ukweli mchungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Binti wa zamani

    Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

    Acha nianze:

 Maisha hayana huruma - unaweza kufanya kila kitu kwa ubora na kama inavyotakiwa na bado ukafeli. Ukimya ni jibu - jifunze kunyamaza na kucontrol hisia zako, itakupunguzia matatizo mengi ambayo si ya lazima. Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako, ni mzunguko wa asili...
  2. Fbn

    DOKEZO Ukweli mchungu ila vijana wanaokwenda South Africa bora wakabaki hapa

    Leo kuna kijana anataka kwenda south Africa kutafuta maisha alinipigia na yupo mkoa fulani siwezi kutaja. Kwa tafiti zangu za kuzurura na kutembea sana ila kule sasa sio pakutafuta maisha kwa mtu ambaye shule huna, unakwenda kwa kutumia viza za miezi,huna kibari cha kazi. Waliofaidi ni wale...
  3. Lord Denning

    Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Kila siku tunasema humu. Kwa tulipofikia ni sisi Watanganyika kuamua kujikomboa tu. Na hiki ndicho kilichobaki na suluhisho pekee mbele yetu. Kama kuna mtu aliyekuwa anadhani kuwa Samia anaumizwa na vifo vya Watanganyika basi ajue anakosea sana. Kama kuna mtu alikuwa anadhani kuwa Samia...
  4. H

    UKWELI MCHUNGU (GEN Z Hawataki Kusikia Lakini ni Ukweli 100%)

    1. School Won’t Make You Rich — But School Is NOT a Scam Shule haikubuniwa kukufanya uwe tajiri. Shule ilibuniwa kukufanya uwe mtu wa kawaida mwenye nidhamu, uwezo wa kusoma, kuandika na kufikiri. Kufanikiwa ni kazi ya skills, mtaji wa mawazo, na maamuzi ya kiuchumi, sio tu cheti. Cheti ni...
  5. Damaso

    Ukweli mchungu wa vifo vya watu wasio na hatia wakati wa maandamano nchini Tanzania

    Ni huzuni kuu inayotanda mitaani. Machozi yanayodondoka kwenye nyuso za mama waliopoteza watoto wao, kelele za huzuni za ndugu wanaojaribu kuelewa kwa nini wale waliokuwa wakidai haki leo wamelala milele. Tanzania, nchi iliyojulikana kwa amani na utulivu, leo inajikuta ikitikiswa na maswali...
  6. B

    Ukweli mchungu: Wanaume kuna muonekano ukiwa nao, huwezi kuja JF kulalamika kuwa kila mdada unayemtongoza anakuomba omba hela

    Habarini, Tofauti na kichwa cha habari, katika pitapita zangu TikTok nlikutana na account ya jamaa mmoja mtanzania, anajiita Dr Julian sio mwanamziki wala sio muigizaji, hapost maisha expensive, ila aloo hiyo idadi ya wadada wanao-andika thirst comments kwenye picha za huyo mkaka , na...
  7. K

    GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  8. Mad Max

    Ukweli mchungu kuhusu Ndoa za Kiafrika!

    Siku ya kwanza, Mwanaume anasikiliza na Mwanamke anasikiliza, Padre ndio anaongea. Mwaka wa kwanza wa ndoa, Mwanaume anaongea Mwanamke anasikiliza. Mwaka wa pili, Mwanamke ndio anaongea. Mwanaume unasililiza. Mwaka wa tatu, Mwanaume unaongea na Mwanamke anaongea, Majirani wanasikiliza...
  9. Setfree

    Ukweli mchungu: Maombi ya kujionesha, hata kama ni ya siku tisa (Novena), Mungu hayasikii

    Maombi ya kujionesha ni hali ya kuomba au kufanya sala kwa kutaka watu waone, waseme na kusifia. Ni maombi ya mtu anayetafuta heshima ya kidini, sifa au umaarufu wa kijamii kwa kutumia jina la Mungu. Mtu anapotangaza mitandaoni ratiba za maombi yake na kupiga kelele “leo siku ya kwanza ya...
  10. K

    Ukweli Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki)

    UKWELI Mchungu: Mali za Tanzania nzima (namba 1-Serikali) na (namba 2-Kanisa la Katoliki) . Kesho wakisema wanasimamisha mashule yao, hospitali na vitegauchumi vyao vyote mpaka mabadiliko ya sheria yafanyike serikali kesho kutwa inafanya mabadiliko tena bila mgomo. Sababu kubwa sio tu kwamba...
  11. Lord Denning

    Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  12. Nusratt

    Ukweli Mchungu: Wadangaji tuna Maisha mazuri kuliko Wanawake walio Ndoani

    Utakataa na kufyonza pengine hata kuniporomoshea matusi, ila huu ndio ukweli mchungu kwa baadhi ya wanawake walio ndani ya ndoa zao ambao hawataki kuusikia abadani. Nina siku ya 4 leo tangu nimetoka vacation Dubai, haijalishi nimetumikaje au nani kanitumia nikiwa huko, ila kiukweli nimeridhika...
  13. Mfilisti

    Ukweli mchungu kuhusu Magari used

    Ukinunua gari used/ mtumba, utabeba mzigo wote wa aliyepita nalo. Dent, engine knock, interior mbovu – zote ni zako sasa. Cha kuchekesha, yule mmiliki wa kwanza aloyekuuzia bado analiangalia kwa jicho la kumbukumbu, na kuna muda analitamani kabisa hilo gari aliendeshe tena. Kila akikuona nalo...
  14. Ngongo

    GE2025 CHADEMA inakwenda shimoni

    Heshima sana wanajamvi. Nimekaa pale natafakari na kujiuliza mambo mengi sipati majibu. Natazama hizi kesi za michongo na hukumu za michongo naiona chadema inapitia mkondo ule ule wa NCCR-MAGEUZI. Ngongo kwasasa Tanga Michungwani.
  15. Lord Denning

    Ukweli Mchungu: Kwa ilipofika Tanzania sasa, Samia hata akiamua kuwa Rais post 2030 atafanikiwa na hakuna wa kumfanya chochote!

    Kwenye Taifa lolote lile, vyombo vya kuilinda Katiba vinapokufa lolote lile linaweza kutokea na hakuna wa kufanya chochote kile. Ni ukweli mchungu kuwa sasa Tanzania Katiba inavunjwa waziwazi kwa Watu kuzuiwa kutekeleza Haki zao za Uhuru wa Kuabudu na hakuna lolote linalofanyika. Haki za...
  16. The redemeer

    Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
  17. GENTAMYCINE

    Wanaume wote JamiiForums na Kwingineko kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Kudadadeki.....!!!!!!
  18. GENTAMYCINE

    Ukiukataa huu Ukweli Mchungu wa Dudu Baya ni lazima tu utakuwa una matatizo makubwa ya Akili

    Dudu Baya umemaliza kila Kitu. Tuliobahatika kutembea kidogo hapa na pale nchi kadhaa (Team Passport kujaa Mihuri ya Uhamiaji) tunakuunga mkono kwa 99.9%. Nilikuwa najiuliza sana tu kwanini ukienda Uingereza, Marekani, Ufaransa na Ubelgiji unawakuta mno Raia wa Nigeria (Wapopo), Congo DR...
  19. Setfree

    WHO wathibitisha pombe ni sumu. Sasa nina ujasiri wa kusema: "kunywa pombe bila kulewa ni dhambi."

    Kama ulikuwa huna habari, kisayansi, pombe ni sumu. Wataalamu wa afya wanaeleza kuwa Ethanol, kiambato kikuu katika pombe, ni dutu ya sumu kwa mwili wa binadamu. Shirika la Afya Duniani (WHO) through International Agency for Research on Cancer (IARC) linaiainisha pombe (ethanol in alcoholic...
  20. GENTAMYCINE

    Wazazi wa Kitanzania, Wanawake na Mabinti wa Kitanzania hebu kuleni Chuma hiki cha Ukweli Mchungu

    Tafadhali mwenye namba ya Simu ya huyu Dada aje PM anipe ili nimpigie na nimtumie Zawadi kwa kusema huu Ukweli.
Back
Top Bottom