umeme

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hitilafu kubwa ya umeme yaikumba Kenya, umeme wakatika maeneo mengi ya Nchi

    Kampuni ya Kusambaza Umeme nchini Kenya imetangaza kutokea kwa hitilafu kubwa ya umeme usiku wa kuamkia leo Disemba 18, 2024 iliyosababisha kupotea kwa nguvu ya umeme nchini kote, isipokuwa maeneo ya Magharibi na eneo la Bonde la ufa kuanzia majira ya saa sita na robo usiku. Kupitia taarifa...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Siku ya tatu leo, kariakoo katikati na sina umeme, tanesco wanasema wanakuja na hawafiki

    Ninazo claim report number inne tofauti, kila nikiulizia napewa number ila kuja hawaji kushughulikia tatizo na ni dharura Sasa sijui emergency kwa tanesco ni siku inne? Kama kariakoo tu ni hivi huko vijijini ikoje? Hawajawahi kuwa serious
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO - Chanika, mtaa Wa Mazinda, mjitafakari mnakata umeme kila siku saa 1 usiku mnarudisha saa 5 usiku

    Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni kwa zaidi ya miezi kibao huku nyuma yaani Chanika kwa MAZINDA nikama bado wapo miaka ya zamani sana...
  4. JamiiForums Tanzania Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

    Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut Mfano TRC wanataka kununua engine za...
  5. JamiiForums Tanzania Eti Train ya Umeme kununuliwa engine za Diesel ⛽

    Tunaposema Tanzania inahitaji viongozi wenye maono,malengo na uzalendo wa kweli tunamaanisha. Ni juzi tu train ya umeme imeanza kazi huku Stigler gorge ikiwa imeanza kuchangia kiasi cha megawatt kwenye gridi ya taifa ila cha kushangaza na kitia huzuni ni kwamba badala ya kuwa na mkakati mahususi...
  6. JamiiForums Tanzania Toyota wazindua IST ya umeme: Urban Cruise EV

    Wengi tukiongelea Toyota IST tunaongelea first gen na 2nd generation, ambazo nchi nyingine ikiwemo America na UK wanaziita Urban Cruise. Sasa leo, jamaa kutoka JP wamezindua generation nyingine ya Urban Cruise ambayo ni full EV. Inakuja na power options mbili, kubwa ni AWD, 182 hp dual motor...
  7. JamiiForums Tanzania Mradi wa kuzalisha umeme kupitia gesi asilia wa Kinyerezi One

    Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020- 2025, Ibara ya 63(i)(c) imeelekeza Kukamilisha ujenzi wa mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi I – Extension (MW 185). Mradi huu sasa umekamilika ambapo mitambo yote minne (4) imewashwa na inachangia Megawati 185 katika Gridi ya Taifa...
  8. K

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo sugu la umeme Kigamboni

    Kumekuwa na Tatizo sugu la kukatika umeme Kigamboni. Nafikiri sekta binafsi inaweza kuliendesha vizuri na kwa uweledi Mzuri hili shirika kuliko hizi adha tunazozipata hivi sasa chini ya Serikali.
  9. C

    JamiiForums Tanzania KERO Tanesco Shinyanga kuna nini umeme kukatika katika kila baada ya nusu saa?

    Tangu jana kuna maeneo umeme umekuwa ukikatika katika na vipindi virefu bila kuwa na umeme. Hali hii inatuletea usumbufu sana na kuturudisha nyuma kiuchumi hususan tunaoishi kwa kutegemea umeme. Vyakula vilivyohifadhiwa kwenye majokofu vinaharibika,vifaa vya umeme pia vinaharibika.Hakuna tamko...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanafunzi Ufundi wa umeme wa magari. Changamoto nilizoziona mpaka sasa

    Habari wanajamii forums wote. Mimi ni kijana umri miaka21 nilianza kujifunza ufundi umeme wa magari mwezi wa tano mwishoni mwaka huu. Kiukweli nilikuwa napenda sana magari tangu awali, na aliyenivutia jamaa jirani yetu nilipokuwa nikiishi awali. Ni fundi mzuri sana ni mtu wa arusha. Siku moja...
  11. JamiiForums Tanzania SGR: Vifaa Vya Kazi( Mafundi Umeme+ Mgari)

    Katika usafiri wa Sgr, umelenga watu wanafanya kazi maofisini tu. Kwa mfano mtu kama fundi Umeme au Fundi makenika Hawa watu wanavifaa vya chuma au Mafundi Bomba. Ukifika katika ukaguzi wanazuia Vifaa. swali Je wanaopanda Sgr ni watu wa Ofisini peke, pia katika mabehewa Kuna Abiria na...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Giza katika makazi ndani ya manispaa za Shinyanga na Kahama licha ya nyumba hizo kuwa na umeme nyakati za usiku

    Hali hii imezoeleka katika manispaa tajwa hapo juu! Na kugeuka maficho ya vibaka na machimbo ya watenda vitendo haramu! Ni rai yetu kwenu uongozi wa manispaa. Kuja na mpango mkakati wa kutokomeza hali ya ugiza kwa kuzindua angalau kampeni ya nyumba kwa nyumba kuwataka wamiliki kuweka taa za...
  13. JamiiForums Tanzania KERO Mgao mkali Wa umeme Urambo, Kaliua, Biteko tusaidie mitaji inakufa..

    Kiukweli wafanyabiashara na wakazi wa Kaliua na Urambo tunateseka sana.. umeme kwa siku unakatwa zaidi ya mara nne na kiukweli haukai zaidi ya saà sita. Kibaya zaidi TANESCO huku hawana lugha nzuri na huduma mbovu. Saluni na biashara nyingi za umeme zimekufa. Msaada wenu Mods Uzi huu uwafikie...
  14. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri: Poleni Wakazi wa Kitunda kwa changamoto ya umeme, kuna hitilafu zinazojitokeza katika Miundombinu

    Muda mfupi baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamika kuwa Mtaa wa Kitunda - Machimbo kuna kero ya Umeme kuwa unakatika zaidi ya mara tatu kwa siku, Serikali imetoa ufafanuzi na kuwapa pole Wananchi wanaopitia kadhia hiyo. Mwanachama huyo alidai Wananchi wanapata wakati mgumu ikiwemo...
  15. JamiiForums Tanzania Je kubadili Power Stearing ya Umeme kuwa ya Hydraulic kwenye gari ni salama?

    Wadau, Subaru Forester Non Turbo ina Electric Power Stearing imekuwa ikitoa mlio kama inagonga tairi la kushoto mbele. Fundi ameicheki, ananiambia tatizo ni Power Stearing, nan kwakuwa ni ya umeme huwa zinasumbua kwa namna hiyo. Amenishauri niibadioishe kutoka kuwa Power Stearing ya Umemeiweya...
  16. JamiiForums Tanzania Umeme na mvua

    Kuna mikoa mvua ikianza kunyesha tu haichukui dakika 5 umeme unakatika sijui tanesco wameshindwa kusolve hili imekua ni tamaduni na desturi 🤔
  17. JamiiForums Tanzania Papa Francis, apewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme peke kuhimiza matumizi ya teknolojia rafiki kwa dunia

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis, amepewa gari jipya la kisasa aina ya Mercedes Benz linalotumia umeme pekee likiwa ni gari la kwanza la aina yake kutengenezwa na Kampuni hiyo kwa ajili ya Kiongozi huyo ambapo hatua hiyo inayoonyesha azma ya Vatican kulinda mazingira na kuhimiza matumizi...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la kukata umeme mara kwa mara Wilaya ya Kiteto

    Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k Ila Wilaya yetu wanakata sana umeme na kusababisha mzunguko wa pesa kudorora.
  19. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam, Nahitaji uhakika wa umeme kwa vifaa vidogo kama laptop, simu, router, n.k. ikiwa kuna mgao wa siku 2, Je itanigharimu kiasi gani ?

    Inatokea Tanesco wamekata umeme kwa siku 2 Nahitaji vitu gani mfano battery au power bank,n.k. niweze kukidhi mahitaji ya umeme kwa siku 2 kwa vifaa vidogo kama Smart phone 4 zinazochajiwa mara 2 kwa siku, hutumia lisaa kujaa Router 1 inayotakiwa iwe kwenye umeme muda wote Laptop 1 ya Dell
  20. D

    JamiiForums Tanzania Je unajua ni kwanini ndege wana jeuri ya kutua kwenye umeme wa 33Kv and below lakini wanaiogopa GRIDI YA TAIFA 220Kv

    Wakuu tulioambiwa wana magamba miguuni tulipigwa...Ngoja niwamegee ILIM 'SHEKH'. Ukizunguka mtaani utaona ndege wa aina tofauti wanatua kwenye nyaya za umeme wenye VOLTAGE kama 230V, 11Kv, 33Kv na hawaoneshi dalili yeyote ya kupigwa shoti. Lakini ukipita kwenye gridi ya taifa 220Kv utawaona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…