ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukiongea ukweli kwa Wanawake watakuona unawachukia. Mwanamke akiongea ukweli kwa Wanaume ataonekana ni mjuaji na mwenye kiburi

    Wasalamu! Humu ndani kunakuwaga na mijadala ya hapa na pale. Ipo mijadala inayogusa hisia za watu Moja Kwa Moja na kuamsha mihemko ya hasira zinazopelekea matusi na kutoa Lugha chafu na Kali. Mijadala mtambuka kama ya Kijinsia, kidini, Mila na desturi n..k. ni baadhi ya midajala inayoleta fujo...
  2. JamiiForums Tanzania Wakwepe marafiki wanafiki, ikiwezekana waambie ukweli

    Salaam jamiiforum. Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi. Watu hawa baada ya kufahamiana au kujuana kwetu wapo ambao hugeuka kuwa watu wa karibu na kutengeneza bond ama urafiki fulani...
  3. JamiiForums Tanzania Je, kocha wa Yanga anaweza kuwa kocha mkuu Ligi ya NBC? Ukweli huu hapa

    Mabosi wa Yanga walishtushwa na uamuzi wa ghafla wa kocha Sead Ramovic ambaye aliomba kuvunja mkataba wake kisha jana Jumanne, Februari 4, 2025 akawaaga wachezaji na maofisa wengine wa timu akiwatonya kuwa amepata ofa nono huko Algeria. Baada ya kuzungumza naye walibaini kuwa CR Belouizdad ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna ukweli wowote kuhusu maagano ya damu katika mahusiano?

    Nimeona baadhi ya movie kadhaa hasa za kinaijeria zenye content kuhusu maagano.. Sasa nakuja kwenu wakuu je maagano haya HUwa yanaukweli wowote ?? Yanaweza kwenda na negative impact kama yatavunjwa?? Natanguliza shukran
  5. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani

    Tafsiri ya Kihoja ya Ndoto: Mwangaza wa Ukweli na Macho ya Ndani Katika ndoto yangu, nilijikuta nikitembea kijijini kwetu, nikiona watoto wakicheza kwa furaha barazani. Wakati huo huo, kulikuwa na vijana kadhaa wamesimama, lakini mmoja wao alikuwa ameshika tochi, akiangaza mahali fulani kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mgogoro wa Ukraine na Gaza!

    Ni rasilimali tu hakuna kingine! Wakubwa wa dunia huangalia faida kwanza kabla ya kuingia vitani! Mgogoro wa Ukraine: 3 Feb, 2025 20:36 https://www.rt.com/news/612127-trump-demand-rare-earth-ukraine/ 5 Feb, 2025 07:44 https://www.rt.com/russia/612197-ukraine-doesnt-control-minerals/...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Watanzania huwa mna tabia ya kusahau, Prof. Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo aliongea ukweli mchungu sakata la Sukari. Wakamuweka pembeni

    Huwa akijilipua hana breki. Hili la juzi ni kawaida yake.
  8. JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli wowote kwamba kipato cha Mwanamke kikiongezeka huwa chanzo cha kuonyesha dharau na kiburi?

    JE KUNA UKWELI WOWOTE KWAMBA KIPATO CHA MWANAMKE KIKIONGEZEKA HUWA CHANZO CHA KUONYESHA DHARAU NA KIBURI? Swali hilo linaweza kuwa na majibu aina mbili ndiyo na hapana kwa wakati mmoja. kwa uzoefu wangu nimewahi kukutana na wanawake wengi sana ambao wanakipato kikubwa sana, elimu,vyeo, umaarufu...
  9. JamiiForums Tanzania Viongozi zungumzeni ukweli

    “Tanzania ni moja ya Nchi 12 zitakazozindua mpango mahususi wa kitaifa kuhusu nishati, kupitia mpango wetu tunatarajia kuongeza kasi ya kuunganisha umeme nchini hadi kufikia 72% ifikapo mwaka 2030, ili kufanikisha azma hiyo ndani ya muda wa miaka mitano ijayo, tutahitaji uwekezaji wenye thamani...
  10. JamiiForums Tanzania Wazazi waambieni ukweli watoto wenu kuhusu uchumi na mahusiano!

    Wazazi wakiafrika ni kama mmezubaa sana, mfumo wa uchumi ni zaidi ya kumsomesha mtoto na angojee ajira!. Kuna jitihada fulani lazima zifanyike pia ndani ya familia kuhusu watoto wako na maswala ya uchumi. kutokupata elimu ya uchumi walau kwa uchache inapelekea vijana waingie kwenye vitu vya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mwanangu Chalamila umerudia tena kunigombanisha na wapiga kura? Hapana mama nimesema ukweli wa hali ilivyo...poa

    Muda mfupi kabla ya kuondolewa kwa Mkuu wa Mkoa wa DAR es salaam nafsi za mteua na mteuliwa zitakuwa zinajiuliza maswali haya mawili Mwanangu Chalamila kwanini umenigombanisha na wananchi ? Hapana mama nilitaka wafahamu ukweli wafanye kazi nakufahamu kwamba huduma ya afya ni gharama kubwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Haah! Eti hii ina ukweli ?

    Haah eti hii ina ukweli kuhusu ushindani katika AI Inataka kufanana na hii haah
  13. JamiiForums Tanzania UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO.....

    UKWELI MDOGO KUHUDU KASONGO..... Muite Ngiri(Phacochoerus africanus) au Warthog(tamka Wart-hog) au muite Pumba. Wenyewe mmeamua kumuita Kasongo(si jina Rasmi) Ni Mnyama anayepatikana kwenye Familia inayoitwa Suidae ambayo miongoni mwao Wamo Nguruwe Pori(Hogs na Pigs) na Nguruwe wa Kufugwa...
  14. JamiiForums Tanzania UKWELI USEMWE: CCM ni Chama Kikubwa Nambari 9 Duniani

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) cha Tanzania kinashika nafasi ya tisa duniani kwa ukubwa Hapa kuna orodha ya vyama kumi vikubwa vya siasa duniani kulingana na idadi ya wanachama: Bharatiya Janata Party (BJP) – India: Wanachama milioni 198 (2023) Chama cha Kikomunisti cha China (CCP) – China...
  15. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanapo hitimu elimu za O Level na A Level hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari

    Kutokana na uelewa mdogo wa taaluma mbali mbali. Vijana wengi wanapo hitimu elimu ya sekondari haswa kwa kidato cha sita. hufikiria haswa kusoma masuala ya Udaktari. uwalimu. ama uwanasheria. hakuna cha ziada
  16. R

    JamiiForums Tanzania Je, tuhuma za kutolewa uraia kama njugu kwa wachezaji wa Singida Big Stars zina ukweli? Je, ni chanzo cha kuondolewa Masauni Wizara ya Mambo ya Ndani?

    Kuna tuhuma kwamba wachezaji wa mpira wa miguu wa Singida Big Stars wamepewa uraia wa Tanzania kukwepa wasilipe vibali vya kufanya kazi Nchini. Naamini hii ni skendo kubwa na Mamlaka ya NIDA au Uhamiaji zinapaswa kujibu la sivyo taarifa hizi zinaleta uchonganishi kwa serikali. Sheria ya Uraia...
  17. JamiiForums Tanzania Kutumia simu karibu na jiko la gesi inaweza kusababisha mlipuko?

    Wataalamu watupe Elimu zaidi, sasa hivi wengi wanapika kwa kutumia gesi. Je, ni kweli kwamba unapotumia simu karibu na jiko la gesi wakati wa kupika kunaweza kusababisha mlipuko?
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe,Yanga alikuwa kundi la kifo,TP Mazembe angechangamka Yanga ingeburuta mkia

    Siku droo ya makundi inapangwa,mitaa ya Twiga na Jangwani ilifurika watu wakifuatilia mubashara, Baada ya kushiba supu walisikika wahuni wakitamba kuwa ''tunamtaka Mamelodi,tunamtaka Mamelodi'' Baada ya droo nilijua Yanga hatoboi,TP Mazembe wangechangamka na ibenge asingewaachia Yanga...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu, "Nchi nzima itasimama leo kufuatilia Mdahalo, uchaguzi mkuu Chadema." Hasubiri mtu kusimuliwa!

    Hii ni kutokana na hali ilivyo kutokea katika maeneo mbalimbali ya nchi na pia katika "kuusoma upepo" kitalaamu: Kwamba nyuma ya runinga watakuwapo Mama Abduli, Abduli, vigogo wote, bila kuwasahau wenye kumshikilia Daktari Slaa korokoroni kwa amri zao. Haina shaka Mwamba japo kala kona kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…