Nawasalimu nyote.
Umasikini ni laana, tafiti tofauti zinaonyesha umasikini unarithishwa kwa hiyo unatakiwa kukaa ki machale kijana mwenzangu uliezaliwa kwenye familia masikini ili uondokane na hiyo laana isikukute wewe na vizazi vyako vinavyokuja vunja kabisa hilo daraja unatakiwa upambane...