ukraine

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Putin: Vikosi vya Ukraine vilivyoingia Kursk vimetusaidia kusonga mbele Donbas

    Baada ya shambulio kali la Urusi kuua idadi kubwa ya askari kuruta wa Ukraine kwenye jimbo la Donest,leo raisi Putin wa Urusi ameweka wazi kuwa wamekuwa wakisonga mbele kwa kasi kuelekea kushika miji muhimu ya Donbas kutokana na kutokuwepo kwa upinzani wa askari wa Ukraine. Wiki tatu zilizopita...
  2. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Ukraine kapigwa na kitu kizito wapoteza zaidi ya wanajeshi 600

    Zaidi ya Mwanamgambo 600 wa Ukraine waliokua katika shule yaafunzo ya Kijeshi wameuwawa baada ya Shambulio la Iskender toka Russia Kulingana na aliyekuwa mbunge wa Ukraine, Igor Mosiychuk (ambaye anachukuliwa kuwa gaidi na mhalifu na Urusi), jeshi la Ukraine limepoteza zaidi ya wanajeshi 600...
  3. I

    JamiiForums Tanzania Ukraine yashambulia maghala 2 zaidi ya mafuta ndani ya Russia

    Jeshi la Ukraine lilidai siku ya Jumatano kuiangusha ndege ya kivita ya Urusi mashariki mwa Ukraine huku Urusi ikizidisha kulipiza kisasi katika eneo la mashariki linalokaliwa na Ukraine muda mfupi baada ya Kyiv kuteketeza ghala jingine la mafuta la Urusi katika shambulio la ndani kabisa la...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaanza kutengeneza makombora yake ya masafa marefu

    Katika kile kinachoonekana kuchoshwa na tabia ya mataifa ya Nato ya kuinyima haki ya kushambulia ndani ya Russia kwa kutumia silaha zao za misaada, hatimaye Ukraine imefanikiwa kuweza kutengeneza makombora yake yenyewe yenye uwezo wa kushambulia ndani kabisa ya Russia. Ukraine imetoa picha za...
  5. Narumu newz

    JamiiForums Tanzania Ukraine yafanikiwa kutengeneza kombora la masafa marefu, Ukipitia magumu akili inatanuka:

    Ukraine Yasema Imejaribu Kombora Jipya la Ndani Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema kuwa nchi yake imefanikiwa kufanya jaribio la kwanza la kombora jipya lililotengenezwa ndani ya nchi. Ukraine inajulikana kuwa na angalau kombora moja la masafa mafupi, Hrim-2, ambalo lipo katika hatua...
  6. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Ukiona BBC hawatoi tena habari za vita vya Urusi na Ukraine tambua Ukraine anachezea kichapo

    Juzi juzi hapa mara baada ya jeshi la Ukraine kuivamia Russia hakika habari motomoto za jeshi la Ukraine kusonga mbele zilikuwa zikiandikwa kwa mbwembwe na karibu vyombo vyote vya habari vya Ulaya. Lakini kwa ukimya huo lazima Ukraine atakuwa anachezea kichapo.
  7. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Beralus kuivamia Ukraine

    Habari za hivi punde kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Ukraine ni kuwa Belarus imepeleka jeshi kubwa mpakani na Ukraine kwa lengo la Kuivamia Ukraine kwa madai kiwa Ukraine inajiandaa kuivamia Belarus Poland imesema itaingilia kati kama Belarus ataivamia Ukraine Je huu ndo mwanzo wa WW3?
  8. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania USA kupeleka kikosi Ukraine Kujifunza vita

    Mzuka umepanda. Sio mbaya kujifunza kwa aliye Fanikiwa. USA 🇺🇸 wamepeleka kikosi hiko ili kupata uzoefu wa kupambana na drone na Electorinical war fare. Zama za kupigana vita Ofisini zimesha wadia The U.S. Army has formed a new unit to learn from Ukraine's experience with drones and...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ujerumani yafuta ahadi ya kuisaidia Ukraine kutokana na mbinyo wa kiuchumi nyumbani.

    Jeuri ya serikali ya Ujerumani kutaka kuendelea kwa vita baina ya Ukraine na Urusi zimekufa baada ya nchi hiyo kuamua kusitisha misaada yote ya kijeshi iliyokuwa imeahidi kutokana na bajeti za kiuchumi nyumbani kukataa. Germany freezes Ukraine military aid as budget crisis hits at home
  10. I

    JamiiForums Tanzania Ukraine yaharibu daraja muhimu ndani ya Russia.

    Ukraine imeharibu daraja muhimu kimkakati juu ya mto Seym, wakati inaendelea na uvamizi wake katika eneo la Kursk nchini Urusi. Maafisa wa Urusi wamenukuliwa wakisema operesheni hiyo karibu na mji wa Glushkovo imekata sehemu ya wilaya ya eneo hilo. Daraja hilo lilitumiwa na Kremlin kusambaza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  12. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Upo iwezekano kundi la waasi huko Urus kuungana na Jesho la Ukraine

    Habari ndiyo hiyo kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Putin ameshakalia kuti kavu. Yajayo yanafurahisha.
  13. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ukraine ndani ya Urusi, inataka kumwondoa Putin Madarakani? Je hii ni dalili ya World War III?

    Hii hali inamsikitisha sana Putin. Ni suala ambalo he never expected kabisa. Hii vita ilipaswa kuwa operation ya siku 2 tatu ikizidi week. Sasa ni mwaka wa pili. Na hawa Ukraine wameanza kuingia ndani ya Russia. Wanasonga mbele. Nini tatizo? Putin kweli wa kusaidiwa na vinchi vidogo vidogo...
  14. Obugwa Izoba

    JamiiForums Tanzania Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Ukraine anaendelea kumuandama Urusi

    Ukraine imepeleka misaada kwa wananchi wa Russia waliotelekezwa. Hakika Rissia naye kaonja joto la jiwe. Kazi haijawa nyepesi kama alivyodhani. Kuna siku ataamua kubwaga manyanga tu. Putin hana uzoefu na vita ana ubabe wa kwenye media tu sasa vi Ukraine vinamshika sharubu Military aid...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Napata harufu ya matumizi ya Nyuklia Ukraine baada ya Kursk kuanguka

    Wengi watakumbuka katika vita vya uvamizi vinavyoendelea huko Ukraine wakati vinaanza ilikuwa Ukraine akijibu mashambulizi kwa kushambulia eneo lolote ndani ya Russia au maeneo ya Ukraine yaliyotekwa na Urusi kama vile Crimea basi jeshi Urusi litajibu maradufu kwa kuvurumisha mvua ya makombora...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Ukraine ni watu na nusu, nguvu hiyo waitumie kiboresha uchumi wao pia

    Mimi sio muumini wa vita ya uvamizi,lakini nipende kukiri kuwa Syria iliishi kinyonge mno kuliko Ukraine inavyojipambanua katika vita hii kati ya Russia na Ukrain. Kila nikiwa katika kazi zangu za kila siku nikikumbuka vibaka wa kariakoo wanavyochomwa moto wa petroli na kusahau kuwa kumbe...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Urusi kuvamia na kuteka Ukraine sio habari ila Ukraine kuvamia kilomita 1,000 ndani Urusi na kuteka ni habari kubwa Sana ya kusisimua

    Tangu mwanzo wa vita wengi walitarajia Urusi kuvamia Ukraine na kuteka yote NDANI Ya muda mfupi Sana Na pengine kumfurusha Zelensky Kama sio kumuangamiza kabisa Lakini Cha ajabu huu ni mwaka wa pili Urusi inapambana na Ukraine Huu ni ushindi mkubwa kwa ukraine Lakini Cha ajabu Leo wamevamia...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Moto wazuka katika kinu cha Nuclear cha Ukraine

    Ni mojawapo ya vinu vikubwa vya nyuklia Ulaya kilichokuwepo Ukraine kwa ajili ya kuzalisha umeme, kilichukuliwa na Urusi katika uvamizi wa Ukraine na sasa kipo chini ya himaya ya Urusi. Urusi ina historia mbaya zaidi ya ajali ya nuclear duniani iliyotokea Chernobyl mwaka 1986,
  19. I

    JamiiForums Tanzania Urusi yahaha kukabiliana na uvamizi wa Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kugeuziwa kibao, Russia sasa inahaha kupambana na uvamizi uliofanywa na majeshi ya Ukraine katika ardhi yake. Jeshi la Urusi limesema "linaendelea kurudisha nyuma" uvamizi wa Ukraine wa kuvuka mpaka katika eneo la Kursk magharibi - shambulio la kushtukiza sasa katika...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine yateka vitongoji vya Urusi kwenye jimbo la Kursk

    Wanajeshi wa Ukraine wamefanya uvamizi wa ghafla kwenye jimbo la Kursk nchini Urusi lililoko kwenye mpaka na jimbo la Summy la nchini Ukraine. Taarifa zinasema mpaka sasa wanajeshi wa Ukraine wamesonga mbele umbali wa 30km kutoka Mpaka wake na Urusi. Mapigano yanaendelea huku taarifa...
Back
Top Bottom