spika wa bunge kwenda kwa Katibu wa Bunge ikimtaarifu kuwa anajiuzulu uspika kuanzia tarehe 06.01.2022, bunge la JMT limefuta taarifa kwa umma iliyozitoa tarehe 07.01.2022 kukiri kupokea nakala ya Barua ya...
  2. JamiiForums Tanzania Raia wa Rwanda ambao hawajachanjwa hawataruhusiwa maeneo ya umma - Waziri Mkuu

    Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya coronaImage caption: Baadhi ya watu wamekimbia nchi ili kuepuka chanjo ya corona Raia wa Rwanda na wakazi lazima wawe wamepewa chanjo kamili dhidi ya Covid ili kuruhusiwa kufika...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma: Rais Samia Kufanya Mahojiano na TBC Januari 27, 2022

    Salaam Wazalendo Wote Tafadhali soma Taarifa yote Kama ilivyoambatanishwa hapo chini
  4. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM Taifa Kufanya Ziara Zanzibar kuanzia 24-27 Januari 2022

    Wazalendo Wote Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Taarifa imeambatanishwa Chama kipo kazini Kazi Iendelee
  6. JamiiForums Tanzania Maafisa wa serikali wanapowajibishwa, na misingi ya kidemokrasia inapoheshimiwa kuna uwezekano mkubwa wa huduma za umma kuboreshwa

    Kwa maana ya jumla, kwa watu wengi duniani, demokrasia maana yake ni nguvu ya wengi katika kufanya maamuzi yanayohusu umma na kuweka usawa wa kisiasa katika matumizi ya nguvu hiyo (International IDEA 2008: 20-21). Demokrasia ni lazima iwape wananchi uwezo wa kujieleza na kuwasilisha hoja zao...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa watumishi wa umma waliofikisha umri wa kustaafu kuongezewa mkataba?

    Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba? Jamani nasema kuna watu wa shirika fulani la umma wanaongezewa mikataba ili hali wameshastaafu. Je, ni sawa watumishi wa umma kuongezewa mkataba ili hali wameshastaafu?
  8. JamiiForums Tanzania Tiketi za Winter Olympics kutouzwa kwa umma, michezo kushuhudiwa na wachache

    Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma. Kutokana na Sera za kudhibiti maambukizi ya COVID19, Waandaaji wamesema mashuhuda wa kimataifa hawatokuwepo, na...
  9. JamiiForums Tanzania Tamko la Rais ni sheria: Je, Mawaziri wakiiba pesa za umma bila kuvimbiwa, wanaweza kushtakiwa?

    Na je, kauli ya Raisi inaweza kutumika kama utetezi mahakamani kwa mawaziri wataofuja mali na pesa za umma bika kuvimbiwa? Na katiba inasemaje kwani?
  10. F

    JamiiForums Tanzania Kwako Jenister Mhagama, Waziri wa Utumishi wa umma na Utawala Bora

    Kwanza naomba kukupongeza kwa kuendelea kuaminiwa kwako kutumikia serikakli yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuanzia awamu ya nne hadi leo awamu ya sita hongera sana.Naomba kuzungumza na wewe leo wakati huu unapoenda kushika madaraka ya wizara mpya lakini kwa kweli nikili wazi kuwa kwako...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi wa madereva wa magari ya umma

    Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson umepotosha umma: Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi ya Tanganyika, Zanzibar wana mkuu wa nchi yao

    Nimemsikiliza ndugu Tulia Ackson akisema kuwa Rais wa Tanzania ni mkuu wa nchi. Ukweli ni kuwa mamlaka ya rais wa Tanzania yako limited sana huko Zanzibar Hata katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984 iliyorekebishwa mwaka 2010 inatamka wazi kuwa Rais wa Zanzibar ni mkuu wa nchi ya Zanzibar. Kwa hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Mgeja amlipua Job Ndugai, aitaka Serikali ing'oe jina lake kwenye majengo ya umma

    SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo. Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
  14. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba acha kudanganya wananchi, mikopo hulipwa na watanzania wanapolipa kodi. Usipotoshe umma

    Kwa nini viongozi wa serikali hupenda kuona watu kama wajinga na hawana akili? Mlipopitisha tozo za serikali kwenye miamala ya simu ulitamka kwa dharau na kejeli kuwa asiyetaka kulipa tozo ahamie Burundi, bila kujali hata namna tozo zinavyoumiza wananchi. Leo hii unatamka bila hata aibu kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kupata Katiba Mpya itayolinda na kutetea maslahi ya Umma. Hajabagazwa Spika Ndugai bali Watanzania wamebagazwa

    Bunge ni sauti ya wananchi, kama sauti ya wananchi kupitia spika wao inahoji juu ya mkopo ambao unakopwa kwa manufaa ya wachache wala sio wananchi alafu inabagazwa namna hii basi katiba yetu ina matatizo makubwa. Tunahitaji katiba ambayo itaondoa madaraka makubwa ya rais kama mkuu wa Executive...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize, je yeye hana mkopo?

    UKIWA KIONGOZI WA UMMA CHUNGA NDIMI YAKO USIJE KUWA KITUKO KWA MANENO YAKO Na Unoko ni Uzalendo Ukiona mtu anaweweseka kwa sauti serikali kukopa muulize je yeye hana mkopo na kama anao Bondi ya huo mkopo ameiweka serikali au mali zake binafsi? Kuna wakati tusijifanye tuna uzalendo wa hii...
  17. JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Utumishi wa Umma Kampasi ya Chato kipo eneo gani huko wilaya ya Chato?

    Mwenye uelewa kilipo chuo tajwa hapo juu tafadhali . Pia mwenye kufahamu aina ya kozi zitolewazo na chuo hicho na gharama za masomo. Niwatakie Xmas Njema
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwafumbua macho Watanzania juu ya ufisadi na wizi mali ya umma, sasa Watanzania wapo macho kodo

    Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G. Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa...
  19. JamiiForums Tanzania Vyeti feki na nidhamu ya kazi kwa watumishi wa umma; kwavyo nitakukumbuka

    Nawasalimu kwa jina la JMT Moja kwa moja niende kwenye mada. Leo nimeamkua na kukumbuka namna watumishi wa vyeti feki walivyokua wameziba nafasi za ajira kwa wenye sifa. Dhulma hii ikasawazishwa kwa kuondolewa waliobainika kughushi taarifa za ajira hasa kwenye vyeti vya taaluma. Heko..! Kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Taarifa kwa Umma kutoka Chama cha Mapinduzi (CCM)

    TAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…