ukumbini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Voices From Within: Unaweza usiamini! Aliyetoa A Go ahead kwa Mdee na Wenzake ni Kigogo wa Chadema!. Alikuwepo Ukumbini na Vikaoni! Je, ni nani?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa "the voices from within" na Maswali Fikirishi. Angalizo la Mambo ya Sauti. Kuna mambo ni yetu, na mambo mengine sii yetu, mambo ambayo ni yetu, unaweza kuuliza, lakini kwa mambo ambayo sii yetu, huwezi kuuliza, miongoni mwa mambo ambayo sii yetu ni...
  2. Video: Mapokezi ya Mbowe ukumbini Iringa leo Tarehe 08/03/2022

  3. Memba wa Umoja wa Mataifa waondoka ukumbini, wasusia hotuba ya Waziri wa Urusi

    Zaidi ya wajumbe 140 wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, leo Machi Mosi, 2022 walitoka nje ya ukumbi baada ya kukataa kusikiliza hotuba ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergei Lavrov. Waziri huyo alikuwa akishiriki mkutano huo kwa njia ya video kutokana na mipaka ya ndege...
  4. Mazungumzo ya Urusi, Ukraine yaanza, waandishi wa habari watolewa ukumbini

    Mazungumzo kati ya wawakilishi wa Ukraine na Urusi kuhusu uvamizi Ukraine yameanza nchini Belarus, kabla ya mkutano kuanza, waandishi wa habari wametolewa nje. Mwenyeji wa wageni hao ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus, Vladimir Makei amewakaribisha wajumbe hao na kuwataka wajihisi wapo...
  5. This is very funny! Eti mbunge Jerry Silaa kaomba kibali cha spika ili wajumbe kamati ya "kuhoji" wakamtwe na kuletwa ukumbini...!!

    Hii inasomeka hivyo kwenye twitter account ya Joseph Mbilinyi a.k.a Mr Sugu Je hii ni kweli au kulikuwa na confusion ya tarehe na muda aliotakiwa kufika mbele ya kamati...? Inasemekana pia kamati ya Haki, Kinga na maadili ya bunge haikumpelekea wito rasmi wa barua mbunge huyu zaidi ya kusikia...
  6. Askofu Gwajima usitumie viti vya ukumbi wa mahojiano

    Habari za asubuhi, Napenda kumpongeza Askofu Gwajima kwa kupiga chenga ya kisigino pale alipokwepa kutumia kiti alicho wekewa. Napenda kumshauri yafuatayo atakapokwenda kesho. 1. Asikae kwenye viti vya pale mapokezi ikiwezekana asimame nje mpaka aje kuitwa. 2. Viti atakavyovikuta pembeni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…