ulaya na marekani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Matokeo ya mifumo mibovu ya Africa ,Kila muafrica anataka kufika Ulaya na Marekani

    Mi nitazungumzia kwa bara letu ,Siwezi kuzungumzia mpaka Asia. Mumeona idadi ya wahamiaji haramu wakijaribu kuingia spain na hii rekodi ni kubwa kwa masaa 24. Tuache wale wa kila siku.Hii inaleta picha gani ?. Na wengine kama viongozi wa afrika nao wanaamia huko sababu wakale maisha mazuri...
  2. JamiiForums Tanzania Nje ya siasa ntakuja na Simulizi ya Maisha ya waafrika nje ya Africa na wanavyopata pesa Asia, Ulaya na Marekani, wengi wanawake wanateseka episode 10

    Nje ya siasa Kidogo Uzi huu utawasaidia wale wanaojitosa hasa watoto wa kike mabinti Kwenda Ulaya (Hapa hawateseki sana) Asia(China, India, Nepal, Thailand ,Hongkon, Malaysia , Macau, Philippines , Singapore, Indonesia, Laos, Vietnam) haya maeneo yote nshayapitia na kuona wadada wanavyoteseka...
  3. JamiiForums Tanzania Hawa waandaa maudhui wa Ulaya na Marekani siwaelewi. Kama huyu wa USA

    Hawa jamaa wamekuwa mabeberu. wanaona sisi hatuna kazi za kufanya tununue MB tuangalie sarakasi.zao mtandao. Nina wablock kabisa. Wanaona sisi ni vyanzo vyao vya mapato. bora hata yule aliyejapani. Kuna mmoja sijui anaitwa kakulilo sijui mamboa anayotuma ni bery expensive nilimblick kitambo...
  4. JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania lijadili kikundi cha wabunge wa Ulaya na marekani kinachotumiwa kuichafua Tanzania

    Ni vyema sasa na wabunge wetu wakapewa nafasi ya kuwajibu hawa mabeberu wenye kushirikiana na vibaraka wao ambao kazi yao ni kuchafua taswira ya Tanzania. Utashangaa kabunge kabinti hata ubwabwa wa shngo haujatoka kabasimama kuiongelea Tanzania vibaya
  5. JamiiForums Tanzania Madhara ya nchi za Ulaya na Marekani, Kutotambua Uchaguzi wa 2025 wa Tanzania na Athari Zake kwa Viongozi wa CCM na Wananchi

    Uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania unakaribia, na tayari kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa kutotambuliwa kwake na nchi za Ulaya na Marekani. Madhara ya hali hii yanaweza kuwa makubwa, sio tu kwa viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) bali pia kwa wananchi wa kawaida. Katika makala hii, tutaangazia...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Iwapo itatokea, pendekeza majina ya viongozi wa CCM na serikali unaodhani wanastahili kuwekewa vikwazo vya kusafiri nchi za Ulaya na Marekani

    Habari ndio hiyo. Tuwasaidie wazungu kwenye haya mapambano ya kudai haki za watanzania dhidi ya kikundi fulani cha watu hapa nchini.
  7. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Ulaya na USA "hawafanyi vizuri kiuchumi kuliko sisi" lakini bado wanatusaidia pesa za kujenga shule, hospitali, vyoo, barabara nk?

    Hichi kitendawili tunaomba wenye upeo waweze kutusaidia. Sisi wenye uchumi mzuri zaidi inakuwaje viongozi wetu wamekuwa wakizunguka dunia nzima kutembeza bakuli kuomba omba pesa za kujenga hadi vyoo ili tusijisaidie ovyo ovyo vichakani, vichochoroni? Bahati mbaya zaidi, huko tunakokwenda...
  8. JamiiForums Tanzania Kapigwa spana Ulaya na Marekani leo kaja kuwadanganya watu eti lazima tutengeneze chetu

    Wakati Job anasema ni lini tutazalisha chetu na kuacha kukopa ovyo ulimshambulia sana. Mzee baba akaona isiwe tabu . Dawa ya wapuuzi ni kuwaachia mashua inayozama wakazame nayo huyooooo akaruka. Umekopa umekopa bila aibu. Umesafiri weeee. Leo unakuja kutuambia eti uchumi wetu unafanya vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ulaya na Marekani hawafanyi vizuri kiuchumi kama sisi

    Rais Samia, amesema kwamba licha ya hali tete inayoikumba dunia kwa sasa, Tanzania inafanya vizuri kwa viwango vya kuvutia kiuchumi. Akiwahutubia wananchi wa Simiyu katika ziara yake ya kikazi, Rais Samia alieleza kwa msisitizo hali halisi ya ulimwengu na nafasi ya Tanzania ndani yake...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini nchi za Ulaya na Marekani huwa wanajali sana kuhusu usalama wa wananchi wao kuliko nchi za Kiafrika?

    Bila kujali hali ya raia huyo, ana hela au hana hela, kijana, mwanamke, mzee, mtoto, mrefu, mfupi, mweusi au mweupe, Usalama wa Raia mmoja mmoja wa Marekani na Nchi za Ulaya na Usalama wa Wananchi wote ni suala la muhimu sana kwa mataifa hayo. Hali hiyo ni tofauti sana kwa Nchi za Kiafrika...
  11. JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani Amkeni mmeshavamiwa tayari!!!

    Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa. WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
  12. F

    JamiiForums Tanzania Kwa nini wazungu waliacha kuamini uchawi na kuua wachawi ? nini sababu ya kufutwa kwa Witch hunting ulaya na marekani ?

    Watu wakijipa muda zaidi na kusoma kuhusu history za uchawi hasa msako wa wachawi (Witch Hunts in the Western World) kwenye karne zilizopita ulikuaje na kwa nini kilisababisha msako huo usitishwe. pia wakasoma kuhusu msako wa wachawi uliotokea marekani pia maarufu kama The Salem Witch Hunt na...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Maono: Mpaka uchaguzi ninaziona kama bilioni 5 hivi zikikusanywa; 2 'zitatumika' katika uchaguzi; 3 zitawezesha safari ya Ulaya na Marekani!

    Siasa achana nayo tu jamani.......siasa ni nyoko. Kila nikiwasikiliza na kuwaona na kurejea taarifa ya 'kusanyaji' kadhaa huko nyuma, naona kabisa hapa hii miamba inatafuta au imelenga bilioni kama tano Hadi sita hivi kufikia uchaguzi. Hiyo ni kutoka kwa tone-tone na wafadhili wengine. Mbili...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli uislamu unakua sana Ulaya na Marekani?

    Hamna ukweli wowote kwamba Uingereza mnamo 2050 itakuwa nchi ya kislamu Hakuna ukweli wowote kwamba Ulaya na Marekani wanaugeukia Uislamu kwa wingi Wakristo wana hofu wakisikia hivyo Waislam wana kitengo cha propoganda cha kueneza dini yao. Katika Uislam kuna kitu kinaitwa Taqiya, yaani...
  15. JamiiForums Tanzania Waafrika wahamiaji Ulaya na Marekani wanajiona wazalendo sana kwa mataifa yao mapya kuliko kizazi cha watumwa.

    Nini kinapalekea hawa Waafrika waliohamia Marekani na Ulaya kuwa wazalendo kindakindaki kwa mataifa yao mapya kuliko hata wale waliofika huko kupitia kizazi cha watumwa? Hawa Waafrika wahamiaji wa hayo mataifa wanaringa nayo sana hadi kufikia kuwadharau Waafrika wenzao waliowaacha Africa! Wao...
  16. JamiiForums Tanzania Je ni kweli maisha ya Ulaya na Marekani ni magumu au ni mwendelezo wa ngozi nyeusi kukatishana tamaa?

    Wakuu mengi yanazungumzwa kuhusu uzuri na changamoto za maisha ya Ulaya na Marekani. Wengi wetu tunaamini huko ndo watu wanaishi na sisi wengine huku ni wasindikizaji tu ila kuna wengine wanadai eti maisha ya huku bongo ndo mazuri kuliko huko ng'ambo. Wakuu ukweli uko wapi maana mwenzenu...
  17. JamiiForums Tanzania Mateso ya wanawake chini ya kanisa kupitia Magdalene Laundries, vituo vya mateso vya kanisa kurekebisha wanawake tabia huko Ulaya

    Karne ya 18 hadi 20 huko Ulaya na Marekani kanisa Katoliki huko Ulaya na Marekani walikuwa na vituo vya kurekebisha tabia kwa wanawake hasa mabinti wa makundi mbalimbali wakiwemo single mothers, makahaba, wanawake walioonekana wajeuri na walioonekana mzigo kwa familia zao. Wanawake wengi...
  18. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa waasi nchini Syria asema aomba amani na Israel, nchi za Ulaya na Marekani

    Amesema kuwa amechoka kupigana kwasababu zisizo na mbele wala nyuma, ameomba kuungwa mkono na Israel, Ulaya na Marekani. Huu ni ushindi mkubwa na ukombozi kwa makobazi. Chanzo: Adhuhuri Live (UTV).
  19. L

    JamiiForums Tanzania Lissu Ataiongoza Vipi CHADEMA wakati Muda wote Anashinda Nje ya Nchi? Mnyimeni kura ili aendelee Kuzurura ulaya na Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Kuongoza chama kikuu cha Upinzani Nchini kama CHADEMA inahitaji moyo,inahitaji ujasiri,inahitaji kujitoa na kujitolea muda na rasilimali zako kwa ajili ya kukijenga chama wakati na muda wote.inahitaji uvumilivu wa hali ya juu sana. Chama kinahitaji Kiongozi na viongozi...
  20. JamiiForums Tanzania NJIA PEKEE YA KUJITENGA (AU KUWA SAWA) NA WANYONYAJI KUTOKA ULAYA NA MAREKANI NI KUFUATA NYAYO ZA CHINA NA URUSI

    Baada ya Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) kupigwa marufuku kukanyaga anga la Ulaya, mimi binafsi nimefurahishwa na hoja nzuri za kizalendo zilizotolewa na Watanzania wengi. Wengi wao wanalaani na kulaumu njia za kinyonyaji za Umoja wa Ulaya (EU) pamoja n washirika wake. LAKINI mimi naona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…