Ulaya ilikuwa inanuka. Tena inanuka sana.
Wazungu walikuwa wachafu, sema haya mambo hutokuja kuyasikia wakiyaandika kwenye vitabu vyao.
Unawajua watu walioitwa Moors? Hawa walikuwa watu weusi waliokwenda huko Ulaya.
Kuna ile nyakati Wazungu waliita Dark Ages, haikumaanisha kwamba jua halikuwa...
Ndugu wanachama, walimu wenzetu na mashabiki wa kweli wa maendeleo ya CWT,
Wakati mwingine kimya si busara! Sasa tusikie na sisi tusikike. Ni muhimu kusema ukweli huu bila kupepesa maneno.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukishuhudia matumbo yasiyoshiba yakizusha kelele zisizo na msingi dhidi ya uongozi...
Utangulizi: Mwalimu Aliyepitwa na Wanafunzi Wake
Ulaya. Bara lililowahi kuwa kitovu cha maarifa, maendeleo na utawala wa dunia. Waliwahi kuja Afrika wakiwa kama walimu, wakitutazama kama wanafunzi wasiokomaa, wakaandika historia yetu kwa kalamu zao na kutufundisha kuwa maendeleo yanakuja kwa...
Mara nyingi nimekuwa nikipenda waalika Mabalozi na diplomats nyumbani kwangu kwa vyakula either bfast,lunch au dinner. Nliona niwe nafanya hivi ili wasijisikie upweke na pia wawe wanapata lishe nzuri wailetee sifa Tanzania.
Nligundua mabolozi na diplomats wengi pamoja na mawaziri. Hawapati...
Je, umewahi kufikiri dunia inaweza kufutwa kwa dakika ishirini tu? Je, maisha yote tuliyoyajenga – shule, familia, ndoto – yakaisha kwa sauti moja ya kishindo?
Huu si utani. Si sinema ya Hollywood. Ni uhalisia unaovizia mwanadamu kwa kivuli cha siasa na teknolojia. Rais wa Urusi, Vladimir...
dakika
dunia
kati
mchele
mgogoro
mgogoro wa ukraine
muhtasari
mungu
nchi
nchi za ulaya
nyuklia
ogopa
tanzaia
ukraine
ulaya
umoja
umoja wa nchi
urusi
vita
MAUZO YA BIDHAA ZA TANZANIA SOKO LA ULAYA YAMEONGEZEKA
Kwa Mwaka 2024 thamani ya mauzo ya bidhaa katika soko la Jumuiya ya Umoja wa Ulaya ilikuwa dola za Marekani millioni 686.3 ikiwa ni ongezeko la asilimia 7.6 ikilinganishwa na dola za Marekani milioni 633.5 mwaka 2023.
Ongezeko hilo...
Kuna vilaza wanadhani kuongea vingereza vingi kwenye mikutano na wananchi au kuwa na mialiko ya makongamano ulaya ndio sifa ya kuingoza nchi .
Acheni kujidanganya...tupo wababe wa vingereza na uwezo mkubwa wa presentation and public speaking tumetulia tunawacheka tu.
Acheni utoto !
Bila kujali hali ya raia huyo, ana hela au hana hela, kijana, mwanamke, mzee, mtoto, mrefu, mfupi, mweusi au mweupe, Usalama wa Raia mmoja mmoja wa Marekani na Nchi za Ulaya na Usalama wa Wananchi wote ni suala la muhimu sana kwa mataifa hayo.
Hali hiyo ni tofauti sana kwa Nchi za Kiafrika...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Czech zimetia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi, hatua itakayosaidia kufungua uchumi wa nchi kwa kuvutia uwekezaji wa kimataifa na utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara...
Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya.
Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
Huyu bidada kwenye debate ya Tundu Lissu kwenye bunge la umoja wa ulaya, ndo Mbunge aliyepiga spana aswaa.
Alienda mbali na kusema misaada ya umoja wa ulaya Kwa Tanzania ije na masharti ya ukuaji na kulinda demokrasia na haki za binadamu.
Aliingea mengi ila mwisho alisema watanzania wanaoteswa...
Uefa champions league
PSG vs intermillan
Bingwa PSG
Europa uefa league
Totenham hotsper vs manchester united
Bingwa tottenham hotspers
Ecl
Real bets vs chelsea
Bingwa: real bets
Bingwa wa laliga :real madrid
Bingwa wa seriA :intermillan
Ikumbukwe kwa epl tayari liverpool...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu Azimio la Bunge la Ulaya (8 Mei 2025)
Dar es Salaam, 8 Mei 2025
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetambua azimio lililopitishwa na Bunge la Ulaya tarehe 8 Mei 2025 kuhusu mwenendo wa mashauri ya kisheria yanayoendelea nchini Tanzania. Wakati Tanzania...
Sijui kwanini mwachelewa wakati sababu zipo
Waonyesheni mabeberu kuwa hatutaki kupangiwa na tuko huru
Police wawasaidie kuratibu na watumieni wafanyakazi wote wa serikali kihamasisha yule asiyetoka katika maandamano hayo ashughulikiwe kwa mujibu wa Sheria
Uhuru wetu utakuwa mashakani kama tutaendelea kutegemea misaada kutoka nchi za Magharibi. Maana yule anayemlipa mwimbaji ndiye atakaechagua wimbo.
Ndugu zangu tuwakumbushe viongozi wakusanye Kodi kwa Kila mtu na kila kazi Ili tupunguze kutegemea misaada. Na sisi raia tuwe wakali kwa wanaotuibia...
1. Kwann Bunge la Ulaya wanaingilia mambo yetu ya Ndani? Ikibidi hatua Kali zichukuliwe dhidi ya mabeberu.
2. Tusipochukua hatua sasa hivi Oktoba hawa watatupelekesha sana (kutuvurugia sherehe baada ya ushindi mnono).
Cc: Steve Nyenyere itisha PRESS CONFERENCE kufafanua mambo haya!
Bcc: Nay...
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, ameonyesha kushangazwa na kimya cha Bunge la Tanzania katika kushughulikia masuala nyeti ya kitaifa, akilituhumu kuwa limekimbia majukumu yake ya msingi.
Akizungumza jijini Arusha hii leo Mei 8, 2025 katika mkutano wa TLS...
Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu.
Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ?
Nimesikia...
Ikiwa Bunge la Ulaya wanajiona wanahuruma na wapo tayari kubeba misalaba ya mataifa mengine, basi eem, tujiulize yafuatayo:
1. Ni nani hasa wameizuia CHADEMA kushiriki uchaguzi mkuu wa Tanzania? Je, kuna ushahidi wa kisheria au ni maneno ya kisiasa yasiyo na msingi wa kikatiba?
2. Kwa kutumia...