SECRET OF HANDS SPIRITUALLY
Hands are used to represent , action , spiritual energy and connection.
Connection in spirituality palms of the hand can receive and give energy.
In giving energy it can heal
Mark 16:18
“They will lay their hands on the sick, and they will recover.”
Also
Receiving...
blessed hands
maombi kuhusu mikono
marco seth
neno la mungu
ombea mikono yako
secret of hands spiritually
siri iliyojificha kwenye mikono
spiritual realm
ulimwenguwakiroho
word of god
Mimi hupenda kuongea kiroho zaidi,nayaona maandamano tarehe 9,nakushauri ndugu yangu nunua mahitaji yako muhimu weka ndani,kuanzia vyakula maji dawa,hakikisha una Cash mkononi ya kukutosha ingalau kwa wiki 2
Kama watawala walijua labda wakipiga risasi na kuuwa watu eti watanganyika watapata wogo,basi walishindwa kusoma nyakati za tawala zote kandamizi zilizotangulia kama wao,yaani hii mbegu inayochipuwa kwa kasi sana.
Hawataweza kuizuia kamwe na inaenda kuwaacha uchi kama walikuwa wanapambana na...
Wengi tulikuwa hatufahamu wale wasichana wadogo wanaotaniwa na babu zao kwa jina la "mke wangu" au "Mchumba" alafu baadae siku akija kumuoa kuna fedha huwa zinatolewa kwamba ni kumwachanisha mtu na mkewe, yaani babu kumwachanisha na mjukuu wake wa kike, usifikiri ule ni utani sio utani.
Babu...
Kwenye imani za kidini utaambiwa maisha yako si ya kimwili ni ya kiroho.
Lakini likija suala la pesa hilo ni la kimwili na wala halina mjadala kuhusu kutoa hela..😂
Kama maisha yako ni ya kiroho, Kwa nini utoe fedha kimwili?
Kama maisha yako ni ya kiroho, Hata hela na sadaka inabidi zitolewe...
Wakuu,
Hapa nimeshtuka toka usingizini maana najihisi kama sijui nilikua nimekufa vile.
Eti nimeota niko juu mbinguni, niko na ndugu na jamaa zangu waliokufa siku nyingi, tukawa tunaiangalia dunia kutokea mbinguni, tukawa tunashangaa jinsi watu huku duniani wanavyoteseka, me nikawa nawaambia...
Mwaka 2015 nature au universe ilizungumza na watu na watu wakazungumza na nature .
Nature ilihitaji mabadiliko kupitia Kwa viongozi waadilifu na ambao wapo tayari kuongoza nchi.
Walichokosea Ccm, Chadema na Act ni kushindwa kutap na universe ili kupata matokeo chanya.
Magufuli - huyu nature...
Yoda
Infropreneur
Kwanza Infropreneur unapokuwa unafanya debate au open dialogue usipende kuweka hisia mbele, weka intuition mbele, maana una bwaja bwaja sana.
Ni kweli seeing is believing kwamba mnahitaji uhakika wa shetani physically, Mungu physically na uchawi physically ndio kweli muamini...
Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza.
Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
UTANGULIZI
Maisha tunayoishi yamegawanyika katika namna mbili. Ulimwengu wa Mwili na Ulimwengu wa Pepo.
Binadamu ni manifestation yetu katika ulimwengu wa mwili kutokea katika ulimwengu wa pepo. Mtu anapozaliwa tunaanza kumfundisha mambo ambayo anayaona kwa damu na nyama. Kwahiyo elimu kubwa...
Mara zote ndoto huongea ukweli kwasababu ndoto,ni taarifa inayotokea katika ulimwengu usio na maamuzi ya kibinadamu...na ulimwengu huo huwa hausemi uwongo.
Ndoto huwa inaonekana ya uongo kwasababu, aliyeitafsiri ameitafsiri tofauti na ukweli ulivyo...hivyo huonekana kama ni haikua na maana...
Katika ulimwengu wa kiroho CCM inaonekana imebakisha miaka michache sana ya kuitwa chama tawala Tanzania
Sitaki kusema sana lakini wacha tuone itakavyokuwa. Lakini kama wanavyosema kwenye ulimwengu wa kiroho ukikataliwa basi na kwenye ulimwengu wa kawaida inakuwa hivyo hivyo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.