ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. Ukweli ni kwamba kama Nchi tunahitaji watu kama Tundu Lissu na Hayati Magufuli walioboreshwa

    Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya ukiachana na matamshi ya TL kulingana na kuwa nje box . Vivyo hivyo hakuna baya ambalo JPM alifanya...
  2. Tuongee ukweli hapa 🤣🤣

    Tuongee ukweli kati ya Yammi na mke wa Barnabas nani mzuri be honest😜
  3. Ukweli mchungu

    Rais wa zamani wa Marekani Mh Barack Obama amesema watu wanaomzunguuka walikua wanamwambia ukweli anapokosea na pia kuhoji uhalali wa maoni yake anapokosea wala sio kumsifia kwa kila jambo,ni hatari watu unaowaamini wasipokwambia ukweli"
  4. SoC04 Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli?

    Tanzania Isiyo na Rushwa: Ni Ndoto au Ukweli? Utangulizi Tanzania ni nchi yenye fursa nyingi na uwezo mkubwa. Hata hivyo, nchi yetu pia inakabiliwa na changamoto kubwa ya rushwa. Rushwa ni kizuizi kikubwa kwa maendeleo yetu, kwani inakatisha tamaa uwekezaji, inasababisha ukosefu wa usawa, na...
  5. Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Habari zenu wakuu, natumaini mko poa. Kabla sijaenda mbali ningependa wataalamu na wazoefu wa hili suala la dangu za utajiri je lipo? Kama lipo linafanya kazi? Kama linafanya kazi stakeholder na maexpert wa field hii wajitokeze tujue hii kitu inaexit au scams tu. Asante kwa kuwakilisha, wazee...
  6. Ukweli Usemwe Ali Kiba hajawahi kuwa na Enzi ya Ufalme kwenye Bongo Flavor sana sana Amedumu kwenye Mziki wa Bongo tu

    Kulikuwa na wafalme kama hawa 1.. Joseph Mbilinyi SUGu, Mr II, 2proud, Taita 2. Professor J 3. JUMA Nature 4. Inspector Haroun 5. Ferouz 6. Mr. Nice 7. Mr. Blue 8. Mangwea 9. Afande Selle 10. 20 Percent 11. Fid Q 12. G.Nako na Clue yake yote 13. Dully Sikes (Huyu ndio Mr. Bongo Flavor) 14...
  7. Ukweli ni kwamba hakuna mwanamke anaweza kumwacha handsome man. Utamkwaza atakaa pembeni lakini baada ya muda mfupi atakuhitaji tena.

    Hello morning 🌞! Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira. Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
  8. Tuseme ukweli, kisiwa cha Mafia umeshawahi kusikia habari yoyote mfano kama Serikali zinavyofanyika mikoa mingine

    Leo baada ya kuona video ikionesha madhara ya kimbunga Hidaya ndio nikajiuliza hivi kisiwa cha Mafia kwa shughuli za Serikali kila siku zinazofanyiwa kikazi upande wa Mafia mbona kama ni kimya sana. Wajuzi
  9. Ukweli mchungu: Zanzibar tunaishi kwa kudra za Tanganyika!

    Japokuwa huu muungano ni kichefu chefu tu kwa wazanzibar lakini ukweli mchungu ni kuwa, bila huruma na upendo wa Tanganyika basi huenda Zanzibar tusiweze kutoboa hata miezi mitatu. Kuanzia Ulinzi, Usalama mpaka umeme tunapewa bureee na watanganyika. Kodi na rasimali za watanganyika ndio...
  10. M

    Ukweli mchungu

    Hamna haja ya salamu, ujumbe tu unatosha. Baada ya miaka 5 -10 watoto tunaowapeleka na kuwarudisha shule kwa mabasi ya njano watakuwa wanaongozwa na waliosoma shule za umma. Hii itakuwa ni kwenye nyanja zote za uendeshaji uchumi, jamii etc. Mtoto anapakiwa getini na kurudishwa getini. Anaishi...
  11. Chawa huwa hawashangilii wakisikia ukweli

    Basi bwana kwenye siku ya uhuru wa habari duniani, hapa ambapo mgeni rasmi ni Kassim Majaliwa, kipo kikundi cha Hamasa cha Mama Samia, ambao kifupi ni chawa. Sasa Mrisho Mpoto yupo hapa anatumbuiza. Cha kushangaza mwanzo wale chawa walikuwa wanashangilia sana kila wakisikia kitu kizuri...
  12. Je, kuna ukweli kuhusu dunia kwenda kasi?

    Kadri miaka inavyozidi kwenda, pia speed ya muda unaongezeka. Siku hizi unashangaa tu kumekucha hujakaa sawa giza hilo. Je, kuna uwezekano dunia iinazunguka kwa kasi with time, I mean kadri decades na centuries zinavyo ongezeka na earth's rotation or revolution pia inaongezeka? Ma astrologists...
  13. K

    Je, Lissu kapiga chini ya mkanda au kasema ukweli?

    Nilivyokuwa Ilboru 1990-1993 niliambiwa miaka ya nyuma kulikuwa na kijana machachari sana ambaye alikuwa anaitwa Antiphas. Umachachari huo ulitokana na debate club za pale Ilboru ambazo zilikuwa mashuhuri sana. Ilboru kulikuwa na debate club ambazo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi kuna debate ya...
  14. Ukweli Mchungu: Black race ni failed project!

    Hakuna salamu hapa, kwanza Sio chakula au mtaji wa kufungulia biashara! Ni hivi kama kichwa kinavyojieleza hapo, Hivi sisi watu weusi tuna shida gani aisee? Kila alipo mtu mweusi katika Dunia hii ni shida tupu aisee, Mwanzo nikajua Africa ni bara la giza kumbe watu wenyewe ndio giza lenyewe...
  15. Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!

    Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi...
  16. Ukweli wa dhati wa mwanadamu: Mume/Mke uliyenaye unaweza kuta wewe wala siyo chaguo lake

    Katika Dunia, kuna mengi ila mume/mke ulie nae, unaeza kuta katika ukweli wa ndani wa moyo wake wala wewe ulie nae sio chaguo lake, ila yuko na wewe ili mladi tu maisha yaende. Yaani unaeza kuta mwanaume/mwanamke yuko katika uhusiano lakini hisia zake na upendo wake wa dhati uko kwa mwingine...
  17. Ukweli kuhusu tabia ya Uchepukaji

    Habari za wakati huu wana Jamii Forums, Kwa mtazamo wangu kuchepuka ni tabia ya mtu inayotokana na kuendekeza tamaa za mwili, ndiyo maana wanasaikolojia wamethiibitisha hilo kuwa ONCE A CHEATER ALWAYS A CHEATER. Wanaume\Wanawake wengi hutoa sababu ya kuchepuka wakidai hawaridhishwi na mwenendo...
  18. Ukweli kuhusu Utu

    1. Watu watakuheshimu kulingana na jinsi unavyojiheshimu, unavyozungumza na watu na jinsi unavyowatendea watu walio karibu nawe kwa heshima na nguvu nzuri. 2. Hakuna kiasi cha rushwa kinachoweza kufanya watu wakupende ikiwa wewe ni mtu mbaya. 3. Tabia njema huwavuta watu kwako, wakati tabia...
  19. Nahisi GSM na Hersi wana nia mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ukweli wote huu hapa

    As-Salaam Alaykum (Peace Be Unto You) Natumai Hamjambo Na Mko Vyema Karibuni Sana Katika Uzi Huu. Ukituskiza Vizuri Mashabiki wa Yanga Tukiwa Tunaongelea Mpira, Hasa Timu Yetu Wallah Nakuapia Tunakeraaa Sie na Ujichanganye Kusikiliza interview za Coach GAMONDI ambaye ungependa kusikia...
  20. Ukweli unaouma kuhusu wewe

    Kwa umri uliofika. 1. Kama una miaka 30s Kuwa bilionea sahau/Waza mambo mengine. 2. Kama una 30s na hauko na hujawai kuingia kwene siasa bas we huwezi kuwa Rais hadi unakufa. 3.Wewe siyo Super human : Acha kuwaza kama uko kwene movie : Kamwe usimwambie mtu “Utanifanya nn ww” vyakukufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…