umbo

An umbo is a raised area in the center of a mushroom cap. Caps that possess this feature are called umbonate. Umbos that are sharply pointed are called acute, while those that are more rounded are broadly umbonate. If the umbo is elongated, it is cuspidate, and if the umbo is sharply delineated but not elongated (somewhat resembling the shape of a human areola), it is called mammilate or papillate.

View More On Wikipedia.org
  1. Bueno

    Nyoka Mwenye Kichwa Kidogo sana umbo kubwa eneo la katikati na Mkia Mwembamba

    Wakuu, kwamba naomba msinichoke hapa kuna kitu kinaniumiza kichwa sana sielewi. Hapa majuzi katika pitapita zangu za hapa na pale humu nyumbani ndani nimepishana na nyoka ana kichwa kidogo sana ila katikati ni mnene balaa na ana mkia mdogo. Kwanza najua wapo wadau watasema leta picha, sikia...
  2. ELI COHEN

    Kama unamtetea pedophile kisa tu anashiriki dini moja na wewe kwanini uumie siku ukijua mgeni wako au uncle wake wa shuleni anarubuni mtoto wako?

    Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako. Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
  3. The Dictator

    JOKE: Kwanini mbu hupokea kipigo kikubwa kuliko umbo lake?

    Majibu na: CHAT GPT Haha, Ukweli ni kwamba watu hawampigi mbu tu, bali wanatoa adhabu ya kihisia kwa "uhalifu" mkubwa wa sauti usiku na kuchukua damu bila ruhusa. Lakini kiuhalisia, sababu kuu ni hizi: 1. Kasi ya mbu ni kubwa na ni mdogo sana – ili uhakikishe umempata, lazima upige kwa nguvu...
  4. MNEKI

    Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana Amani

    Kama unasikiaga UNAFIKI lakini hujawahi Kuuona, Waangalie Wanandoa wanaoishi mbalimbali kwa kisingizio Cha Kazi au kutafuta Maisha halafu wana AMANI. Ukiangalia kwa mbali ni kama Kuna Ndoa.,... Sogea karibu..!
  5. R

    Hili ni umbo la Malaika wa Mungu akionekana Kwa macho ya Damu na nyama

    Salaam, shalom!! Lengo la mada hii ni kuwasaidia wote waombao Kwa Mungu ulinzi wa kimwili na kiroho. Lengo lingine pia ni kuwaondoa HOFU wale waombao Kwa mashaka, ulinzi atoao Mungu Kwa mwanadamu ni mkubwa kuliko ulinzi apewao Mfalme wa tawala za WANADAMU. Turudi kwenye mada. ( 1 Mambo...
  6. G

    Umbo la mke wangu limebadilika baada ya kujifungua

    Ni mwaka Sasa tangia mke wangu ajifungue lakini umbo lake limeongezeka amekuwa mnene kweli. Ndugu zangu nyie mliwezaje ku handle hii kitu. Mimi huyu sahivi hanivutii kabisa kwa huu unene! Mtu unamuoa akiwa mwembamba lakin mara pap hyu hapa anakuwa bonge. Inasikitisha kwakweli.
  7. Beira Boy

    Nakutamkia ushindi zidi ya roho za kichawi,kimizimu,kijini na kishetani zilizovaa umbo la kenge, nyoka , Simba,chui, mamba, ng'ombe pokea ushindi wako

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata afikie hatuna ayatawale maisha yako kwa kukunyanyasa Kataa kunyanyaswa na shetani kwani unamuweza...
  8. T

    Kama uzuri wa sura, umbo, ngozi na mguu ndiyo vigezo vyako muhimu kwa kuoa basi umepotea sana

    I know you got me, you heard me correctly! Ndio ukweli hata kama utakataa, chunguza magonjwa ya kurithisha kama kifafa, ukichaa katika familia ya mrembo, chunguza uwepo wa historia ya uchawi na ulonzi ndani ya familia ya mrembo, Angalia kwa makini vitu vibaya vingine vya kurithisha. Kibaya...
  9. bahati93

    Maboresho umbo la malaika

    Malaika ni viumbe wa mbinguni Wanatumika kufikisha jumbe za Mwenyezi Mungu kwa watu husika, hawa viumbe wana mabawa mengi sana yanayowawezesha kusafiri kwenye anga kwa kasi ya ajabu. Sasa kwa elimu dunia ndogo niliyopata juu ya mambo usafiri wa anga nadhani si Sawa malaika kuendelea hutambulika...
  10. HIMARS

    BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe. Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia...
  11. Brain Kingdom

    Changamoto ya kuchagua rangi, uzuri, umbo na kimo cha mwanamke

    Niwe mkweli hivi makusudi ya Mungu kutuumba sisi wanaume na ubabaifu wa macho, au ni mimi tu mwenye macho ya Ndoige sieleweki vybez zangu ni zipi white Ndoige, dark Ndoige, nundu Ndoige, mshepu Ndoige, mfupi Ndoige, mrefu Ndoige, mwembamba Ndoige. Hadi najishangaa huu ujazo wa utajiri wa huyu...
  12. B

    Umbo la miguu na mpira wa miguu haviendani!

    Mpira una umbo la duara na miguu ina umbo ambalo kiuhalisia haliendani na kuuchezea mpira. Hii ni sababu muhimu kwa watoto wanaopenda soka kuzoezwa mapema kuuchezea mpira kwa muda mrefu. Kwa Afrika ni timu chache zenye uwezo wa kuwa na timu za watoto ambapo kila moja ana mpira wake kwa ajili...
  13. billcrammer

    Ivi wife material yafaa awee na umbo la aina gani..

    1)Mwenye msabwanda alafu awe medium kiwango 2)mwenye mwili ndogo ana mbsabwanda la kichizii na awe medium 3)mfupi mnono Wakuu wapi ndo sure bet
  14. Sigonella Island

    Wanawake wetu naomba mtusaidie wanaume zenu mbali na pesa mnavutiwa na shape gani toka huku kiumeni

    Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume wenu vitambi, slim au mwili mkubwa (mbavu)
Back
Top Bottom