umalaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanawake Acheni Umalaya jamani, Palipo na Hazina ya Mtu, ndipo palipo na Moyo wake . Kama Jamaa anakuhudumia Kila kitu, Siutulie?Mtaendelea kufa

    Dunia na Kila kitu vimebadilika. Watu hawaogopi Jela wala Kufa. Mtauliwa sana !!
  2. JamiiForums Tanzania Pesa inayotokana na kufanya maafa na kwenda kuwekezwa inaitwa "BLOOD MONEY". Je pesa inayotakana na udangaji na umalaya kwenda kuwekezwa itaitwaje?

    Milupo ya mwaka 2000 sio sawa na hawa wa mwaka 2026. Wadad wenye makebo makubwa wamebadirisha maisha na ya familia yao simply kwa sababu ya makebo na shepu yao na ufundi wao kucheza mechi. Boss la DP World Tonny Kapola Gas Station
  3. JamiiForums Tanzania Huu umalaya nilionao ni wa kawaida au nimerogwa?

    As salaam alaykum Moja kwa moja kwenye mada Guys, nimezunguka nchi chache huko kwa wenzetu lakini sijapata kuona nchi imebarikiwa wanawake wenye kuvutia kama Tanzania ukitoa South Africa na Ethiopia 🙌🏽 Kwa hatua niliyofikia nais kama nimerogwa, kila mwanamke mzuri anaepita mbele yangu...
  4. JamiiForums Tanzania Ni kiwango gani cha umalaya umewahi kukifanya mpaka leo ukikumbuka unajishangaa?

    Mimi mwaka juzi nilikua natoka kimapenzi na mdada flani hivi,sasa huyo mdada alikua na best yake,nikawa namzunguka namla na best yake,so kwa kifupi nikawa nawala marafiki walioshibana kwa wakati mmoja. Case ya pili mwaka 2019 niliwahi kuwala wadada wanne kwa siku moja,kila mtu nilimkaza kwa muda...
  5. JamiiForums Tanzania Mahusiano Mapya ya Mara kwa Mara ni Umalaya au Safari ya Kumtafuta Mtu Sahihi?"

    Kuna watu wanaohesabu hii kama umalaya Kuna wengine wanaamini ni sehemu ya kujaribu mpaka umpate yule mtu ambaye mnaendana Mimi binafsi naona kuwa na mahusiano mapya mara kwa mara sio tatizo sana Nadhani hii hutokea pale unapokutana na mtu, mkajenga ukaribu, halafu ukagundua kwamba kumbe...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya shughuli zinazotupa mkate wa kila siku zinasababisha kuchochea kuchepuka

    Kuna baadhi ya shughuli zinazo tupa mkate wa kila siku zinasababisha umalaya au kuchochea kuchepuka. Sio wote kuna baadhi wanazitumia kama fursa kwa lengo lao maalumu. 1. Bodaboda 2. Wapaka rangi na kusafisha miguu 3. wafanya masaji 4. Wapeleka chakula saiti 5. Waganga 6. Viongozi wa dini 7...
  7. JamiiForums Tanzania Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

    Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa kutupwa! Katika kusisitiza hilo, amesema wasichana wanaingia kwenye urembo wakiwa hawana kitu na...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali Iwasaidie Hawa Mabinti 10 wa Kitanzania Waliotiwa Mbaroni Nchini Thailand Kisa "Umalaya "

    Watu 32 wakiwemo Watanzania 10 wamwtiwa kolokoloni Nchini Thailand Kwa madai ya biashara haramu ya Umalaya. https://x.com/i/status/2037994015094714505 My Take Serikali ifuatilie namna ya kuwasaudia Hawa Watoto ambao huenda walipelekwa huko na magenge ya wahuni waliodai kwenda kuwatafutia kazi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, wajua umalaya, uzinzi wala ulevi siyo dhambi?

    Dhambi ni kutolijua Neno la Mungu. Ukilijua Neno la Mungu, ukalielewa, ukalishika, litakuweka huru kweli kweli. Utakuwa huru na dhambi zote za duniani. Hutozini. Hutolewi. Hutofanya umalaya. Hutokuwa mmbea. Hutokuwa msengenya. Hutokuwa mfura. Hutofanya dhambi. Kwa kifupi, ukisikia dhambi...
  10. JamiiForums Tanzania Gharama za kutoka na Mchepuko

    1.Usafiri 10,000 2.Chumba Lodge 30,000 3.Chakula + Vinywaji 30,000 4.Asante Kwa Kuja 50,000 Jumla 120,000 Brother Unaongeza Umasikini Tu Nyumbani Mpe Mke Hii 120,00 Uone Utakavyo Ombewa Na Kupata Zaidi Na Zaidi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza

    Zamani za kale walikuwa wanawasingizia wanawake wa eneo wanaokula ndizi kwa saana. Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza na kufanya umalaya. Kuuliza nikaambiwa eti ni kawaida yao karibu senta zote eneo la wilaya hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Tamaduni huchochea tabia za watu. Unaposema kabila Fulani linawatu wenye tabia mbaya kama umalaya au roho mbaya. Jiulize; je tamaduni zao zinachochea

    Hamjambo! Imekua desturi kumsikia MTU akisema Kabila Fulani Malaya Sana. Au kabila fulani wachawi Sana. Au kabila Fulani Wana roho mbaya. Kabla ya kutoa hitimisho kuhusu tabia za watu wa jamii Fulani lazima ujiulize Maswali yafuatayo; 1. Je tabia asili yake ni ipi? 2. Je mambo gani huathiri...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Wale Wanaoshindwa Kuacha Pombe, Umalaya na Tabia Nyingine Zinazotia Kutu Nafsi Karibuni Hapa Tuelewe Wapi Tunakwama

    Kukubaliana na Kikwazo cha Mabadiliko: Uchanganuzi wa Tabia za Binadamu na Uundaji wa Mabadiliko ya Kudumu Ikiwa wewe ni kama watu wengi, kuna pengo kati ya mtu ulivyo sasa na mtu unayetamani kuwa. Kuna vitu vidogo unavyofikiria unapaswa kufanya na mambo makubwa unayotakiwa kufikia. Kutoka kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake tamaa na umalaya uwamaliza.

    Jana hapa mtaani kwetu tumemzika mmama mmoja mwenye miaka 35 baada ya kujaribu kutoa mimba. Ni hivi huyu mama alikuwa na mme wake ambaye ni raia wa uganda sasa mme wa huyo dada akaondoka kwenda nyumbani kwao Uganda nadhani kuna miradi yao waliyo kuwa wamewekeza huko hivyo alienda...
  15. R

    JamiiForums Tanzania TUJIKUMBUSHE: CCM msikilize Nyerere kuhUsu democracy na tabia ya umalaya malaya WA KISIASA

    CCM msikilize baba wa taifa kuhsu democracy na tabia ya mwanasiasa kununulika kwa fedha..umalaya malaya
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mwanaume, Unakuta mwanamke hata kujihudumia tu mwenyewe ata kusafisha kucha hawezi, wewe na vihela vyako unambeba

    Habari waheshmiwa. Straight ti the point. Kuna kinyago wanaume wengi wamekichonga wenyewe na kina watesa pasipo kuelewa. Hiki kinyago kinaitwa " PESA YA MATUNZO" au HUDUMA. Unakuta mwanamke ata kujihudumia tu mwenyewe ata kusafisha kucha hawezi na we na vihela vyako unambeba. Atafurahi ukiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Majaribio ya tiba ya Virusi Vya UKIMWI (VVU)

    Jaribio la kimatibabu la HIV lililofanyika barani Afrika limeonesha kuwa baadhi ya wanawake wanaweza kudhibiti virusi vya UKIMWI bila kutumia dawa za kupunguza makali ya virusi (ARVs) kwa muda mrefu baada ya kupokea matibabu ya mchanganyiko, jambo linaloashiria hatua kubwa kuelekea tiba ya...
  18. JamiiForums Tanzania Dwight York:- Msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku

    Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara. Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa...
  19. JamiiForums Tanzania Mwanamke akishaanza kuona hastaili kuteseka umalaya ndio unaanzia hapo

    Narrative kama.. "Sitaki nioelewe nimtegemee mume tu" "Nataka niolewe angalau na pesa zangu au kazi" "Niolewe bila ata kazi mume akifa ntateseka" "Sitaki niolewe then nipelekeshwe" Zimetengeneza single mothers wengi na wanawake wasomi wasiolewa mpaka miaka 30+..... Plus umalaya wa kutosha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Siwezi kuthubutu kumshauri rafiki yangu aache ulevi au umalaya kama urafiki wangu na yeye unafaida namwacha alewe tu

    Sijui kama nakosea lakini mimi huo muda wa kumshauri mtu aache ulevi au umalaya huwa sina kabisa hususani kama mtu huyo katika ulevi wake ndo unaodumisha urafiki wetu. Tangu nikiwa mdogo hii tabia nilikuwa nayo! Wakati nasoma shule ya msingi kipindi hiko tulikuwa tunakaa kwenye mawe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…