ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA iteni Press Conference, Alikeni Mabalozi na Watanzania ,Muelezee zaidi Hoja ya Polepole kuhusu Mifumo ,na kwanini NRNE!! Msiishie Mitandaoni

    LICHUKUENI SUALA HILI KI OFFICIAL ZAIDI ,NI SUALA ZITO, SIO SUALA LA KUISHIA MITANDAONI , CHADEMA BADILIKENI. CHADEMA kuweni Serious , na muache kufanya kazi kupitia Mitandao tu!! Suala la Polepole kuhusu Mifumo ni suala Zito na Kubwa linalogusa USALAMA WA NCHI MOJA KWA MOJA. Mh Polepole...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa nini Trump anawadharau sana viongozi wa Ulaya

    Wanaukumbi. KILA BOSS ANA BOSS WAKE Viongozi wa Ulaya wakiwa wamepangwa kwenye korido ya Whitehouse Marekani wakisubili kikao na Trump. Hi fedhea aisee Je wangekuwa wa Afrika watu wamgeponda sana lakini wa Ulaya dunia ipo kimya, mtu kama Putin, huu upuuzi hataki kabisa. Trump, anawadharau sana...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Ulaya kuambatana na Zelensky Washington

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya na wale wa Jumuiya ya kujihami NATO wametangaza siku ya Jumapili kuwa wataambatana na Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo muhimu na Rais Donald Trumpyaliyopangwa kufanyika siku ya Jumatatu. Rais wa Halmashauri ya Umoja wa Ulaya Ursula...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa usajili wa timu yako ya Bongo na Ulaya taja Top 3 yako na timu moja unayodhani itashuka daraja

    Kuelekea Msimu wa 2025/26 utabiri wangu unaweza kuwa hivi List yangu… 1. Man U 2. Liverpool 3. Man City Itakayoshuka daraja Arsenal Listi yangu ya Bongo 1. Simba 2. Yanga 3. Azam FC Itakayoshuka daraja Singida
  6. JamiiForums Tanzania Palestina imeshatambuliwa na mataifa 147 zamani na haijasaidia chochote.Huu utambuzi wa nchi za Ulaya na Canada ni ujanja mwengine basi, wa maangamizi

    Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu. Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana. Habari hizo...
  7. JamiiForums Tanzania Mara 100 mnizuie kuingia Ulaya yote kuliko kunizuia kutekeleza majukumu yangu ya kikatiba na nchi yangu Israel!!!

    "Hata wakinipiga marufuku kuingia Ulaya yote, nitaendelea kuchukua hatua kwa ajili ya nchi yetu," alisema Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben-Gvir. Kauli hiyo ilikuja kujibu serikali ya Uholanzi kumzuia Ben-Gvir na waziri mwenzake wa mrengo wa kulia wa baraza la mawaziri la Israel Bezalel...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Marekani na Umoja wa Ulaya (EU) yafikia makubaliano ya 15% ya ushuru wa biashara kati yao

    Marekani imefikia makubaliano ya awali ya kibiashara na Umoja wa Ulaya siku ya July 27,2025, ambapo imeweka ushuru wa kuagiza bidhaa kutoka EU kwa kiwango cha asilimia 15 ikiwa ni nusu ya kiwango kilichokuwa kimetishiwa awali. Hatua iliyosaidia kuepusha vita vikubwa vya kibiashara kati ya...
  9. X

    JamiiForums Tanzania X (twitter) wameondoa mahudhui ya porno/ngono kwa wanaotumia VPN zinazosoma hosts mataifa ya Ulaya na U.K

    Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono. Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter) Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult...
  10. JamiiForums Tanzania Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Familia ziko Ulaya, lakini anataka kukinukisha hapa nyumbani Je, nani atabeba machungu ya vurugu?

    Katika siasa, kuna nafasi ya mjadala. Kuna nafasi ya upinzani wa hoja. Na kuna nafasi pia ya kuchochea taharuki isiyo na majibu jambo ambalo linaweza kugharimu maisha ya watu wasiokuwa na hatia. Miezi kadhaa iliyopita, Tundu Antipas Lissu mmoja wa viongozi wakuu wa upinzani kupitia chama cha...
  12. JamiiForums Tanzania Mjadala halisi wa wabunge la Ulaya kuhusu demokrasia za Afrika

    Hapa unaweza kujionea mwanzo mwisho wa kilichodiliwa jana kuhusu demokrasia za nchi zetu. https://www.youtube.com/live/UKi9Fg-SmT8?si=kWlHqF6ElFu-bIDb
  13. JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya latishia kuinyima misaada Tanzania

    Bunge la ulaya laijadili Tanzania leo , lasema kama uchaguzi utafanyika na baadhi ya washiriki kuzuiliwa kushiriki kwa sababu za kisisa , eu wasitoe hata kumi kati dolla milioni 8 walizo omba tanzania kwa ajili ya uchaguzi👍 #NO REFORMS NO ELECTION NDANI YA EUROPEAN UNION 💪
  14. JamiiForums Tanzania Hapa Maulid kamaanisha Ulaya ipi hiyo?

    Mimesoma chapisho lake kwenye mtandao wa Instagram akizungumzia uhamisho wa Kennedy Musonda aliyekuwa mchezaji wa club ya Yanga ambaye kwasasa katimkia timu moja huko Israel. Maswali niliyojiuliza baada ya kusoma chapisho lake lote ni haya hapa tusaidiane kujiuliza: Je Maulid hakusoma...
  15. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya zazindua mkutano wa kusaidia ujenzi wa Ukraine

    Viongozi wa Ulaya wamezindua Alhamisi mjini Rome, mkutano wa kila mwaka wa kutafuta fedha kwa ajili ya ujenzi wa Ukraine baada ya vita, wakitarajia kukusanya dola bilioni 12. Waziri Mkuu wa Italia Giorgia Meloni na rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky waliufungua mkutano huo kwa kuwatolewa wito...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano nchi za Ulaya wakilupuana na manyuklia wazungu watakao baki hai unahisi wakimbilia bara gani kati ya Afrika na Amerika kusini?

    Kichwa cha habari cha husika ..maana kwa hesabu za haraka haitapita miaka 50 bila hili kutokea
  17. JamiiForums Tanzania Kijana Muda wa kutembea uione Dunia ni miaka kati ya 20 - 35 kwa hapa Afrika. Kwa Ulaya ni 50 mpaka 85

    Hamjambo! Ukiwa na umri wa miaka 20-35 usipendelee kukaa sehemu moja, mkoa Mmoja au nchi Moja. Huo ndio umri wa kuzurura. Zunguka Tanzania nzima maeneo Muhimu. Ijue nchi yako. Ukimaliza anza kujiandaa na routes za NHS ya nchi. Kama muda utakuwa umekuishia na majukumu yakaanza kubisha hodi...
  18. JamiiForums Tanzania Vinywaji soft drinks za ulaya siyo tamu kama za huku Afrika

    Ni jambo la kushangaza. Kwanini soft drinks za hapa ulaya sio tamu kama za huko nyumbani Tanzania? Tafuta jibu la hili swali huenda likakusaidia.
  19. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Mbunge wa Ulaya Valérie Hayer amepinga madai ya Lissu kuwekewa sumu

  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

    Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu. Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo. Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…